donald trump

  1. USSR

    Marekani: Donald Trump ajeruhiwa kwa risasi akihutubia mkutano wa hadhara

    Mgombea urais kupitia chama cha republican katika uchaguzi ujao nchini Marekani na Rais wa zamani Donald Trump ameshambuliwa kwa risasi kadhaa akiwa katika mkutano mjini Butler Pennsylvania Leo. Walinzi wake wamezunguka na kumuinua baada ya kuanguka chini huku akionekana kuvuja damu upande wa...
  2. Observer

    2024 USA Presidential Debate: Joe Biden avaana na Donald Trump kwenye mdahalo wa kwanza kabla ya uchaguzi November 2024

    Wanabodi, Leo kutakuwa na mdahalo wa kwanza kuelekea uchaguzi mkuu wa Marekani, November 2024. Mdahalo huu utawahusisha mgombea wa urais kwa ticket ya Democrat, rais Joe Biden na mpinzani wake Donald Trump kutokea chama cha Republican Mdahalo huu unatabiliwa kuwa wa moto kutokana na mambo...
  3. Tlaatlaah

    Ni Rais Joe Biden au Donald Trump kumnyong'onyeza mwenzake kwenye mdahalo wa kwanza kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Marekani Novemba 2024?

    Alhamisi ijayo June,27 dunia itashuhudia miamba ya siasa za Marekani ikifanya mdahalo wa kwanza wa wazi kuelekea Uchaguzi mkuu mwezi November mwaka huu 2024. Wakati Rais Joe Biden, mwenye umri wa miaka 81, akikita kambi yake ya siri ya maandalizi ya kujifua na mdahalo huo muhimu huko Camp...
  4. X

    Donald Trump ajiunga TikTok ndani ya masaa 24 tu amepata followers milioni 2

    Make China great again? App ileile ambayo alitaka kuifungia akiwa raisi. Mzee kachekecha akili akaona ili apate kura za vijana ajiunge TikTok Post yake ya kwanza tayari imepata likes zaidi kuliko posts zote kutoka kwa @BidenHQ katika muda wa miezi 4 ambao wamekuwa kwenye TikTok. Tutashuhudia...
  5. S

    Donald Trump apatikana na hatia ya makosa yote 34 katika kesi ya kughushi nyaraka na kutaka kuficha kuhusu hela alizomlipa pornstar ili akae kimya

    Katika kesi iliyokuwa ikimkabili Raisi wa zamani wa Marekani Donald Trump iliyohusu kutumia fedha isivyo halali kumlipa mwanamke aliyelala naye, wazee wa mahakama (jury) 12 wamefikia uamuzi kwamba Donald Trump ana hatia na hivyo lililobaki na jaji kutoa hukumu dhidi ya Raisi huyu wa zamani wa...
  6. GoldDhahabu

    Wamarekani wanamuhitaji Donald Trump sasa kuliko walivyomuhitaji mwaka 2016

    Alichaguliwa kuwa Rais wa Marekani mwaka 2016, na kuingia Ikulu 20/01/2017 baada ya kula kiapo. Katika kipindi cha uongozi wake, alifanya mengi, yakiwemo yaliyowafurahisha na yaliyowakwaza Wamarekani. Ingawa alionesha chuki kwa baadhi ya Mataifa, hasa ya Kiafrika, lakini alilifaa sana Taifa...
  7. GoldDhahabu

    Wamarekani wanamuhitaji Donald Trump sasa kuliko walivyomuhitaji mwaka 2016

    Alichaguliwa kuwa Rais wa Marekani mwaka 2016, na kuingia Ikulu 20/01/2017 baada ya kula kiapo. Katika kipindi cha uongozi wake, alifanya mengi, yakiwemo yaliyowafurahisha na yaliyowakwaza Wamarekani. Ingawa alionesha chuki kwa baadhi ya Mataifa, hasa ya Kiafrika, lakini alilifaa sana Taifa...
  8. GoldDhahabu

    Donald Trump alivyoifadhili harusi ya mtalaka wake kwa mamilioni ya fedha

    Sijui ni Watanzania wangapi wangeweza kufanya hivyo! Ivana Trump ndiye aliyekuwa mke wa kwanza wa Donald Trump. Alikuwa wa kwanza kwa Trump, lakini Trump hakuwa mumewe wa wa kwanza wala wa mwisho. Mume wake wa kwanza alikuwa ni Alfred Winklmayr. Alikubali kuolewa na huyo mwanaume ili aupate...
  9. Nyani Ngabu

    Mahakama ya upeo ya Marekani yaamua Donald Trump hawezi kuondolewa kwenye sanduku la kura jimbo la Colorado!

    He has been restored on the ballot for president in the state after the court rejected claims he was accountable for the Capitol riots in 2021. On his social media platform after the ruling, Trump wrote: "BIG WIN FOR AMERICA!!!" Trump is the frontrunner for the Republican nomination to...
  10. JamiiCheck

    UTAFITI: Donald Trump akadiriwa kufanya upotoshaji mara 30,573 katika kipindi cha miaka 4 ya uongozi wake

    Viongozi wanaweza kupotosha umma kwa njia mbalimbali ili kujiongezea umaarufu na kukubalika kwa wananchi. Mojawapo ya njia wanazoweza kutumia ni kutoa ahadi ambazo hawawezi kutekeleza au kuficha ukweli ili kuepuka lawama. Aidha, wanaweza kutumia propaganda na mawasiliano ya kisiasa yenye kuleta...
  11. Mhaya

    Boris Johnson: Dunia itakuwa mahali salama chini ya mikono ya Donald Trump

    Waziri wa zamani wa Uingereza, Boris Johnson amemuidhinisha Donald Trump kugombea urais wa Marekani, akidai atawashangaza wakosoaji wake na kuunga mkono Ukraine, na kufanya "Magharibi kuwa na nguvu" na "dunia kuwa thabiti zaidi". . Waziri mkuu huyo wa zamani aliwakejeli mahasimu kwa...
  12. M

    Russian President Vladimir Putin Wants Donald Trump Back as President, Says Retired US Army General Barry McCaffrey

    Russian President Vladimir Putin Wants Donald Trump Back as President, Says Retired US Army General Barry McCaffrey latestly.comDec 31, 2023 4:50 AM Retired US Army General Barry McCaffrey has said that Russian President Vladimir Putin is "actively hoping" that former President Donald Trump...
  13. Mhaya

    Donald Trump aweka rekodi ya kuwa Rais wa kwanza wa Marekani kukanyaga ardhi ya Korea Kaskazini

    Donald Trump aweka rekodi ya kuwa Rais wa kwanza wa Marekani kukanyaga ardhi ya Korea Kaskazini kwa mujibu wa ripoti ya White House. Katika moja ya ziara aliyowahi kuifanya Donald Trump ambayo iliingia mpaka kwenye record za Marekani. Ni ziara ya Donald Trump kuingia nchini Korea Kaskazini na...
  14. JanguKamaJangu

    Rais Biden asema Trump ni tishio kwa Demokrasia

    Rais wa Marekani, Joe Biden, amezidisha mashambulizi yake dhidi ya rais wa zamani Donald Trump, Alhamisi, katika hotuba kali ambayo amewahi kutoa hadi sasa, kwamba rais huyo wa zamani na mgombea anaeongoza katika chama cha Republikan, ni kitishio kwa desturi na taasisi za kidemokrasia za nchi...
  15. JanguKamaJangu

    Donald Trump nitajisalimisha kwa mamlaka ya jimbo la Georgia Alhamisi

    Rais wa zamani Donald Trump anasema atajisalimisha kwa mamlaka katika jimbo la Georgia siku ya Alhamisi kujibu mashtaka katika kesi inayomtuhumu kwa kupanga njama kinyume cha sheria, ya kugeuza matokeo ya uchaguzi wa urais wa mwaka 2020 katika jimbo hilo. “Unaweza kuamini? Nitaenda Atlanta...
  16. Lady Whistledown

    Trump akutwa na kesi ya kujibu katika tuhuma za kupindua matokeo ya Urais wa 2020 zinazomkabili

    Aliyekuwa Rais wa 45, Donald Trump amekutwa na kesi ya kujibu pamoja na Watu wengine 18 wakiwemo Wakili wake wa zamani, Mkuu wa Zamani wa Wafanyakazi wa Ikulu, Wakili wa zamani wa Ikulu, na Afisa wa zamani wa Idara ya Haki, wakituhumiwa kushirikiana katika njama haramu za kumweshesha Trump...
  17. JanguKamaJangu

    Marekani: Donald Trump adai mashtaka yake ni ya kijinga na hayana msingi

    Akizungumza hadharani tangu afunguliwe mashtaka 37 yanayohusu kuficha nyaraka za siri za Serikali katika mjengo wake wa Mar-a-Lago, Rais wa zamani wa Marekani, Donald Trump amekana kufanya makosa hayo. Amesema "Wanasema uwongo, wanatengeneza tuhuma, wanachukua hongo, wahalifu hao hawatakiwi...
  18. JanguKamaJangu

    Marekani: Yaelezwa kuwa Donald Trump alificha nyaraka za siri bafuni

    Rais wa zamani wa Marekani, Donald Trump anashtakiwa kwa makosa ya kumiliki nyaraka za siri za Serikalii zikiwemo za nyuklia na zinazohusu mipango ya kijeshi ya Taifa lake. Imeelezwa katika mashtaka 37 yanayomkabili ya kuficha nyaraka hizo katika mjengo wake uliopo Florida, baadhi ya nyaraka...
  19. JanguKamaJangu

    Donald Trump kufikishwa Mahakamani kwa mara ya pili

    Rais wa zamani wa Marekani, Donald Trump anatarajiwa kufikishwa katika Mahakama ya Miami akikabiliwa na makosa saba yakiwemo ya kumiliki nyaraka za siri za Serikali. Wakili wa Trump ameweka wazi kuwa Mwanasiasa huyo atafika Mahakamani hapo Juni 13, 2023 lakini kwa sasa wanasubiri Hati ya...
  20. JanguKamaJangu

    Marekani: Donald Trump ashtakiwa kwa makosa 34

    Licha ya kufunguliwa mashtaka hayo ya kughushi nyaraka za biashara ikiwemo malipo haramu ya Dola 130,000 kwa Staa wa filamu za ngono Stormy Daniels, Trump amewaambia wafuasi wake kuwa hana hati. Akizungumza akiwa nyumbani kwake Florida baada ya kutoka Mahakamani Jijini New York, Trump amesema...
Back
Top Bottom