Wakuu Habari,
Kama heading inavyosema, nahitaji watu wa kushirikiana nao katika utekelezaji biashara ya madini aina ya dhahabu.
Biashara hii nimeifanyia utafiti wa masoko hasa Dar es Salaam na pia sehemu ambapo naweza kupata dhahabu nzuri purity 99%.
Nahitaji partner wakushirikiana nae katika...
Yanaoendelea ndani ya Dunia yetu Kwa nyakati hizi za sasa
Hapo nyuma kidogo kulikuwa na COVID-19,Kwa Sasa tuna vita vya Ukraine.
Haya matukio Kwa taarifa zinazotolewa inaonesha ni Kwa nanma Gani hakuna kitu Cha bahati mbaya.
Sisi watanzania tunacho Cha kujifunza na kuchukua hatua...
Naona watu hawajanielewa! ndio sababu ya ku edit post.
swali langu la msingi ni kwamba nataka kujua, kwa mtaji wa Tshs 100M.
Je naweza pata “Discount” kiasi gani? nataka kusikia makisio tu na kutoka kwa experienced dealers.
Sipo hapa kununua au kutafuta dhahabu maana sio sehemu sahihi.
asanteni
Hii series inasikitisha sana. Inaeleza jinsi wahuni wanavyotumia biashara ya kuexport dhahabu kutoka Africa kwenda Dubai wanavyotakatisha pesa.
Mapastor fake wamejaa humo ndani.
.
Nchi nyingi, hasa zile zinazozalisha dhahabu huwa zinachapisha sarafu za dhahabu na kuuza. Sarafu hizi zina mambo mengi. Kwanza watu hununua kama kito kutokana na uzuri wake.
Pili watu hununua kama ni pesa na wanaweza kuitumia kama pesa. Tatu nchi hufanya export ya kitu kilichoongezwa thamani...
Rais Kikwete alirudisha hela tuliyopigwa kwenye ununuzi wa rada na hela hiyo ikapelekwa kununua madawati.
Rais Magufuli alirudisha dhahabu iliyokuwa imefichwa Kenya kwa miaka mingi.
Rais Samia unashindwa nini kurudisha hela uliyodai wewe mwenyewe kuwa imefichwa China? Aliyekuwa DPP Biswalo...
SHANTA GOLD MINE KUANZA KUMIMINA DHAHABU KUINEEMESHA IKUNGI, MBUNGE MTATURU AFUNGUKA
SHANTA gold mine sasa Kumimina Dhahabu kuineemesha Ikungi. Ni baada ya Kusimama kwa muda mrefu takribani miaka 19 tangu kusimama kwake sababu ikitajwa kuwa ni baadhi ya Wanasiasa kuweka vikwazo vilivyomfanya...
Mama hey hey hey
Say hey
Nakupenda maa
Basi njoo maa
Mi kila saa kabisa kwako kichaa
Girl just listen, tuishi kwama Eden
Nakuweka kwenye top 10
Nadata na reception
Mi nachoka hoi, pande zote huniboi
Niite baby boy nitumie achana na toy
Clothes, vipodozi, mapozi yamekwenda course
Na sasa dozi na...
Katika uchenjuaji wa makinikia yenye dhahabu wawekezaji wengi hulia kwa kuwekeza fedha nyingi na kupata faida kidogo au hasara.
changamoto hii hutokana na uzembe wa mtalaam mwenye dhamana ya kuchenjua makinikia hayo yenye dhahabu kwani wengi huangalia maslai yao binafsi ilihali wanajua...
Katika uchenjuaji wa dhahabu wawekezaji wengi hulia kwa kuwekeza fedha nyingi nakupata faida kidogo au hasara.
Changamoto hii hutokana na uzembe wa mkemia aliekabidhiwa kwani wengi wao hufanya kazi kwakuangalia masilahi yao binafsi na sio bosi hivyo wengi hukosa kutoa ushauri mzuri kwa bosi na...
Hivi mnajua nyinyi maccm na vibaraka wa kumchafua mpigania haki na rasilimali za Tanzania kujaribu kumchafua JPM ni sawa na mtu kuweka mguu wake kwenye pango la siafu?
Mtu aliyekuwa mkweli kutoka moyoni mwake, sote tunakumbuka ile skendo ya Madini yetu ambayo yalidakwa Kenya na kisha...
Dhahabu ni mali ngumu kupatikana ila ikigundulika eneo au makazi yako utakoma.
Uwezi kumzuia mtu kuchimba, nyumba zitabomolewa, watu wataweka kambi watakavyo,uovu utaongezeka.
Kuna dalili naziona bora isitokee kama itakuwa kweli watu wakijua tumekwisha.
MPAKA SASA
Naomba ni ninyamaze maana...
Dunia inabadilika sana, wanasiasa, wachumi na watu wa mipango wetu wasije kuja kutoa visingizio kuwa hawakujua kuwa itakuwa hivi.
Mabadiliko ya uchumi na mpangilio wa uchumi wa dunia inaonekana wazi hata kwa sisi tusiokuwa wanasiasa wala wachumi kuwa dollar itapungua umuhimu wake siku chache...
Habarini.
Habari za nchi kukimbilia matumizi ya dhahabu zimekuwa nyingi sana siku za karibuni. Ghana baada ya kuzidiwa na madeni na kuishiwa akiba ya fedha za kigeni, imeamua kutumia dhahabu kununua mafuta. Kuanzia mwezi huu makampuni ya kuchimba dhahabu yatatakiwa kuiuzia benki kuu ya Ghana...
Imagine hi ndio stendi ya makao makuu ya mkoa Geita? Mkoa uliojaa dhahabu kila kona. Mkoa wenyewe haujulikana kama mkoa au Wilaya.
Pamoja na kuwa na dhahabu nyingi lakini bado sana, barabara ni moja tu ya Sengerema kwenda Katoro.
Geita kuna laana
Pia inadaiwa GGM walitaka kujenga uwanja wa...
Wakuu habari zenu.
Nitaenda moja kwa moja kwenye mada, natafuta mtu ambaye nitashirikiana naye katika biashara ya uchenjuaji wa marudio ya dhahabu.
Marudio yapo maeneo ya Morogoro, marudio yenyewe yanasoma kati ya 1.2ppm-3.2ppm kwa hiyo average nakisia inaweza kuwa 1.8ppm ila itabidi...
Ghana imeonyesha baada ya kufikiri kwa kina.
Dhahabu ni fedha ya kigeni.
Kama una dhahabu ya kutosha, unalipa madeni yako kwa reserves za dhahabu hiyo.
Mwigulu and co., hebu lifikirieni hilo kwa makini.
Inaitwa thinking out of the box.
Bilionea na mmiliki wa Twitter, Elon Musk amesema jukwaa hilo litakuwa likizindua 'badge' za rangi tofauti ili kuzitofautisha akaunti.
Tiki ya dhahabu kwa makampuni, tiki ya kijivu kwa serikali, bluu kwa watu binafsi na watu mashuhuri na akaunti zote zilizoidhinishwa zitathibitishwa upya kabla...
Nimeona watu wanamiliki maduara, wengine wanamiliki crushers tu, wanasaga mawe ya watu, wengine wanamiliki plant au elusion plants.
Wengine wanamiliki detectors wanakodisha, wengine ni wanunuzi wa dhahabu end products, wengine wanarundika michanga (marudio) yenye PPM nzuri na kuuza.
Kwa mtaji...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.