Mtoto alieuwawa KIFO cha kutisha Mbagala, aliyehusika ni baba wa mtoto (ex wa mama mtoto)

Mtoto alieuwawa KIFO cha kutisha Mbagala, aliyehusika ni baba wa mtoto (ex wa mama mtoto)

Someni Uzi Wa Robert Heriel Mtibeli kabla hamjamlaumu muuaji
‘kabla hujamlaumu muuaji’,

mzee upo sawa kweli..!?? yaani unamuita ‘MUUAJI’ na unataka watu wamtetee..!?? hata kama kosa likiwa lipi hakuna replacement kwenye uhai wa mtu, mbona mnahalalisha ukatili kiasi hiki..!? are you guys really okay mentally..!? hivi kuna kitu chenye THAMANI kwenye hii dunia zaidi ya UHAI..!???
 
Coca roho Zina badilika, hao wanao uana sio kwamba hawapendani, no niwatu ambao walisha wahi lala uchi pamoja kujifunika shuka Moja pamoja, sometimes inabidi umchunguze na kumuomba mungu sana mtu ulie nae kwenye mahusiano, usiangalie anakupendaje Leo amini Kuna siku atabadilika
Hatarii sanaa.
 
Mapenzi yamegeuka Lango kuu la Kifo.
😭😭😭
Hakika..!!

Nilidhani wanaume ndio wauaji wakubwa ila taarifa niliyeiona Azam TV jana ilinniacha mdomo wazi.....kati ya watu 900+ waliouawa, wanaume ni. 700+ waliobaki ndio wanawake.

Dunia inapokelewa na wanawake kwa mikono miwili. Tutakoma.
 
Hakika..!!

Nilidhani wanaume ndio wauaji wakubwa ila taarifa niliyeiona Azam TV jana ilinniacha mdomo wazi.....kati ya watu 900+ waliouawa, wanaume ni. 700+ waliobaki ndio wanawake.

Dunia inapokelewa na wanawake kwa mikono miwili. Tutakoma.
Poleni sana.
 
Mwambie mwehu ni Yule aliyeanza ubaya kwa mwenzake huyo yeye kafanya kumalizia, Acha kujifanya Una busara, hizo busara mngemfundisha huyo Malaya
Kaka tupe kis basi ili tupime kama hiyo adhabu ili stahili sasa husemi kisa cha huyo Malaya lakini unasapoti ubaya tukufikiri vipi
 
Huyo jamaa inasemekana alikua baba wa kambo wa mtoto. Waliachana na mama wa mtoto lakini alipo taka kurudisha majeshi kwa mamtu, akachomolewa, Yaniama wa mtoto alimkaataa jamaa wasirudiane.

Jamaa akaona isiwe kesi akaenda kwa bibi wa mtoto ambae ndie aliekua anamlea chalinze.

Alimchukua sijajua ni kwa ushawishi upi kwa bibi huyo na kumteka, kabla haja muua alimpigia simu dear ex mamtu, akamwambia aongee na mwanae kwa mara ya mwisho kwani ana muua, jamaa ame muua kifo cha KUTISHA ikiwemo kumharibu macho mtoto na mateso mengine, inasikitisha baada ya hapo akachukia mfuko akamuweka na kumtupa.

Muokot makopo ndie ALIE gundua mwili huo, nakutoa TAARIFA. Mungu ambariki muokota makopo wengine wananyuti.

Swali, baada ya mama kupigiwa simu, kua mwanae katekwa, alitoa TAARIFA polisi haraka? Why alinyamaza?.

Nimepata mashaka hata yule Binti wa pemba alie ukiwa na kukatwa kiganja cha mkono, ni mambo ya visasi
Umechanganya stori mkuu huyu unayemzungumzia ni wa lugoba. Wa mbagala ni mwingine yeye aliuliwa kwa iman za kishirikina
 
Back
Top Bottom