Idadi ya watu waliokutwa na CoronaVirus nchini Kenya yafikia 5,206 baada ya watu 254 kukutwa na maambukizi katika sampuli 4,859 zilizopimwa ndani ya saa 24 zilizopita
Watu 41 pia wamepata nafuu na kuruhusiwa kurudi nyumbani hii imefanya idadi ya waliopona kufika 1,823
Pia idadi ya walifariki...