kiss ov love
JF-Expert Member
- Jan 21, 2025
- 9,388
- 16,188
Kwani ni lazima maharusi kucheza siku ya sherehe ya ndoa yao, kama haujui si ni heri mtulie tu kuliko kujidhalilisha kama hivi😅😅😅
Hakikisha hagusi kamnyweso kabisa🍺, huwa wanajidanganya kidogo ya kutolea aibu halafu wao ndiyo wanageuka kuwa hiyo aibu 🤣🚮Kwani ni lazima maharusi kucheza siku ya sherehe ya ndoa yao, kama haujui si ni heri mtulie tu kuliko kujidhalilisha kama hivi😅😅😅
Usiogope, hilo ni tukio la siku moja tu, ila ndoa halisi ni kuiishi maisha yako yote ndani ya misingi ya ndoa.Kwani ni lazima maharusi kucheza siku ya sherehe ya ndoa yao, kama haujui si ni heri mtulie tu kuliko kujidhalilisha kama hivi😅😅😅
Kwanini aniaibishe sasa si asicheze tu jamani hapo watu wote si watakuwa wamemuona kitukoUsiogope, hilo ni tukio la siku moja tu, ila ndoa halisi ni kuiishi maisha yako yote ndani ya misingi ya ndoa.
Kweli kabisaa mkuu kama hauna kipaji achana na kucheza siku muhimu kama hiyoKucheza mziki ni kipaji
😂😂😂ulifunika kama huyo bwana harusi hapo kwenye videoMimi kwenye harusi yangu nilikiwasha kinoma,... Mpaka wageni waalikwa wakajua nimepiga pombe 😂😂.... Nilicheza kwelikweli,... Dancing ya uhakika😂😂😂
Kuna tatizo gani hapo?Kwani ni lazima maharusi kucheza siku ya sherehe ya ndoa yao, kama haujui si ni heri mtulie tu kuliko kujidhalilisha kama hivi😅😅😅
Kwani ni lazima maharusi kucheza siku ya sherehe ya ndoa yao, kama haujui si ni heri mtulie tu kuliko kujidhalilisha kama hivi😅😅😅