Dkt. Nicephorus Rutebas ambaye ni Bingwa wa Magonjwa ya Mishipa ya Ufahamu anasema:
Maumivu makali ya kichwa kwa mgonjwa, anaweza kuumwa na kichwa muda mrefu na maumivu yakawa tofauti na maumivu ya kawaida, hata akimeza dawa haisaidii kupunguza makali, baada ya muda anaweza kuhisi kichefuchefu...