Kwa Mil 6 Unapata iPhone 17 Pro Max Bila Charger wala Cover au BMW 3 Series na chenji ya Service!

Kwa Mil 6 Unapata iPhone 17 Pro Max Bila Charger wala Cover au BMW 3 Series na chenji ya Service!

Ila maisha haya! Kuna kipindi niliibiwa simu chuo nilikaa miezi 2 mpaka kuja kupata simu nyingine
Ila sasa hivi nina simu 2 na moja ipo tu
kweli ya kesho aijuaye ni Mungu.

Jamani nibarikie hiyo madam ili niachane na huyu Infinix mimi
 
Bora heka za shamba..
Hilo gari ukinunua ni umeongeza matatizo
 
Ila maisha haya! Kuna kipindi niliibiwa simu chuo nilikaa miezi 2 mpaka kuja kupata simu nyingine
Ila sasa hivi nina simu 2 na moja ipo tu
kweli ya kesho aijuaye ni Mungu.
Naomba 1, mie nina kiswaswadu.
 
Mzee mwenzangu Happy new year..!!
Nashukuru tumeuona 20,26.
Heri ya mwaka mpya na kwako pia mzee mwenzangu, ukawe mwaka wa neema na mafanikio..
Mungu atupe uzima wa afya.
 
Back
Top Bottom