dini

  1. Sababu zilizopelekea Dini za Hinduism na Budhism kushindwa kumea Afrika

    Hinduism na Budhism ni miongoni mwa Dini za kale sana zenye wafuasi wengi katika bara la Asia. Hinduism ndio Dini namba moja ya kale zaidi katika uso wa Dunia ikisemekana kuanzishwa miaka 1500 nyuma kabla ya kuzaliwa kwa Yesu Kristo. Hinduism ilianzia kwenye Nchi ya India na Nepal, na sasa ina...
  2. R

    Serikali ya mapinduzi Zanzibar ina dini?

    Salaam,Shalom. Nadhani swali linajieleza. Kwamba Serikali ya MAPINDUZI Zanzibar Ina dini? Ikiwa Ina dini, dini Gani? Na issue ya mtu KUFUNGA ni Tendo la Siri au la hadhara? Karibuni🙏
  3. Nitaendelea kuwalaumu wakoloni kwanini hawakusisitiza elimu kwa mtu mweusi ila waliona dini ndio muhimu?

    Sisi watu tuna akili ndogo. Kwa nini hawa wakoloni hawakulazimisha elimu kwa jamii yetu lakini wakalazimisha dini? Kwa malengo gani hasa tuzidi kuwa wapumbavu? Mwafrika mweusi mwenzangu namuona takataka kwa sababu hayupo upande wangu wa kiimani hawa wakoloni walitutaka nini hasa sisi waafrika...
  4. Dini za Ukristu na Uislam zinaendekezwa sana kwenye nchi za Kisekula

    Wakomunisti sikubaliani nao katika mambo mengi sana. Wana upumbavu wao katika mambo mbalimbali ila linapo fika suala la nchi isiyo ya kidini wajua kweli kuchora mstari wa haki kwa dini zote. Wakomunisti wa China wamechora mstari wa haki kwa dini zote si wakristo, si waislam, si wabudha n.k...
  5. Sasa wale wafia dini hebu tuelezeni huwa mnawapapatikia hawa watu Kwa sababu zipi?

    Hebu angalia hii video clip fupi Sana wala haikumalizii bundle lako, haifiki hata mb1, kama ulikuwa unajiona na wewe ni Mwarabu basi elewa wewe ni takataka tu Kwa Waarabu. Jitafakari. Cc: FaizaFoxy MK254 THE BIG SHOW
  6. M

    Tanzania ni nchi ya pili Afrika kuamini uchawi na ushirikina. Elimu duni, kuamini dini sababu kuu za kuamini uchawi sana

    Nchi zinazoongoza kwa kuamini ushirikina (uchawi) barani Afrika. 1. Cameroon 2. Tanzania. DINI NI SABABU YA WATANZANIA KUAMINI SANA UCHAWI NA USHIRIKINA Ukiamini dini za ukristo na uislamu ni lazima pia uamini na ushirikina maana imani hizo zinategemana. Quran imeongelea ushirikina na ina...
  7. Matinyi: Tahasusi mpya za dini shuleni, kinachofundishwa ni maarifa ya dini sio imani

    Msemaji Mkuu wa Serikali, Mobhare Matinyi akielezea sababu ya Serikali kujumuisha Tahasusi za masomo ya Dini katika ngazi ya Elimu ya Sekondari baada ya mwongozo kutolewa hivi karibuni kuhusu masomo hayo.
  8. Mlikuwa mna maana gani kwenye tahasusi ya elimu za dini kutumia Divinity?

    Kuna sehemu kama inaonekana wa kristo wamekosewa heshima kuwekwa kwenye kundi divinity maana yake ni uungu. Mean A divinity is a religious being, like a god or angel. It's also a word for the study of religion, which is studied at divinity school. If you know the word divine means holy or...
  9. Serikali toeni hizo Combination za Dini hii siyo nchi ya kidini

    Nimeona wameongeza combi nyingi sana kwenye kwenye elimu ya advance jambo zuri ila lina ubaya wake pia Niende kwenye mada nchi yetu sio ya kidini yaani haifungamani na dini yeyote ile sasa serikali kwanini imeweke masomo ya dini ya kiislam na kikristo kwenye mtaahala ni kurudisha...
  10. G

    Celebrities wa Tanzania waliobadili dini na kuwa Waislam

    1. Mzize - Mchezaji wa Yanga Ukristo kwenda uislam 2. P Funk - Producer Ukristo kwenda uislam 3 Shomari Kapombe - Mchezaji wa mpira Uislam kwenda Ukristo 4. Barnaba - Msanii wa Muziki Ukristo kwenda uislam 5. Mwijaku - journalist infuencer Ukristo kwenda uislam 6. Young killer -...
  11. Je, ni Mungu ndio anatuadhibu kwa kuruhusu Manabii feki kuzidi kutudanganya kwa kuwa tunawatafuta wao na dini zao zaidi ya tunavyomtafuta yeye?

    Kudanganya kwa jina la Mungu huku akiwaambia watu kuwa yeye ni njia ya kumfikia Mungu. Miujiza na nguvu isiotokana na njia ya Mungu. Ushajiuliza hawa washikaji hawaogopi kuwa wanakufuru na muda wowote wanaweza kuwa wahanga wa hasira ya Mungu. Kwa kweli tumewageukia wao kutokana na tabu zetu...
  12. Dini haziruhusu kuwa tajiri

    Hii ni kwa sababu Ili uwe tajiri ni lazima utawaliwe na ubinafsi kwanza. Kama ukifuata dini kwamba usaidie wahitaji ipasavyo hautaweza kukusanya Mali au fedha kwa kuwa wahitaji ni wengi mno
  13. Z

    Ummy Mwalimu: Wazazi na walezi wasimamie watoto kusoma dini

    Je ni busara kutumia handle ya wizara ya afya kutoa ujumbbe wa kidini? WAZAZI NA WALEZI WASIMAMIENI WATOTO KUSOMA DINI Na. WAF - Dar Es Salaam Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu amewaasa wazazi na walezi nchini kuhakikisha watoto wao wanapata elimu ya Dini ikiwemo kuwasomesha Qur’an sambamba na...
  14. J

    TAKUKURU: Rushwa katika Taasisi za Dini hutokea wakati wa Uchaguzi wa Viongozi

    Rushwa katika Taasisi za Kidini ipo hasa katika Uchaguzi wa Viongozi. Wanaoenda kugombea ni watu wanaotoka katika Jamii ambayo inaelekeza kwamba huwezi kuchaguliwa bila kutoa Hongo, hivyo analazimika kutoa hela ili achaguliwe. Wakati huo huo Mgombea mwenza naye hupata taarifa kuwa Mwenzako...
  15. Labda ni dini zetu ndio zinazotuchanganya na kupotosha kuhusu Mungu

    Mimi naamini zaidi utakavyo mjua Mungu ndio zaidi utakavyo ujua ukweli na kuwa huru zaidi. Lakini tulichofanya nikujua dini zaidi ya Mungu. Kwa kuwa mashirika haya ya dini yanataka uzame ndani yao zaidi huku wakituambia bila wao hatutamfikia Mungu basi hawako tayari kukupa nafasi ya kuweza...
  16. Polisi waokoa watoto 251 na kukuta miili 16 iliyozikwa kwa siri katika dhehebu tata Zimbabwe

    Dhehebu lenye mlengo wa dini ya kikristo laua watu huko zimbabwe , Wengine 251 waokolewa Haya madhehebu yanamaliza watu ukiachana na wale wa kenya waliokufa mia mbili na kitu. --- Watoto waliookolewa "walikuwa wakitumiwa kufanya shughuli mbalimbali kwa manufaa ya kiongozi wa dhehebu", taarifa...
  17. Mungu na dini ni vitu viwili tofauti. Mungu hasomi wala haandiki

    Mungu ni asili, yeye ndiyo chanzo cha vyote vinavyoonekana na visivyo onekana. Ili Mungu akure maarifa, hana haja ya kukuandikia kiatabu. Jiulize maarifa makubwa waliyonayo wanyama mbalimbali, wameyasoma kwenye kitabu gani kitakatifu? Mungu yupo, hasomi, haandiki, wala hana dini. Dini ni...
  18. Dkt. Myles Munroe: Dini siyo suluhu ya matatizo ya binadamu

    Huyu ni Dkt. Myles Munroe Anaelezea madudu yaliyofanywa na dini. Ukristu na Uislam. Watu wenye dini ndio waovu kuliko viumbe wote dunian https://youtu.be/rJvQ-eGOhkw?si=L9GSvl1Hhn1GfmXi
  19. Wanawake muolewe. Wanawake waliofanya mambo makubwa katika Biblia walikuwa ni wake za watu

    Ni Ibris ndio anakudanganya eti ukiwa siglemama ndio utafanikiwa, utakuwa huru na utajitawala. Wale ambao kama mimi wameruhusu akili zao ziathiliwe na Biblia watajua wanawake wenye ushawishi, matajiri na wanawake wa maana wenye adabu walikuwa ni wake za watu, sio Masingle mama au wanakejeli...
  20. Kushika sana dini kunaweza kukupeleka kubaya. Rafiki yangu aliacha kazi ya Ualimu baada ya Mkuu wa Shule kumtaka anyoe ndevu

    Ni jirani yetu huko nyumbani kwetu, pia kuna kaurafiki kwa mbali baina yetu. Likizo sometimes tulikuwa tunajisomea pamoja kwakuwa tulikuwa darasa moja. Jamaa akawa teacher wa Serikali baadaye. Sasa nasikia walimu wana miiko mingi kutokana na mazingira yao ya kazi, sometimes wanakuwa walezi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…