••••••••••
NB. Mdau unataja maeneo ya huko kwenu kuwa yanafanana na hapo juu, tatizo hautupii na kapicha kwa kumwaminisha Tomaso.
• Usiseme Marangu, Lushoto, Bukoba, Kyera au sijui wapi huko, please tuwekee na picha wengine tupo serious tukaishi eneo hilo.