Huyo jamaa inasemekana alikua baba wa kambo wa mtoto. Waliachana na mama wa mtoto lakini alipo taka kurudisha majeshi kwa mamtu, akachomolewa, Yaniama wa mtoto alimkaataa jamaa wasirudiane.
Jamaa akaona isiwe kesi akaenda kwa bibi wa mtoto ambae ndie aliekua anamlea chalinze.
Alimchukua sijajua ni kwa ushawishi upi kwa bibi huyo na kumteka, kabla haja muua alimpigia simu dear ex mamtu, akamwambia aongee na mwanae kwa mara ya mwisho kwani ana muua, jamaa ame muua kifo cha KUTISHA ikiwemo kumharibu macho mtoto na mateso mengine, inasikitisha baada ya hapo akachukia mfuko akamuweka na kumtupa.
Muokot makopo ndie ALIE gundua mwili huo, nakutoa TAARIFA. Mungu ambariki muokota makopo wengine wananyuti.
Swali, baada ya mama kupigiwa simu, kua mwanae katekwa, alitoa TAARIFA polisi haraka? Why alinyamaza?.
Nimepata mashaka hata yule Binti wa pemba alie ukiwa na kukatwa kiganja cha mkono, ni mambo ya visasi