dhahabu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. BARD AI

    Geita: Mahakama yawaachia huru waliodaiwa kumtoa kafara mtoto ili wachimbe Dhahabu

    Mahakama Kuu Kanda ya Mwanza imewaachia huru washtakiwa wanne katika kesi ya mauaji ya mtoto Simon Kabula (2) baada ya upande wa Jamhuri kutokuwa na nia ya kuendelea na kesi hiyo. Washtakiwa hao ni Ngeke Lunemhya, Mwajuma Petro, Ngeke Lunemhya na Maria Faida ambao wote ni ndugu. Watuhumiwa hao...
  2. JosephNyaga

    Kizazi cha 1980s ndiyo Kizazi cha Dhahabu

    Umezaliwa lini? Baada ya 1995? Basi kuna mambo matamu ulipishana nayo. Pole. Kizazi cha 80s ndicho kizazi kilichoshuhudia mwisho na mwanzo wa mambo mengi. Watoto wa 80s ni wale waliozaliwa mwishoni mwa 70s mpaka mwishoni mwa 80s. Ndicho kizazi kilichozaliwa katikati ya mpito wa mabadiliko ya...
  3. Jidu La Mabambasi

    Dhahabu kilo 53 yakamatwa uwanja wa ndege wa Mumbai kutoka kwa wasafiri waliotoka Tanzania

    Dhahabu toka Tanzania imekamatwa Ijumaa iliyopita toka kwa abiria wa kihindi aliyetoka Tanzania. Dhahabu hiyo imenukuliwa kuwa kiasi cha kilo 61 toka kwa abiria wanne(sasa imeelezwa kuwa ni abiria saba). Hii ni syndicate. Maafisa wa Customs India waliwakamata wahindi hao na kiasi hicho cha...
  4. N

    AIBU: Digital Manager wa Yanga adanganya Mayele kuitwa Mfalme wa Dhahabu na Canal Sports

    Naam, ni mwendo wa ma uongo na ma propaganda kwa kwenda mbele toka utopoloni, lakini kwa kudra za Mungu tumejipanga kuwaumbua wasambaza propaganda za uongo, may God help us! Ona huyu afisa wa UTO SC anadanganya mchana kweupe hadhar.ani, shame on you Mangi Shayo
  5. Chagu wa Malunde

    Ni aibu kubwa kwa taifa lenye rasimali nyingi kama Tanzania kukomalia tozo za line za simu. Bora serikali ijikite kuchimba dhahabu ili kupata mapato.

    Karibu kila eneo la taifa letu limejaliwa kuwa na madini ya kila namna. Dhahabu ndio inapatikana kwa wingi kila mahala hapa nchini. Kama kuna baadhi ya kampuni za kigeni zina migodi ambayo uwekezaji wake haufiki hata bil 200 na wanachimba na kupata faida na pesa nyingi tu. Kwa nini huyu...
  6. GONZZ EPACLEM

    Anguko la soko la dhahabu

    Habari wana jukwaa, Ni mjadala huru kwa wafanya biashara wa dhahabu nchini, wakubwa kwa wadogo. Ni kama swali hivi, kumekuwepo na kuporomoka kwa soko la dhahabu kwa kipindi cha takribani ya miezi miwili mfululizo na matumaini ya kupanda kwa dhahabu kwa mda mfupi ujao hayaonekani kiukweli, je...
  7. Vugu-Vugu

    MADINI: Dotto Biteko uso kwa uso na Mzee Kinana, atamani thamani ya dhahabu ionekane Geita

    KINANA "GEITA IENDANE NA THAMANI YA DHAHABU YA MKOA HUO" Makamu mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Kanali mstaafu Abdulrhaman kinana amemshauri mkuu wa mkoa wa Geita Martin Shigella kuangalia namna nzuri ya kuupanga mji wa Geita uwe na Muonekano mzuri na wa kisasa na si...
  8. Mkemia Fred James

    Zijue kanuni za dhahabu za kufuta ujinga(kusoma)

    1. Soma kwa uangalifu(Attention). Saa moja ya kusoma kwa umakini ni bora kuliko kusoma kwa saa nne kwa kukengeusha fikra nyingi. 2. Kaa mkao mzuri wa mwili.  Mkao wako huathiri jinsi unavyohisi. Mkao wa uvivu hautaongoza kwa akili yako kuzingatia unachokisoma. 3. Fafanua unachokisoma. Ikiwa...
  9. M

    SoC02 Chukua tano zangu za dhahabu na mtaji wako utafanikiwa

    Utajiri: Ni Hali ya MTU au watu kujitosheleza Katika nyanja tofautitofauti za kiuchumi. Utajiri unaweza kuhusisha vitu Kama vile mifugo, mashamba, mali au pesa. MTU huitwa tajiri kwa kumiliki vitu Kama vile mashamba makubwa yanayompatia faida, maduka makubwa, magari, majumba,migodi na vitu...
  10. N

    Kazi kubwa anayoifanya Rais Samia katika ziara za mikoani

    Rais Samia anaendelea kupita katika kila Mkoa kukagua utekelezaji wa miradi mbalimbali na kutatua kero za wananchi. Licha ya kufanya ziara katika nchi mbalimbali zilizoleta tija kubwa, Rais hapumziki na kungojoea ripoti yuko "FIELD" katika Mikoa, Wilaya, Kata hadi Vijijiji. Baadhi ya mambo...
  11. pingli-nywee

    Faith Kipyegon ainyakulia Kenya medali ya kwanza ya dhahabu kwenye mashindano ya World Athletics Championships, Oregon22

    Siku ni ya nne ya mashindano hayo ya riadha(IAAF), ambayo yanaendelea kule mji wa Oregon, USA. Kenya tayari ina medali zingine mbili, moja ya fedha na nyingine ya shaba. NAIROBI, Kenya, Jul 19 – Faith Kipyegon underscored her status as the greatest 1500m athlete of all time with an imperious...
  12. W

    Naomba kujua Soko la dhahabu na Rubby Dar es Salaam

    Ndugu wafanyabiashara, wajasiriamali na wabobezi wa masuala ya uchumi wasalaam! Mimi huwa najishughulisha na uchimbaji wa madini ya Rubby na Dhahabu, sasa naomba kwa mwenye uzoefu wa soko zuri la rubby na dhahabu anielekeze ni wapi kuna bei nzuri au bei ina-range kuanzia kiasi gani kwa gram ya...
  13. Nyuki Mdogo

    Msaada: Anataka kununua eneo aanze kuchimba Dhahabu

    Habari za muda huu wadau wa JF? Naomba msaada hapa. Nina rafiki mmoja ameniomba msaada anataka kununua eneo kwa ajili ya uchimbaji wa dhahabu. Anapendelea zaidi Geita na maeneo ya Dutwa (kwa kifupi kanda ya ziwa kwa ujumla) Pia anaomba kujua Gharama za Upimaji wa eneo husika kujua kiwango...
  14. K

    Uzi maalum kwaajili ya wachimbaji wa dhahabu

    Niwe muwazi mimi sio mchimbaji wa dhahabu lakini nimezungukwa na wachimba dhahabu wengi sana hapa ninapoishi kwahiyo nimeamua nianzishe huu uzi maalaum ambao utakuwa ukitumika kupeana updates za machimbo mapya na stories nyingine za kiuchimbaji Kwa walioko Geita kuna machimbo mapya yameibuka...
  15. I am Groot

    Uganda yagundua tani milioni 30 za dhahabu zenye thamani ya Dola za Marekani Trilioni 12

    Uganda imegundua amana za dhahabu katika Wilaya ya Busia na Katika jitihada za kukuza uchumi wa nchi hiyo, serikali imeipa leseni kampuni ya uchimbaji dhahabu ya Kichina, Wagagai, ya kuanza kuzalisha bidhaa za dhahabu Msemaji wa Wizara ya Nishati na Maendeleo ya Madini nchini humo, Solomon...
  16. M

    Yanga shangilieni na muungane na watanzania kufurahia kiatu cha dhahabu kuchukuliwa na mzawa!

    Nawahimiza yanga waungane na watanzania wote kushangilia kiatu cha dhahabu kuchukuliwa na mzawa/mtanzania. Wakiati umefika kwa wazawa kupata pia mishahara minono kama ya wachezaji wa nje na kuzidi ikiwezekana!!
  17. GONZZ EPACLEM

    Naomba ushauri kuhusu Mizani ya kupima dhahabu

    Habari wanajukwaa, Niende moja kwa moja, nipo katika maeneo ya wachimba dhahabu na nimevutiwa sana na biashara hii kiasi kwamba natamani nijitose katika ulimwengu wa biashara ya dhahabu kwa namna ya ununuzi wa dhahabu mbichi (yaani ile ambayo haijayeyushwa), kiasi fulani nimeielewa hii...
  18. YEHODAYA

    Bilionea wa Urusi auza medali yake ya Nobel Prize kwa dola milioni 103 kusaidia watoto yatima na wakimbizi wa Ukraine

    Nobel peace prize auctioned by Russian journalist Dmitry Muratov fetches record $103.5m Muratov, who was awarded the gold medal in October 2021, said proceeds would go to Unicef to help children displaced by Ukraine war The Nobel Peace Prize that Russian journalist Dmitry Muratov was...
  19. D

    Nchi 10 za Afrika zenye akiba kubwa ya Dhahabu kwa mujibu wa Statista

    Nchi 10 za Afrika zenye akiba kubwa ya Dhahabu kwa mujibu wa Statistics 1. Algeria 🇩🇿 - tani 174 za kipimo 2. Afrika Kusini 🇿🇦 - tani 125 za metric 3. Libya 🇱🇾 - tani za metric 117 4. Misri 🇪🇬 - tani 80.73 za metric 5. Moroko 🇲🇦 - tani za metric 22.12 6. Nigeria 🇳🇬 - tani 21.37 za metric...
  20. Sky Eclat

    Hiki ni kiti cha dhahabu alichokalia Malkia Victoria wakati anaapishwa

    Ilibidi miguu ya kiti itengenezwe mifupi kwasababu Malkia Victoria alikua mwanamke mfupi kwa umbo, wasingeweza kuweka miguu ya kiti mirefu na kumuacha Malkia akining’inia. Baada ya Victoria alitawala mtoto wake Edward, nae alipokewa na mtoto wake George V aliyerithiwa na mtoto wake Edward ambae...
Back
Top Bottom