To yeye
JF-Expert Member
- May 30, 2016
- 20,518
- 38,854
Wanawake walikufanya Nini mkuuMnawaza sana harusi na ndoa sio kipaumbele chenu ndio maana kauli kama hizi zinaonekana kawaida
Wanawake walikufanya Nini mkuuMnawaza sana harusi na ndoa sio kipaumbele chenu ndio maana kauli kama hizi zinaonekana kawaida
Kwan kuna namna inaonesha nimefanywa kitu mkuu kwa comment hii?Wanawake walikufanya Nini mkuu
Sio yeye ni KONYAGI MWITU.Kwani ni lazima maharusi kucheza siku ya sherehe ya ndoa yao, kama haujui si ni heri mtulie tu kuliko kujidhalilisha kama hivi😅😅😅
View attachment 3455253
Huu ujasiri wa bwana harusi ni kwa hisani ya OH- au jani la jamaica.Kwani ni lazima maharusi kucheza siku ya sherehe ya ndoa yao, kama haujui si ni heri mtulie tu kuliko kujidhalilisha kama hivi😅😅😅
View attachment 3455253
Wanapenda harusi kuliko ndoaMnawaza sana harusi na ndoa sio kipaumbele chenu ndio maana kauli kama hizi zinaonekana kawaida
😂😂huyu anaonekana bado bikraHuu ujasiri wa bwana harusi ni kwa hisani ya OH- au jani la jamaica.
Alitakiwa afanyaje😂😂Mwanamke naye hakutoa ushirikiano mzuri
Kwani ni lazima maharusi kucheza siku ya sherehe ya ndoa yao, kama haujui si ni heri mtulie tu kuliko
😃😃😃Kwani ni lazima maharusi kucheza siku ya sherehe ya ndoa yao, kama haujui si ni heri mtulie tu kuliko kujidhalilisha kama hivi😅😅😅
View attachment 3455253
😂😂😂😂Huyo mwamba nimemkubali unatakiwa uwe unique,Mimi nikioa nitaingia na singeli full kukichafua.
Sawa mkuuTafuta saizi yako
Huna haja ya kulalama kuaibishwa
Mbona huyu anaonekana kama msukuma🤣🤣Yuko vzr, style ya kipekee, ni wale wadudu WA Arusha
Si ndiyo vizuri ili waache kukusumbua tenaUjinga tu ndoa zimekua fashion kukutanisha ma ex walioichapa
Sasa unamzunguaje boss wako😂Ingekuwa huku kwetu bush,lazima mc angemzingua,mamc wa huku mafridge yao hayagandishagi
Acha wivuKwani ni lazima maharusi kucheza siku ya sherehe ya ndoa yao, kama haujui si ni heri mtulie tu kuliko kujidhalilisha kama hivi😅😅😅
View attachment 3455253
Jamaa aliingia kashavuta tayariKwani ni lazima maharusi kucheza siku ya sherehe ya ndoa yao, kama haujui si ni heri mtulie tu kuliko kujidhalilisha kama hivi😅😅😅
View attachment 3455253