😂 hata T shirt kuna za 2000 mpaka za 30,000.. Maisha ni kuchaguacheck package ya infinix hii:View attachment 3524261
Zinauzwa $2,000 ambayo ni 4.94M. Maana yake wanaongeza 2.55M. Hivi kuna gharama gani kwenye kuzileta huku?View attachment 3524265
Hawa jamaa bwana
Pambana mkuu.BMW 🤭, my Dream Car ngoja niendelee kupambana 🙌
Kwa huu Msoto mtu aje achezee pesa Zangu nitampiga nimvunje 🤣🤣🤣🤣🤣, kwanza Sitaki ChawaPambana mkuu.
Ukilipata naomba niwe chawa wako unanituma nikaoshe. Naenda nalo chap mara moja kutafutia watoto wa chuo jalalani au ustawi wa jamii pale.
Au siyo?
Masaa mawili machache hivyo!Na maisha venye hayako fair, unaweza ibiwa au ukaitia maji hiyo ya 300k ukashindwa kuireplace ndani ya masaa mawili
Kuna Moja nilikuwa nayo now nimeishia kumpea mama watoto ilikuwa miyeyusho sana za makumbusho sema zinatuokoa sana gademitiHao unamlipia mpaka mlinzi wao… huku Makumbusho mbona Gb 256 haifiki hata 4M
Pole mwayaa hiyo nyingine weka akiba baadae unaweza kuitumiaIla maisha haya! Kuna kipindi niliibiwa simu chuo nilikaa miezi 2 mpaka kuja kupata simu nyingine
Ila sasa hivi nina simu 2 na moja sijui niifanyie nini kweli ya kesho aijuaye ni Mungu.
Tuanzie Nyanda za juuSafi kabisa 😁, nitaomba lifti muda unaozunguka twende wote
😂HakikaPole mwayaa hiyo nyingine weka akiba baadae unaweza kuitumia
Hao waiziZinauzwa $2,000 ambayo ni 4.94M. Maana yake wanaongeza 2.55M. Hivi kuna gharama gani kwenye kuzileta huku?
Mpe hii janja hapo mwambie anko wako kutoka kigamboni anakusalimia😂Hakika