Kwa Mil 6 Unapata iPhone 17 Pro Max Bila Charger wala Cover au BMW 3 Series na chenji ya Service!

Kwa Mil 6 Unapata iPhone 17 Pro Max Bila Charger wala Cover au BMW 3 Series na chenji ya Service!

Maisha yako speed.

iPhone 17 Pro Max 512 GB pale iStore Mlimani City inauzwa Mil 6.
View attachment 3524192
Kwenye package unapata iPhone, USB C, pini ya kutolea laini na Makaratasi. Hamna kichwa cha chaja, hamna protector, earphone wala kava.
View attachment 3524193
Ila kwa iyo iyo bei unapata BMW E90 2007 namba D na inabaki pesa ya service na mafuta full tank.

Fanya maamuzi sahihi.
Ebwana ee yule mdada kumbe anatembea na BMW mkononi, afu tunateseka naye kwenye daladala
 
Cover, protector na lense kwa wanaopenda.. uwa vinatolewa dukani..
Si kwa 17 pekee, hata 15 hawatoi kichwa, ni only USB.
check package ya infinix hii:
IMG_4501.jpeg
 
Back
Top Bottom