Sijui kwa nini watawala siku zote wanapoambiwa tumechelewa sana huwa wanakimbilia kuifananisha Tanzania na Marekani huku wakiacha mifano sahihi kama Korea Kusini, Singapore, Malaysia, Vietnam, na Indonesia.
Huyu hapa Bashungwa anafanya janja janja hiyo hiyo!
Nimekutana na huu mjadala mahala.
Watoa hoja wanatoa sababu za msingi. Dar ni jiji pana kulinganisha na majiji yote nchini.
Mtu kutoka Bunju kwenda chanika Ukiwa Mwanza unakuwa umeshafika karibu na Mwigumbi mpakani na Shinyanga.
Kama unakaa chanika, na unataka kuenjoy na familia weekend...
Jana usiku, majira ya saa mbili hivi, nilikuwa mahali nikibadilishana mawazo na washkaji, lakini bila kutarajia, nilijikuta macho yangu yakielekea angani ambapo yaliona kitu kilichotafsiriwa kichwani mwangu kuwa cha ajabu.
Kwanza, nilidhani ni msururu wa ndege zinazopita kwenye anga la...
Nimetoka Dar nikaenda hii mikoa kujitafuta mbeya, Mwanza, bukoba, Dodoma hakuna cha zaidi nilichopata ni kuchoma mtaji tuu,
Kuna watu wanasema humu eti maisha yakiwa tight Dar nenda mikoani fursa kibao, hizo ni story tuu mikoani pagumu mzunguko wa pesa mgumu kabisa.
Tukutane kitambaa cheupe...
Serikali imesaini kuanza Ujenzi wa Barabara za Mitaa ya Jiji la Dar Zenye urefu wa km 250 Kwa zaidi ya Shilingi Trilioni 1.2.
Pamoja na kwamba Jiji la Dar ndio kitovu Cha Uchumi wa Nchi ila upendeleo umezidi.
Kwa jini la Dar peke yake Kuna miradi yenye zaidi ya km 600 kama Ifuatavyo. Pia soma...
Master plan ya wakoloni ilitaka mji au jiji la Dar es Salaam lijengeke kuelekea Pugu.majengo yaliyopo mtaa wa Nkrumah ,viwanda Pugu Road,na uwekezaji mwingine kwa njia hiyo ni ushahidi tosha.
Baada ya Uhuru mji ukaelekea Bagamoyo Road na Morogoro Road.
Kumbuka Pugu Road ina uwezo wa kufika...
Mimi ni bodaboda ambaye kwa namna moja ama nyingine nimekutana na mikasa ya aina mbalimbali barabarani kama ajali, kuibiwa pamoja na kadhia ya kukamatwa na Askari wa Usalama barabarani kwa makosa mbalimbali ya barabarani.
Ni kweli ninakiri mara kadhaa nimekuwa nikivunja sheria za barabarani...
Kampuni ya Coca-Cola Tanzania imezindua kampeni maalum inayowalenga wateja wa migahawa ya KFC jijini Dar es Salaam, ambapo wanapata fursa ya kujipatia zawadi mbalimbali lakini pia kushiriki Tamasha la Chakula la Coca-Cola linalotarajiwa kufanyika Novemba.
Kampeni hii, iitwayo ‘Food Pass’...
Dar es Salaam. Tanzania, kupitia Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA), inatekeleza mradi wa Sh678.6 bilioni ambao utaboresha utaratibu wa upakuaji mafuta katika Bandari ya Dar es Salaam.
Ujenzi wa Tanks Farm (Matanki ya Mafuta), ambao umefikia asilimia saba, unatarajiwa kuboresha...
Habari wakuu,
Mimi ni msichana wa miaka 23 nimemaliza chuo kikuu mwaka huu kwa masomo 2024 ya Uhasibu na Biashara (Bachelor in Accounting ). Tangu nikiwa chuo nimekuwa nikifanya ujasiriamali wa kuuza vipodozi na nguo za kike hadi hivi juzi juzi nilipohitimu.
Nipo hapa hapa Dar es Salaam...
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Dadeki! Haya Maisha bhana kûna mambo ukiyakumbuka unabaki kucheka tuu.
Bhana! Bhana! Kûna Dili nilikuwa nafukuzia Mbeya. Sasa Dili lenyewe likabuma, Pesa ya Guest Ikawa imeisha, Pesa ya nauli haitoshi kwani nilikuwa nimebakiwa na elfu ishirini na Saba na nauli...
Wairaq na wambulu wote ni ndugu!
Dada yako anaumwa huko mkoani wanakuomba mchango hutumi unabaki tu nitawatumia,lakini kila weekend uko Kitambaa cheupe na Malaya huku mezani ukiwaongezea pombe watu usiowajua Ili uonekane una Hela!
Mama yako aliyekulea na kukusomesha baada ya baba yako...
Apartments for Sale
Nzuri sana ya kisasa, iko Mikocheni Karibu na palm village, barabarani kabisa.
Fully furnished, 3 master bedroom, kuna gym na swimming pool.
Inauzwa $220,000 ( Dola laki mbili na ishirini)
Ina mteja analipa kodi $1500 per month, Kama mtu anataka kuhamia mteja atapewa notice...
apartments
bahari
beach
beach plot
chang'ombe
dardaressalaam
duce
eneo
eneo linauzwa
for sale
houses
karibu
kinauzwa
kinondoni
kiwanja
kiwanja kinauzwa
linauzwa
masaki
mbagala
mlandizi
morocco
msasani
new
plot
plot for sale
plots
sale
temeke
with
Habari wakuu naomba msaada wenu kuhusu safari za train kutoka mbeya kwenda Dar es Salaa.
Ni lini inatoka mbeya kwenda DSM. Zote zikiwemo express na ordinary. Mbeya linaondoka siku gani?
Msaada please.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.