Kwa miaka ya hivi karibuni matumizi ya neno dear yameongezeka sana, zamani ukimuita mtu dear maana yake kuna mapenzi kati yenu
Siku hizi dear linatumika kwa mtu yoyote yule hasa sisi wadada tunaitana sana hivyo.
Cha kushangaza sasa...Unaweza ukawa unawasiliana na mtu/mdada ambae hamfahamiani...