Hapa nazungumzia majina kama Mheshimiwa, Mstahiki, Daktari (Dr.), Mhandisi (Eng.) Wakili Msomi (Adv.), Mwalimu, Mkadiriaji majenzi (Arch.), Muhasibu (CPA), Mkemia; na mengine mengi kadiri yanavyoongezeka!
Tulipotoka huko zama za Ujamaa, Watanzania wote tuliitana "Ndugu", bila kujalisha wadhifa...