dar es salaam

  1. ndege JOHN

    Mikoa mizuri ya kwenda kutoa stress Tanzania ukitokea Dar Es Salaam

    1. Singida 2. Iringa 3. Tanga 4. Arusha
  2. Rufiji dam

    Wakazi wa Dar es Salaam, ni wakati muafaka kuitokomeza CCM katika uchaguzi wa serikali ya mitaa kutokana na kero ya maji.

    Kutokana na hujuma inayofanywa na DAWASA katika suala zima la kupatikana kwa maji, ni vyema kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa ni vyema kuikataa CCM kusimamia utawala wa mitaa yetu.
  3. steve_shemej

    Changamoto bandari ya Dar es Salaam

    Jamani ndugu zangu kunakitu hakipo sawa ndani ya bandari ya dar es salaam Kuna uchekeweshwaji mkubwa wa kutoa mizigo kwenye bandari ya dar es salaam iko hivii meli zinashusha mizigo lakini mizigo bandarini haitoki sijui tatizo nini Mfano mimi nina mizigo ya wateja tv zimeshuka tangu mwezi wa...
  4. Waufukweni

    RC Chalamila avunja ukimya Matukio ya Utekaji, Mauaji ya Watu na Maandamano Dar es Salaam

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila, akizungumza katika ziara yake Temeke ya kukagua utekelezaji wa miradi ya maendeleo na kuzungumza na wananchi hapo jana Oktoba 1, amevunja ukimya kuhusu matukio ya utekwaji wa watu na maandamano yaliyofanyika na CHADEMA Septemba 23 katika jiji hilo...
  5. Madihani

    Polisi wapo kila kona ya mkoa wa Dar es Salaam, hawa Ulinzi Shirikishi kwanini wanasumbua mitaani?

    Moja kwa moja kwenye mada. Polisi wapo kila kona ya mkoa wa Dar es Salaam, hawa waliokosa elimu na fedha kwanini wanasumbua mitaani.? Hapa najiuliza kodi(PAYE) yangu ni zaidi ya Tsh500,000/= kila mwezi halafu anatokea mtu nyumbani kwangu eti nitoe pesa ya ulinzi shirikishi. Tanzania kama nchi...
  6. Roving Journalist

    LGE2024 Dar es Salaam: Matukio yaliyojiri kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Novemba 27, 2024

    WanaJF, Mada hii itakuwa na 'Updates' za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa Dar es Salaam. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali usisite kushiriki na wengine. Ramani ya Jiji la Dar es Salaam HISTORIA YA JIJI LA DAR ES SALAAM Jiji...
  7. Waufukweni

    Msoto wa madereva kituo cha kujazia gesi Tazara jijini Dar es Salaam

    Unaweza kudhani magari yameegeshwa au kuna maandamano ya magari, lakini uhalisia ni kwamba gari zinasubiri kujaziwa gesi. Hali hiyo ipo leo Jumanne Oktoba mosi, 2024 kwenye kituo cha kujazia gesi ya magari Tazara jijini Dar es Salaam, ambako msululu wa magari umeanzia kwenye kituo hicho hadi...
  8. Roving Journalist

    Waziri Aweso akutana na DAWASA kwa lengo la kuboresha huduma ya maji katika Mkoa wa Dar es Salaam na Pwani

    AWESO ATETA NA WATAALAMU UFUNDI DAWASA, MIKAKATI YAWEKWA BAYANA ~Atoa uhakika wa huduma kwa Wakazi wa Dar na Pwani Waziri wa Maji Mhe.Jumaa Aweso (Mb) amekutana na kufanya kikao kazi na Menejimenti pamoja na timu za ufundi ya Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es salaam (DAWASA) kwa...
  9. M

    Nataka kuku waliomaliza kutaga 1000+(ex layers)

    Nataka kuku layers waliomaliza kutaga bei ya jumla 11,000 nipo dar es salaam, mawasiliano 0621 863 980,nataka kuanzia 1000+ na zaidi
  10. Tanki

    Kwa Dar es salaam. Ni wapi naweza kwenda kusoma kozi ya Store keeping japo Nipatie Certificate tu.

    Nitashukuru zaidi kama utaniambia na Bei ya hiyo kozi na muda wake hadi kozi kuisha. Natanguliza shukrani
  11. narudi kesho

    Kwanini Waislamu wengi wanaonekana mafukara kuliko Wakristo?

    binafsi nimefanya tafiti katika makanisa na misikiti, haswa katika utoaji sadaka unakuta ukienda makanisani wakati wa sadaka,wanakuwa na bonge la kapu hilo kapu hela zitakozajaa mule haujahesabu unasema pale si chini ya milion 1, njoo huku kwa waislamu unakuta sheikh anachangisha sadaka kwenye...
  12. L

    Rais Samia Kuzindua Kitabu cha Maisha ya Edward Moringe Sokoine Jijini Dar es salaam

    Ndugu zangu Watanzania, Baada ya Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan kumaliza ziara yake kwa kishindoo kikuu kilicho itetemesha Nchi Nzima huko mkoani Ruvuma ,ziara ambayo leo ndio mwisho na ambayo ilikuwa ya mafanikio makubwa sana na ambayo...
  13. Stephano Mgendanyi

    Mhe. Katimba: Daraja la Jangwani Suluhisho la Mafuriko Dar Es Salaam

    MHE. KATIMBA: DARAJA LA JANGWANI SULUHISHO LA MAFURIKO DAR ES SALAAM Naibu Waziri OR-TAMISEMI, Mhe. Zainab Katimba ametembelea eneo la Bonde la mto Msimbazi ambalo hivi karibuni Ofisi ya Rais TAMISEMi kwa kushirikiana na wizara ya Ujenzi kupitia TANROADS wanatarajia kusaini mkataba na...
  14. L

    Wana CHADEMA wamsaliti na kumgomea kabisa Mbowe kuandamana mpaka ajikuta akikamatwa akiwa mwenyewe na waandishi wa habari tu

    Ndugu zangu Watanzania, Mbowe ametia sana huruma leo alipokuwa anakamatwa na kupakiwa kwenye Gari la kifahari la polisi .Amejikuta hakuna mwana CHADEMA hata mmoja aliyejitokeza wala kuwa karibu naye kumtetea au kumsaidia kwa lolote lile ,zaidi ya kuona waandishi wa habari wakiongozwa na KIkEKE...
  15. Mindyou

    SI KWELI Leo Septemba 23, 2024 Mbowe yuko Arusha

    Wakati Chama Cha Demokrasia na Maendeleo Chadema kikitangaza kufanya Maandamano ya amani leo Jijini Dar Es salaam chini ya Mwenyekiti wake Freeman Mbowe, Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Paul Christian Makonda amechapisha mtandaoni mwake akisema anazo taarifa kuwa Mwenyekiti Mbowe yupo Arusha na...
  16. N

    Afande Muliro: Atakayethubutu kuandamana Dar es Salaam kesho atakiona

    WAKATI mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na maendeleo (CHADEMA) Freeman Mbowe akitangaza uwepo wa Maandamano ya Chama hicho Siku ya jumatatu September 23 ,Jeshi la Polisi Nchini limeweka mkazo wake kuwa piga marufuku maandamano hayo . Kuwa maandamano hayo yana viashiria vyote vya uvunjifu wa...
  17. T

    Kati ya Ilala dar es salaam na nyamagana mwanza . Wilaya ipi imeendelea?

    Habari wadau . Nataka kufaham kati ya wilaya ilala (Jiji) dar es salaam na wilaya ya nyamagana (Jiji) mwanza. Ip imeendelea kimajengo, miundombinu, mapato na huduma za kijamii
  18. M

    Uchafu wa bahari eneo la ferry Kivukoni Dar es salaam

    Hamna hata salamu, Hili eneo ni chafu. Lipo karibu na ikulu na maofisi makubwa. Idara inayohusika na usafi wa mazingira ya bahari na nchi kavu huwa wakienda ofisini kazi yao ni ipi? Na sisi wananchi, hivi ni mpaka kampeninya usafi ifanywe ndio tujue umuhimu wa usafi? Hebu tubadilike. Watu...
  19. ESCORT 1

    Nimepishana na msafara mkubwa wa magari ya polisi hapa Kibaha, uelekeo wao ni Dar Es Salaam

    Magari takribani 12 mpaka 14 aina ya Land Cruiser yakiea na shehena ya askari nimepishana nayo hapa kibaha yakielekea Dar. Jumatatu kutachangamka sana huko Mjini, mliopo Mbezi mnaweza mkosogea karibu na barabara mjionee🤣
  20. B

    Polisi wa Kuzuia Fujo wasambazwa jijini Dar: Ni kutangaza hali ya hatari?

    21 September 2024 Ulinzi umeimarishwa jijini Dar es Salaam huku magari ya polisi yakionekana yakizunguka kuweka ukuta wa kufikirika https://m.youtube.com/watch?v=IJgCHuVI4dA Tanzania ni nchi ya kipekee kwa kutoonekana askari polisi kuzagaa ambapo nchi zingine kama Ethiopia, Kenya n.k ni...
Back
Top Bottom