Unajua Donald Trump alikuwa na madhaifu yake na unaweza kumpuuza, lakini huwezi kupuuza uwezo wake wa kuangalia mambo kwa mapana. Utawala wake ulikuwa ni tofauti kabisa na watu walivyotegemea, ambapo tulidhani inaweza kutokea vita kubwa lakini haikutokea.
Kwenye hii video alikuwa anazungumza na...
Trump anasema kuwa namna Rais Putin alivyotangaza majimbo mawili makubwa ya Ukraine kuwa huru, hayapo ndani ya Ukraine, ni namna ya kipekee iliyotumia akili kubwa mno (Genius).
Trump akaendelea kusema kuwa Putin anaenda ingia ndani ya Ukraine na kuwa mlinda amani..."hilo ni jeshi imara zaidi la...
Picha: Chapisho la kwanza la Trump kwenye mtandao wake
Jukwaa la mtandao wa kijamii la Donald Trump, Truth Social limezinduliwa,kwa kiasi kidogo kwenye Apple App store nchini Marekani.
Wachambuzi wamebaini kuwa programu hiyo inafanana na Twitter. Bw Trump alipigwa marufuku kutoka Twitter...
Mtandao wa Maga Hub-Truth social Trump ambao unamilikiwa na aliyekuwa Rais wa Marekani Bwana Donald Trump umeweka njia ya malipo kwa watumiaji wake wanao taka kuwa verified na blue tick.
Katika Mtandao huo kwa watumiaji waliopo Tanzania wao watalipia shilingi 68,000 na njia ya malipo kwa sasa...
DT anaweza kuwa rais kwa mara nyingine tena
Michelle Obama Is the Last Place We Should Look For Help With Our Donald Trump Problem
Kristyn Burtt
December 30, 2021·2 min read
Well, it looks like Joe Rogan has created a political firestorm by predicting that former First Lady Michelle Obama...
Rais Ebrahim Raisi amesema aliyekuwa Rais wa Marekani, Donald Trump anapaswa kuwajibishwa kwa nafasi yake katika mauaji ya Jenerali Qassem Soleimani yaliyotokea miaka miwili iliyopita, au Iran italipiza kisasi
Raisi ametaka kuundwa Mahakama ya Haki ambayo Trump, aliyekuwa Waziri wa Mambo ya...
Donald Trump has accused the Duchess of Sussex of "using" Prince Harry and being "disrespectful" to the Queen in a wide-ranging interview.
===
Donald Trump has accused the Duchess of Sussex of "using" Prince Harry and being "disrespectful" to the Queen in a wide-ranging interview.
Speaking to...
Trump: Katika muongo mmoja uliopita Israel ilikuwa ndiye mmiliki halisi wa Kongresi ya Marekani
Nov 02, 2021 08:06 UTC
Aliyekuwa rais wa Marekani Donald Trump ameeleza hadharani jinsi Wazayuni walivyolihodhi na kulidhbiti bunge la nchi hiyo la Kongresi na kubainisha kwamba kwa muda wa muongo...
Mtandao wa Donald Trump "Truth Social" unaweza kutengeneza mamilioni au kughafilika!
Umejikita kupeperusha masuala ya kisiasa yenye mashiko moto moto na kumpa rais wa zamani nafasi mpya ya uonevu
Ukweli wa mtandao huu wa Kijamii umejikita kutengeneza pesa. Ajabu, pia unapiga marufuku "matumizi...
Marekani hawajawahi kupata rais mpuuzi, mpumbavu na kichaa kama Donald Trump
Huyu Bwana akili zake hazikua nzima, ni Rais aliyeitia dunia hasara, na aliyewatia Marekani hasara
Jamaa alianzisha vita ya biashara na China matokeo yake yakaathiri hadi za dunia ya tatu, Shipping cost ziliongezeka...
Washington Post: Ukoo wa Aal Saud ulimpa zawadi 'feki' Donald Trump
Oct 12, 2021 02:30 UTC
Gazeti la Washington Post la nchini Marekani limefichua kuwa, familia ya kifalme ya Saudi Arabia ilimpa Donald Trump zawadi bandia wakati alipotembelea Saudia kwa mara ya kwanza tangu alipochaguliwa kuwa...
Aliyekuwa Rais wa Marekani, Donald Trump, amewasilisha kesi dhidi ya Kampuni kubwa za Teknolojia za Google, Twitter na #Facebook pamoja na Watendaji Wakuu wake kutokana na marufuku aliyowekewa
Januari mwaka huu, Akaunti za Trump katika Mitandao ya Kijamii zilizuiwa kufuatia hofu ya Usalama wa...
Kampuni ya aliyekuwa Rais wa Marekani mwaka 2017-2021, Donald Trump pamoja na Mkuu wa Idara ya Fedha wameshtakiwa kwa makosa yanayohusiana na Kodi.
Kwa mujibu wa Waendesha Mashtaka, mpango huo wa miaka 15 ulisaidia Watendaji kukwepa Kodi kwa kutoa marupurupu kama Ada ambayo yalifichwa kutoka...
Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa New York imeanza uchunguzi wa jinai kwa Kampuni ya aliyekuwa Rais wa Nchi hiyo, Donald Trump. Mwanasheria Mkuu, Letitia James, amekuwa akichunguza kama uongo uliripotiwa kwenye thamani ya mali ili Kampuni ipate mikopo na faida za kiuchumi na kodi.
Trump ambaye...
13 February 2021
Ni wajumbe 57 walikubaliana na tuhuma wakati wajumbe wa senate 43 wamemuona hana hatia .
Baraza la Senate kwa utaratibu wake wa kutoa adhabu ya kumuona Rais anawajibika kwa lolote , ilitakiwa baraza la senate likubaliane kwa kura 67 yaani 2/3 ya wajumbe wa baraza la Senate...
Kuwa mwanasheria ni jambo moja lakini kuwa na uwezo wa kuichambua sheria kifungu kwa kifungu ni jambo lingine kabisa.
Niko natazama mubashara impeachment trial ya Donald Trump hakika huyu mwanasheria David Schoen wa Trump ni kiboko. Amenikumbusha uwezo wa Tundu Lissu katika kuchambua vifungu...
Rais Joe Biden ameondoa marufuku iliyowekwa na Donald Trump ya kuwapiga marufuku watu waliobadili jinsia kujiunga na jeshi.
Marufuku hiyo ilitangazwa na Bw. Trump mwaka wake wa kwanza akiwa rais wa Marekani.
''Watumishi waliobadili jinsia hawatakabiliwa na uwezekano wa kuondolewa au kutengwa...
Rais Donald Trump ambaye anamaliza muda wake ametoa hotuba ya kuwaaga Wamarekani ambapo amesema katika Utawala wake, wamefanya yale waliyotakiwa kufanya na zaidi
Trump amesema kuwa, wamejenga Uchumi Bora zaidi katika historia duniani akiongeza kuwa, amekabiliana na vita ngumu kwa kuwa hicho...
The “mainstream”, a.k.a Satanic media, have been lying about everything that really matters.
They have a large share of the population believing the opposite of the truth:that is lies.
We know that the American presidential election was stolen. There are literally truckloads of evidence which...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.