WARAKA WA KIASKOFU JUU YA DKT NCHIMBI
Mpendwa Mhe. Samia Suluhu Hassan!
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania!
Tunasalimu kwa jina la Mungu aliye hai, Bwana wa mabwana, mfalme wa wafalme na mkuu wa majeshi yote ya mbinguni (The Lord of Hosts) na ambaye kwa rehema zake mimi nimepata neema ya...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi amesema Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imeendeleza dhamira yake ya kuwekeza zaidi katika huduma za matibabu ya Saratani katika Mfumo wa Fahamu (neuro-oncology) na kuimarisha mfumo wa afya kwa ujumla...
Kumbe nyie Mwigulu hana adabu kwa mkubwa wake wa kazi, anawezaje kujibu hivi kimafumbo mafumbo? Mbona Makamu wa Rais aliongea vizuri tu kuhusu viongozi kuwajibika ipasavyo kwa wananchi?
Je, hii ni vita ya Urais 2030?
Mzee wangu Mpango kapumzike! sasa tena ikiwezekana nenda tu ulipotokea huko Kigoma nenda kafanye kilimo na ufugaji na kucheza na wajukuu zako!
Ila pakusema sema usiogope na wala usiwe kama wale wengine wanaleta uchawa na uzee wao!
===============
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...
Katika Muendelezo wa Kampeni za Chama cha Mapinduzi (CCM) mkoa wa Mara Mgombea mwenza wa Urais wa chama hicho Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi amesema chama hicho kitaendelea kuwachukua wapinzani wenye akili ili kushirikiana nao katika kuleta maendeleo nchini.
Nchimbi ameyasema hayo leo Agosti 31...
BALOZI NCHIMBI: TUSIVURUGWE MIEZI MICHACHE KUELEKEA UCHAGUZI MKUU
Aelekeza RC, Mawaziri wawili kulipa fidia Nyatwali – Bunda
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi, amewataka Watanzania kuchukua tahadhari dhidi ya wanasiasa wanaojaribu kuhatarisha haki...
Katibu Mkuu wa Chama cha mapinduzi Balozi Dkt Emmanuel Nchimbi akizungumza na Wananchi wa Tinde Shinyanga amemuagiza Waziri wa Tamisemi kuhakikisha kabla ya Uchaguzi Mkuu 2025 ahakikishe Moja ya maeneo yenye uhitaji wa Kituo cha Afya kiwe kimejengwa ili kurahisisha huduma kwa jamii.
"Kuna...
Katibu Mkuu wa CCM Balozi Dkt Emmanuel Nchimbi leo tarehe 01 Octoba, 2024 ameshiriki mazishi ya Mama wa Aboubakary Liongo ambaye yeye ni Afisa Msaidizi Idara ya Itikadi,Mafunzo na Uenezi wa CCM aliyefariki jana na kuzikwa Leo kwenye Makaburi ya kisutu.
Katibu Mkuu ameongozana na Katibu wa NEC...
Hizi ni kauli za Dkt Nchimbi -katibu mkuu wa CCM zikimuhusu Mwenyekiti mbowe na John Mnyika kuhusu masuala ya utekaji na mauaji
1."Na Mbowe alinieleza juu ya suala la Kibao, kwa kumtazama Mbowe hahusiki na tukio hili la utekaji."
2."Naye kwa kumwona tu, Mnyika hawezi kuhusika na utekaji."...
Nimefurahishwa na hatua ya Katibu Mkuu wa CCM kujitokeza na kuweka bayana mtazamo wa chama tawala cha CCM kinachosimamia serikali inayotuhumiwa kufanya madudu.
Ni madudu kuhusu operesheni ya kutekwa, kuteswa na kuteketezwa kwa baadhi ya wakosoaji wa serikali inayofanyika kana kwamba Tanzania ni...
“Kuna vitu ukisema unavyojua kabisa haviwezekani, Rais Samia yupo pale kwa mujibu wa Katiba na atamaliza muda wake kwa mujibu wa Katiba, tunaweka uchaguzi miaka mitanomitano ili wale watakaokuwa hawaridhiki ndani ya miaka mitano wapate nafasi nyingine ya kuja kuchagua sio katikati ya msimu"
“Na...
Ni jambo jema
Kanisa Moja Takatifu La Mitume
Mlale Unono 🌹🌹
---
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi amesema kuwa kazi kubwa anayoifanya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa CCM, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ndiyo namna sahihi ya...
AHADI YA RAIS SAMIA KIGOMA KUWA LANGO KUU INATEKELEZWA KWA VITENDO: NCHIMBI
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi amesema ahadi ya kuufungua Mkoa wa Kigoma kuwa lango kuu la biashara inaendelea kutekelezwa kwa vitendo.
Balozi Nchimbi amesema ahadi hiyo...
Ni dhahiri kwamba Emmanuel Nchimbi hana ushawishi wowote wa kisiasa ndani na nje ya ccm, hana ushawishi Jukwaani wala ofisini (Haifahamiki waliomteua walilenga nini), Matokeo yake ndio haya .
Huu hapa ni Mkutano wa Lindi
Angalia kwa Makini halafu Toa Maoni yako