Mtoto alieuwawa KIFO cha kutisha Mbagala, aliyehusika ni baba wa mtoto (ex wa mama mtoto)

Alexido jz instagram

JF-Expert Member
Joined
May 5, 2026
Posts
4,686
Reaction score
10,018
Huyo jamaa inasemekana alikua baba wa kambo wa mtoto. Waliachana na mama wa mtoto lakini alipo taka kurudisha majeshi kwa mamtu, akachomolewa, Yaniama wa mtoto alimkaataa jamaa wasirudiane.

Jamaa akaona isiwe kesi akaenda kwa bibi wa mtoto ambae ndie aliekua anamlea chalinze.

Alimchukua sijajua ni kwa ushawishi upi kwa bibi huyo na kumteka, kabla haja muua alimpigia simu dear ex mamtu, akamwambia aongee na mwanae kwa mara ya mwisho kwani ana muua, jamaa ame muua kifo cha KUTISHA ikiwemo kumharibu macho mtoto na mateso mengine, inasikitisha baada ya hapo akachukia mfuko akamuweka na kumtupa.

Muokot makopo ndie ALIE gundua mwili huo, nakutoa TAARIFA. Mungu ambariki muokota makopo wengine wananyuti.

Swali, baada ya mama kupigiwa simu, kua mwanae katekwa, alitoa TAARIFA polisi haraka? Why alinyamaza?.

Nimepata mashaka hata yule Binti wa pemba alie ukiwa na kukatwa kiganja cha mkono, ni mambo ya visasi
 
Nasubiri kuona ni wanaume wangapi hapa JF wata-respond kwenye huu uzi. Wachache watakaofanya hivyo lawama itakuwa kwa mwanamke kwanini hakutoa taarifa police mapema.
 
Nimesoma mara 3 ,sijaelewa
1.Alikuwa baba wa kambo wa mtoto?
2.Waliachana na mama wa mtoto?
3.mama wa mtoto alimkataa jamaa wasirudiane?
4.mtoto alikuwa kwa bibi?
5. Baba mtoto alimpigia cm mama mtoto aongee nae kwa mara ya mwisho ?

x+. = xy

Tafta y ambae n mzazi
 
Nadhani alihisi MASIKHARA, lakini huyu jamaa Kwa nini afanye hivo kwa mtoto asie husika na jambo lolote, dunia bhana
 
Huyo jamaa inasemekana alikua baba wa kambo wa mtoto. Waliachana na mama wa mtoto lakini alipo taka kurudisha majeshi kwa mamtu, akachomolewa, Yaniama wa mtoto alimkaataa jamaa wasirudiane.

Jamaa akaona isiwe kesi akaenda kwa bibi wa mtoto ambae ndie aliekua anamlea chalinze.

Alimchukua sijajua ni kwa ushawishi upi kwa bibi huyo na kumteka, kabla haja muua alimpigia simu dear ex mamtu, akamwambia aongee na mwanae kwa mara ya mwisho kwani ana muua, jamaa ame muua kifo cha KUTISHA ikiwemo kumharibu macho mtoto na mateso mengine, inasikitisha baada ya hapo akachukia mfuko akamuweka na kumtupa.

Muokot makopo ndie ALIE gundua mwili huo, nakutoa TAARIFA. Mungu ambariki muokota makopo wengine wananyuti.

Swali, baada ya mama kupigiwa simu, kua mwanae katekwa, alitoa TAARIFA polisi haraka? Why alinyamaza?.

Nimepata mashaka hata yule Binti wa pemba alie ukiwa na kukatwa kiganja cha mkono, ni mambo ya visasi
Hatari sana. Binadamu kwa ukatili ni zaidi ya wanyama pori. Ni suala la muda tu.
 
Mapenzi yamegeuka Lango kuu la Kifo.
😭😭😭
Coca roho Zina badilika, hao wanao uana sio kwamba hawapendani, no niwatu ambao walisha wahi lala uchi pamoja kujifunika shuka Moja pamoja, sometimes inabidi umchunguze na kumuomba mungu sana mtu ulie nae kwenye mahusiano, usiangalie anakupendaje Leo amini Kuna siku atabadilika
 
Nimesoma mara 3 ,sijaelewa
1.Alikuwa baba wa kambo wa mtoto?
2.Waliachana na mama wa mtoto?
3.mama wa mtoto alimkataa jamaa wasirudiane?
4.mtoto alikuwa kwa bibi?
5. Baba mtoto alimpigia cm mama mtoto aongee nae kwa mara ya mwisho ?

x+. = xy

Tafta y ambae n mzazi
Mzazi halisi wa mtoto ambae ni baba hajahusika kwenye hii stori mana hajatajwa,
 
Coca roho Zina badilika, hao wanao uana sio kwamba hawapendani, no niwatu ambao walisha wahi lala uchi pamoja kujifunika shuka Moja pamoja, sometimes inabidi umchunguze na kumuomba mungu sana mtu ulie nae kwenye mahusiano, usiangalie anakupendaje Leo amini Kuna siku atabadilika
Mpaka chumvini anazama mwisho wa siku anabadirika
 
Huyo jamaa inasemekana alikua baba wa kambo wa mtoto. Waliachana na mama wa mtoto lakini alipo taka kurudisha majeshi kwa mamtu, akachomolewa, Yaniama wa mtoto alimkaataa jamaa wasirudiane.

Jamaa akaona isiwe kesi akaenda kwa bibi wa mtoto ambae ndie aliekua anamlea chalinze.

Alimchukua sijajua ni kwa ushawishi upi kwa bibi huyo na kumteka, kabla haja muua alimpigia simu dear ex mamtu, akamwambia aongee na mwanae kwa mara ya mwisho kwani ana muua, jamaa ame muua kifo cha KUTISHA ikiwemo kumharibu macho mtoto na mateso mengine, inasikitisha baada ya hapo akachukia mfuko akamuweka na kumtupa.

Muokot makopo ndie ALIE gundua mwili huo, nakutoa TAARIFA. Mungu ambariki muokota makopo wengine wananyuti.

Swali, baada ya mama kupigiwa simu, kua mwanae katekwa, alitoa TAARIFA polisi haraka? Why alinyamaza?.

Nimepata mashaka hata yule Binti wa pemba alie ukiwa na kukatwa kiganja cha mkono, ni mambo ya visasi
Kwa Allah kuna malipo
 
Huyo mpuuzi anahitaji kutupwa kwenye banda la nguruwe, kukatwa uume na kila siku asubuhi mijeledi mpaka kifo chake. Anapaswa kuishi maisha marefu. Wasisahau kumng'oa meno bila ganzi.
Na mashaka akikamatwa tutasikia anafubgwa miaka kumi, kama yule mlinzi alie muua mwanafunzi akamtupa mtoni ye na mwalimu wa shule, wamehukumiwa miaka nane
 
Back
Top Bottom