Wakuu Habari za saa hizi!
Wakuu mimi nina Rafiki yangu mmoja hivi sio kivilee sana hapana ila ni kukutana kitaa tunapeana tano basi life linaendelea.
Kitu kimoja kinachonishinda kwa huyu jamaa yangu ni kwamba anamkubali kinyama sana Diamond sio nyimbo, mavazi, mpaka kuwa na watoto, just...