Dear future husband ukiniabisha siku ya ndoa yetu kama hivi, sitaweza kukuvumilia

Dear future husband ukiniabisha siku ya ndoa yetu kama hivi, sitaweza kukuvumilia

Utakua uliwashinda wengi kwenye competition ya kumuoa aisee.
Hakika....😂😂😂... Na mpaka Sasa tuko tunaishi wote... Na kanizalia watoto watatu...

Kila nikikumbuka siku Ile Huwa nacheka mwenyewe....😂😂
 
Yaani nitoboke kulipa mahari,

Nipigike kutafuta pesa ya sherehe.

Nihangaike kuwashawishi watu wachangie.

Na hiyo nguo uliyovaa kwenye harusi nikununulie(sometime).

Halafu wakati wa kucheza unipangie, nichezeje!!!!!
Ihiiiiiiiii.
 
Kwani ni lazima maharusi kucheza siku ya sherehe ya ndoa yao, kama haujui si ni heri mtulie tu kuliko kujidhalilisha kama hivi😅😅😅

View attachment 3455253
😎😎
Andrew weds Jovia.heic.jpg
 
Back
Top Bottom