Alexido jz instagram
JF-Expert Member
- May 5, 2026
- 4,686
- 10,018
- Thread starter
- #21
Sasa ni too muchHatari sana sema ni mitandao imekuja kufichua haya mambo lakini mauaji ya visasi kwenye nchi yetu yamekuwepo mda sana
Sasa ni too muchHatari sana sema ni mitandao imekuja kufichua haya mambo lakini mauaji ya visasi kwenye nchi yetu yamekuwepo mda sana
Someni Uzi Wa Robert Heriel Mtibeli kabla hamjamlaumu muuajiHuyo jamaa inasemekana alikua baba wa kambo wa mtoto. Waliachana na mama wa mtoto lakini alipo taka kurudisha majeshi kwa mamtu, akachomolewa, Yaniama wa mtoto alimkaataa jamaa wasirudiane.
Jamaa akaona isiwe kesi akaenda kwa bibi wa mtoto ambae ndie aliekua anamlea chalinze.
Alimchukua sijajua ni kwa ushawishi upi kwa bibi huyo na kumteka, kabla haja muua alimpigia simu dear ex mamtu, akamwambia aongee na mwanae kwa mara ya mwisho kwani ana muua, jamaa ame muua kifo cha KUTISHA ikiwemo kumharibu macho mtoto na mateso mengine, inasikitisha baada ya hapo akachukia mfuko akamuweka na kumtupa.
Muokot makopo ndie ALIE gundua mwili huo, nakutoa TAARIFA. Mungu ambariki muokota makopo wengine wananyuti.
Swali, baada ya mama kupigiwa simu, kua mwanae katekwa, alitoa TAARIFA polisi haraka? Why alinyamaza?.
Nimepata mashaka hata yule Binti wa pemba alie ukiwa na kukatwa kiganja cha mkono, ni mambo ya visasi
Zingine laana syo mapenzi.
Kuna matukio mengne ni ya mikosi na laana. Unaua mtoto anahusika vip
Noma sana Kwa nini jamaa asimuue demu? Kama walioiana vyao unaenda ua kitoto
Yah hali inazidi kuwa mbaya binadam hawataki KuachiliaSasa ni too much
Mental healthHuyo jamaa inasemekana alikua baba wa kambo wa mtoto. Waliachana na mama wa mtoto lakini alipo taka kurudisha majeshi kwa mamtu, akachomolewa, Yaniama wa mtoto alimkaataa jamaa wasirudiane.
Jamaa akaona isiwe kesi akaenda kwa bibi wa mtoto ambae ndie aliekua anamlea chalinze.
Alimchukua sijajua ni kwa ushawishi upi kwa bibi huyo na kumteka, kabla haja muua alimpigia simu dear ex mamtu, akamwambia aongee na mwanae kwa mara ya mwisho kwani ana muua, jamaa ame muua kifo cha KUTISHA ikiwemo kumharibu macho mtoto na mateso mengine, inasikitisha baada ya hapo akachukia mfuko akamuweka na kumtupa.
Muokot makopo ndie ALIE gundua mwili huo, nakutoa TAARIFA. Mungu ambariki muokota makopo wengine wananyuti.
Swali, baada ya mama kupigiwa simu, kua mwanae katekwa, alitoa TAARIFA polisi haraka? Why alinyamaza?.
Nimepata mashaka hata yule Binti wa pemba alie ukiwa na kukatwa kiganja cha mkono, ni mambo ya visasi
Ndo uue kitoto ,mtoto anahusika na Nini,?Someni Uzi Wa Robert Heriel Mtibeli kabla hamjamlaumu muuaji
Wewe unamuona kama muuaji ndiye mkosaji tu, unajua huyo Single Maza alimfanya nini huyo Jamaa? Sio mwehu kwenda kulipiza kisasiNdo uue kitoto ,mtoto anahusika na Nini,?
Inasikitisha sana, Watu kama hawa hawaogopi jela. Wakipewa adhabu ya kudhalilisha ubinadamu wao kwa kiwango cha jumuiya za kimataifa kuingilia kati tutaongea lugha moja.Na mashaka akikamatwa tutasikia anafubgwa miaka kumi, kama yule mlinzi alie muua mwanafunzi akamtupa mtoni ye na mwalimu wa shule, wamehukumiwa miaka nane
Wewe ndiyo mpuuzi, huyo jamaa Yuko sahihi Mimi namuunga mkonoHuyu jamaa ni mpuuzi,hata kama aliliwa vipesa vyake .mtoto hauusiki hata kwa asilimia 0.0001. inatakiwa mtu kama huyu anatupwa mto ruvuma analiwa na mamba hakuna Cha mahakama
Imagine ulipokuwa na miaka mi4 mzazi wako kakosana na mwenzake huko halafu unaadhibiwa wewe halafu kuna mtu wa umri wako ametoa hii hoja uliyoitoa.Wewe unamuona kama muuaji ndiye mkosaji tu, unajua huyo Single Maza alimfanya nini huyo Jamaa? Sio mwehu kwenda kulipiza kisasi
Wewe ndiyo mpuuzi, huyo jamaa Yuko sahihi Mimi namuunga mkono
Mwambie mwehu ni Yule aliyeanza ubaya kwa mwenzake huyo yeye kafanya kumalizia, Acha kujifanya Una busara, hizo busara mngemfundisha huyo MalayaAisee .unaua mtoto kwa kumtoboa macho mtoto anajua Nini ..tuna safari ndefu sana
Kama mawazo ndo haya ,wehu mpo wengi
Ndyo uue mtoto ? ( Mtoto anahusika vipiMama wa mtoto aja tulia afu ana kiburi
Mkuu wewe wNdyo uue mtoto ? ( Mtoto anahusika vipi