Mr Pixel3a
JF-Expert Member
- Sep 15, 2021
- 7,107
- 10,609
BMW nayo gari au stress
Umefufuka bosi?7-8M kirahisi tu
$30,000 tuuu unazunguka dunia kwa cruise ship na unashuka kwenye miji na kuzurura kwa siku halafu unadandia tena na kuendelea na safariMi malengo yangu ni kuizunguka dunia tu.
Hadi kwa hiyo bei ya 5.5m bado unahitaji mapambano na ndo dream car.BMW 🤭, my Dream Car ngoja niendelee kupambana 🙌
Wana overprice na kujifanya genuine.. ndo maisha lakni kuna wana hapo ndo kama Califonia, wanajiona kabisa wapo apple hq.Hao unamlipia mpaka mlinzi wao… huku Makumbusho mbona Gb 256 haifiki hata 4M
Kuna jamaa yangu ana hii BMW 3 series no E anauza 6m, ukiwa serious njoo inboxMaisha yako speed.
iPhone 17 Pro Max 512 GB pale iStore Mlimani City inauzwa Mil 6.
View attachment 3524192
Kwenye package unapata iPhone, USB C, pini ya kutolea laini na Makaratasi. Hamna kichwa cha chaja, hamna protector, earphone wala kava.
View attachment 3524193
Ila kwa iyo iyo bei unapata BMW E90 2007 namba D na inabaki pesa ya service na mafuta full tank.
Fanya maamuzi sahihi.
Bora ubaki huko, hii tecnoJamani nibarikie hiyo madam ili niachane na huyu Infinix mimi
Nataka ile wiki hii nipo Madrid nacheki El classico then narudi bongo napoa baada ya muda niende ibada Vatican.$30,000 tuuu unazunguka dunia kwa cruise ship na unashuka kwenye miji na kuzurura kwa siku halafu unadandia tena na kuendelea na safari
Ukipambana mbona madogo sana hayo
Maisha haya mafupi Yaani kabla hujastaafu uwe umeziona at least nchi hata 40Nataka ile wiki hii nipo Madrid nacheki El classico then narudi bongo napoa baada ya muda niende ibada Vatican.
Ni kwa sababu hunaSiwezi fanya ujinga wa kununua simu 6m hata siku moja.
Siyo kila mtu anahitaji shambaBora heka za shamba..
Hilo gari ukinunua ni umeongeza matatizo
Kisa mazingira ni ya “kituristi” ndio wanaibia watu!! Gardemit 😂Wana overprice na kujifanya genuine.. ndo maisha lakni kuna wana hapo ndo kama Califonia, wanajiona kabisa wapo apple hq.
😂😂 daah hata robo ya ndoto sijafika badoHadi kwa hiyo bei ya 5.5m bado unahitaji mapambano na ndo dream car.
Kula chuma hiyo uanze kutimiza ndoto.
😁😁 tupambane Mkuu ili tuishi ndoto zetuTunashare mkuu hii gari nikiiona tu lazima nitumbue macho naisindikiza mpaka inazama