mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 24,943
- 81,605
Nipo. Haujambo binti?Umefufuka bosi?
Nipo. Haujambo binti?Umefufuka bosi?
Umeelewa lakini!? Shida sio kutokuhitaji gari, shida kwa gari hiyo.. BMW ikauzwe milioni 5 ama 6, basi ujue lazima uoe mke ambae kaka yake ni fundi magari.Siyo kila mtu anahitaji shamba
Apple sijawahi kuwaelewaHawa wanasababisha infinix na Tecno watembee vifua mbele kwenye ku overprice bidhaa zao
Hapo inatafutwa bei itakavyo gotta milioni 10 ndo akili ziwakae vizuri watumiaji wa iphoneApple sijawahi kuwaelewa
Naona products zao zinekaa kiwizi wizi tu, upgrade kidogo ila bei mlima.
Hiyo noJichange ununue.
We mama wew ulipotelea wapiAisee 😃
Google Pixel sikuhizi zipo vizuriTumewaacha na Google Pixel zenu
Mara pixel 4. Kinazimika muda wowote bila taarifa 😂😂
Hv unajua ligi kuu uingereza walidroo wote tarehe 1Sikia chukua hiyo million sita tafuta odds mbili
Ni asubuh tu unavuta BIMA halaf na tunda linatumika kupostia
Hakika mkuu bila kuchoka😁😁 tupambane Mkuu ili tuishi ndoto zetu
KwakweliHakika mkuu bila kuchoka