dar es salaam

Dar es Salaam
Dar es Salaam is the largest city and financial hub of Tanzania. With a population of over five million people, Dar es Salaam is the largest city in East Africa and the sixth-largest in Africa. Located on the Swahili coast, Dar es Salaam is an important economic center and one of the fastest-growing cities in the world.
  1. jingalao

    Emergency response team ya Dar es Salaam imekua kulinganisha na zamani

    Ukweli usemwe. Hakika naiona coordination ya hali ya juu namna Team ya kukabiliana na Majanga Dar es Salaam inavyoweza kupambana na majanga ya kipekee na ya aina tofauti tofauti. Tuendelee kutambua mapungufu ili wayaboreshe siku hadi siku. Mungu awape nguvu frontliners wote na wananchi kwa...
  2. P

    Kuwe na mkakati maalumu wa kupunguza idadi ya Wakazi katika mkoa wa Dar es Salaam

    Serikali kupitia mamlaka husika hasa mipango miji, ingepunguza au kuweka idadi kamili ya wakazi katika mkoa wa Dar es Salaam. Dar es Salaam watu wamerundikana sehemu moja kuanzia makazi hadi vyombo vya usafiri. Sasa kwa nia njema kwanini kusiwe na mpango wa ku zuwia ongezeko la idadi ya watu...
  3. B

    Ningekuwa mwenyekiti wa Ulinzi na Usalama Dar Es Salaam, ningefanya haya kujiandaa na Majanga na wakati wa Majanga

    Ndugu zangu wana Jukwaa, poleni kwa sote kwa yale yanayoendelea. Tuendelee kuweka nguvu zetu kwa panoja ili hatimaye hatua za uokoaji ambao serikali imeshaingilia kati ziweze kulete manufaa kwa wahanga. Pamoja na hayo ni vema tukatumia wakati kama huu kabla watu jawajasahau( watanzania ni...
  4. Mwanadiplomasia Mahiri

    Kuna sehemu ina vibaka wengi Dar Es Salaam kama Kiwalani?

    Huku kuna vibaka na wahuni aisee! Ukiwa mgeni hujulikani unaweza ukakabwa hata mbele ya wamama wakaanga sambusa na wakabaji wasifanywe kitu chochote. Kuna sehemu ya kuizidi Kiwalani kwa vibaka? Tushirikishe
  5. Waufukweni

    Mandonga amerudi upya, amekuja na Ngumi SGR, unapigwa Tanga kuzinduka Dar

    Bondia wa Ngumi nchini Karim Mandonga ametamba kuonyesha Ngumi ya SGR katika Pambano la Ngumi ya Tanga litakalofanyika Novemba 16 likiwa ni kuhamasisha wananchi kushiriki kwenye uchaguzi wa Serikali za Mitaa utakaofanyika Novemba 27 mwaka huu. Mandonga aliyoa tambo hizo wakati wa mkutano na...
  6. Rashidmayunga

    Natafuta gari la kufanyia taksi mtandao - Bolt & Uber. Nina uzoefu wa miaka mitano

    Natafuta gari ya kufanyia taksi mtandao - maarufu Bolt au Uber. Uzoefu ni miaka mitano hapa Dar es Salaam. Kwa mwenye gari anipigie kwa namba 0759280756. Gari ni IST, Sienta, Passo, Ractis, Raum au Vitz
  7. M

    Plot4sale

  8. L

    Rais Samia Akizungumza Na wajumbe wa Tume ya Mipango Ikulu ya Dar es Salaam

    Ndugu zangu Watanzania, Nawaambieni muda wote na siku zote kuwa RAIS wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi muda wote anafanya kazi kwa ajili ya kuwatumikia watanzania,muda na wakati wote anahangaika kutatua kero za watanzania,muda na kila dakika anafanya kazi ya kutafuta majawabu ya changamoto...
  9. G

    Mjini ni Dar es Salaam tu, Majiji yaliyobaki ni vijiji vikubwa

    Mwanza, Mbeya, Arusha, Dodoma na Tanga ni VIJIJI VIKUBWA Nje ya Dsm ni ngumu kukuta jiji lenye mjumuiko wa vitu zaidi ya vitano vifuatavyo Mji kuwa wazi walau hadi saa tano usiku Mzunguko wa pesa angalau 1/3 ya dsm Maghorofa zaidi ya 5 yaliyovuka ghorofa 10 Uwanja wa ndege wenye Destinations...
  10. Waufukweni

    Rais wa CAF, Patrice Motsepe ashtakiwa Dar es Salaam, Kesi ya Tsh. bilioni 525.8 kuunguruma leo

    Rais wa Shirikisho la soka la Afrika (CAF), Patrice Motsepe yamemkuta makubwa nje ya uwanja ambayo yatamlazimu kuwepo Dar es Salaam. Bosi huyo ambaye ni mmiliki wa klabu tajiri ya Mamelodi Sundowns amefunguliwa kesi nzito na kesho jumatatu itaanza kuunguruma Jijini Dar es Salaam. Kesi hiyo...
  11. mdukuzi

    Mzee wa Upako yuko sahihi, ukiishi Dar es Salaam ukafa masikini wewe ni mjinga

    Wote mnaoishi Dar es salaam huku mnalia maisha magumu ni mafala,aliwahi kusema Anton Lusekelo mzse wa upako Ukipita barabarani ni foleni za magari lakini wewe huna hata pikipiki we ni Majumba yote jiji zima lakini huna hata kiwanja wewe ni ...... Jiji lina watu milioni sita,ukibuni product...
  12. M

    Albert Chalamila: Nimeandika wosia nikifa nizikwe Kiislamu

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amesema miongoni mwa mambo ambayo anayapenda ni kuhusu jinsi waumini wa Dini ya Kiislam wanavyowazika wapendwa wao na kueleza kuwa ameandika wosia kwamba atakapofariki, anataka kuzikwa kama Waislam wanavyozikwa.
  13. Mzee Wa Kale Kabisa

    Mgao wa umeme umerudi Dar es Salaam?

    Maeneo mengi ya Dar es Salaam kwa sasa yanakabiliwa na changamoto ya upatikanaji wa umeme wa uhakika, umeme umekuwa ukikatika kwa masaa kadhaa huku kukiwa hamna taarifa yoyote kutoka kwa wahusika. TANESCO mtuweke wazi ili tunavyopanga ratiba zetu na ninyi tuwajumuishe na mipango yenu ya kukata...
  14. E

    Biashara ndogo ndogo zinazolipa Dar es salaam

    Kuna biashara zinaonekana ndogo lakini kipato chake kimechangamka 1. Miwa- hii inalipa sana 2. Karanga 3. Kahawa- faida X2 4. Fenesi- k/koo&sinza, Niongezeeni nyingine, nahitaji kutoa ajira kwa wapambanaji zaidi.
  15. B

    Kongamano la kibiashara Urusi na Tanzania jijini Dar es Salaam 2024

    Urusi yaonesha nia ya miradi ya pamoja na Tanzania katika nishati, kilimo, utalii - waziri wa Russia https://m.youtube.com/watch?v=7C4qDNifPQ0 DAR ES SALAAM. Oct 28 (Interfax) - Urusi na Tanzania zina uwezo wa kuongeza maradufu biashara zao. Na wafanyabiashara wa Urusi waonyesha nia ya kuwekeza...
  16. Juice world

    Hivi unawezaje kuishi nje ya Dar es Salaam

    Kila nikitafakari kwamba Kuna binadamu wanaishi Tanzania hii nje ya dar es salaam huwa nashindwa kuelewa. Yaani mtu unawezaje kuishi porini aisee kweli ndio maana dar ni ya wajanja nyie wa mikoani ni washamba sana. Ndio maana mademu zenu wakija huku wanarudi na mimba sababu ya ushamba wao ya...
  17. tang'ana

    Kuna uhaba mkubwa wa safari lager chupa kubwa kwenye jiji la Dar es Salaam

    Wakuu heshima yenu. Nikiwa kama mtumiaji wa hicho kinywaji,nina malalamiko yangu kwa wahusika. Toka siku tatu au nne zilizopita kumekua na uhaba mkubwa wa safari lager chupa kubwa hapa Dar. Nimetembelea bar nyingi za maeneo ya mbezi mwisho,kimara,ubungo,manzese,mwenge,tabata na Kibamba hiyo bia...
  18. Yoda

    Waziri Bashungwa: Barabara ya Mtwara hadi Dar es Salaam kujengwa upya

    Sijui kwa nini watawala siku zote wanapoambiwa tumechelewa sana huwa wanakimbilia kuifananisha Tanzania na Marekani huku wakiacha mifano sahihi kama Korea Kusini, Singapore, Malaysia, Vietnam, na Indonesia. Huyu hapa Bashungwa anafanya janja janja hiyo hiyo!
  19. matunduizi

    Je, ni kweli kuishi Dar es Salaam bila gari ni kujipunja na kuihujumu familia kimaisha?

    Nimekutana na huu mjadala mahala. Watoa hoja wanatoa sababu za msingi. Dar ni jiji pana kulinganisha na majiji yote nchini. Mtu kutoka Bunju kwenda chanika Ukiwa Mwanza unakuwa umeshafika karibu na Mwigumbi mpakani na Shinyanga. Kama unakaa chanika, na unataka kuenjoy na familia weekend...
  20. Yohimbe bark

    Hivi kuna watu wapo humu na hawajawahi kabisa kufika jijini Dar es Salaam?

    Nimewaza tuu eti Kuna watu mpo humu mnaisikia Dar redioni tuu? How come? Yani una miaka 30 plus dar hujawahi kufika??
Back
Top Bottom