Kiongozi wa Ujerumani mama Angela Markel amepinga uamuzi wa Twitter kumfungia Donald Trump kwa kusema utaratibu huo haukubaliki.
Markel amesema vyombo vya ulinzi na usalama ndivyo vilitakiwa kuona kama Trump anahatarisha amani au lah na sio menejimenti ya Twitter.
Twitter kwenye utetezi wake...
Rais wa Marekani Donald Trump amefungiwa kabisa akaunti yake ya Twitter kwasababu ya hatari ya kuchochea vurugu zaidi", kampuni hiyo imesema.
Kampuni ya Twitter imesema uamuzi huo umefikiwa baada ya kufuatiliwa kwa karibu kwa ujumbe wa Twitter wa akaunti ya @realDonaldTrump account".
Baadhi ya...
Jaji katika korti ya uchunguzi ya Baghdad ametoa hati ya kukamatwa kwa Rais wa Marekani anayemaliza muda wake Donald Trump, juu ya mauaji ya kiongozi wa jeshi la Iraq wakati wa mauaji ya Jenerali wa Irani Qasem Soleimani mwaka jana.
Abu Mahdi al-Muhandis - naibu mkuu wa Iraqi wa Vikosi vya...
Baada ya hapo jana Bunge la Marekani kumthibitisha Joe Biden na kisha Trump kupokwa silaha zake muhimu ambazo ni social media, hatimae hivi leo Donald Trump ameufyata na kukubali matokeo ya uchaguzi uliopita!
Donald Trump conceded that Joe Biden would become US president this month, putting...
Habari!
Shinikizo jipya sambamba na mashitaka ya kumuondoa madarakani Rais wa Marekani Donald Trump vimeibuka upya na kushika kasi baada ya vurugu zilizozuka hivi karibuni bungeni, Washington DC, ambazo Trump analaumiwa na kushutumiwa kwazo.
Huku hayo yakiendelea, kumekuwa pia na mjadala...
Sasa ni wazi kabisa Urais wa Donald Trump unaisha kwa aibu na fedheha kubwa.
Kitendo cha kuhamasisha wafuasi wake jana kuvamia jengo la Bunge la Congress (Capitol Hill) ili kuzuia bunge lisifanye kazi yake kumwidhinisha Rais Mteule Joe Biden (D) na makamu wake Kamala Harris ilikuwa ni ishara ya...
Kwa Trump kuwahimiza wafuasi wake wavamie Congress ili isimpitishe Biden kuwa Rais, je Trump anaweza kushitakiwa kwa uhaini?
Wanasheria tupeni maoni yenu kwa hili.
Habari!
Marekani imetangaza rasmi [Jumatatu] kuiwekea vikwazo Uturuki baada ya Ankara kutekeleza mpango wake wa ununuzi wa mfumo wa kijeshi wa ulinzi wa anga ujulikanao kama S-400 kutoka nchini Urusi.
Takribani mwaka mmoja na nusu baada ya Uturuki kununua mfumo huo, Rais wa Marekani Donald...
Habari!
Mpango uliofikiriwa muda mrefu wa kuiwekea vikwazo nchi ya Uturuki juu ya hatua ya nchi hiyo kununua mfumo wa ulinzi wa anga wa S-400 kutoka nchini Urusi umeripotiwa kukamilika.
Kulingana na vyanzo mbalimbali wakiwemo maafisa kutoka nchini Marekani wameweka bayana kukamilika kwa mpango...
Donald Trump ametangaza mapema Jumatatu jioni, Novemba 24, kwamba ameridhia ufunguzi wa mchakato wa kumkabidhi madaraka mrithi wake Joe Biden kutoka chama cha Democratic, zaidi ya wiki mbili baada ya kutangazwa mshindi wa uchaguzi wa urais.
Idara ya serikali ya Marekani inayoratibu shughuli ya...
Rais Donald Trump aliwauliza washauri wake iwapo atoe amri ya kushambuliwa kwa vinu vya nyukilia vya Iran akiwa amebakiza miezi 2 aondoke madarakani.
Taarifa hiyo ni kwa mujibu wa jarida la New York Times.
Hata hivyo washauri wake wa usalama walimuonya kutofanya hivyo kwa sababu hatua hiyo...
Rais Donald Trump ametangaza kumfuta kazi Waziri wa Ulinzi, Mark Esper baada ya wawili hao kushindwa kuelewana. Christopher Miller aliyekuwa Mkuu wa Kituo cha Ugaidi atachukua nafasi yake
Esper alipishana kauli na Rais Trump kuhusu namna Ikulu (White House) ilivyotumia Jeshi wakati wa...
Watu waliandamana, nisikiavyo Trump alikua ndani ya nyumba yake akichungulia dirishani. Baada ya kumuonyesha shit holes zao waliondoka. Ni baada ya kusema developing countries are shit hole countries.
Kama ndani ya miaka yake minne ( 4 ) tu kafanya 'Mapungufu' makubwa yafuatayo ya 'Kiutendaji' akiwa Ikulu ( WH ) kwanini arudishwe?
1. Kaharibu Sera ya Nje ya Marekani na Mataifa makubwa
2. Aliifanya Ikulu ( WH ) kama ni Ofisi yake binafsi na Wanafamilia wake
3. Aliionyesha wazi wazi Chuki yake...
Mfanano wa chaguzi hizi mbili:
1. Wote, Donald Trump (Republican) na John Magufuli (CCM) ni incumbent presidents waliokuwa wanatetea nafasi zao..
2. Wote ni maRais wasema ovyo na wasiopenda kulaumiwa kwa makosa yao..
3. Wote ni wapenda sifa na wakati mwingine kutaka sana kupenda...
Wakati kura zikiendelea kuhesabiwa kufuatia Uchaguzi Mkuu nchini Marekani, mtandao wa Twitter umetoa tahadhari kuhusu chapisho la Rais wa Marekani, Donald Trump alilochapisha katika mtandao wake wa kijamii wa Twitter akiwashutumu wapinzani wake (Joe Biden) kuiba kura.
Trump aliandika...
Trump, rais wa 45 wa Marekani anajivunia rikodi ya kuimarisha uchumi na kupunguza kwa kiwango kikubwa ukosefu wa ajira lakini anakosolewa kwa jinsi alivyoshughulikia janga la virusi vya corona.
Biden, mwanasiasa anayegemea sera za wastani za mrengo wa shoto ameahidi kulinda haki ya wamarekani...
Msanii maarufu wa rap music Curtis Jackson ama 50 Cent mzee wa just little bit, 21 questions, amusement park amesema watu wachague Donald Trump.
50 Cent ameendelea kudai kua watu wanaosema Trump hapendi watu weusi ni watu waliochanganyikiwa, watu wasio na akili.
Fact Checking: Trump ndie rais...
Rais Donald Trump wa Marekani amerejea tena kwenye kampeni za Uchaguzi Mkuu kwa kufanya mkutano wa kwanza jimboni Florida siku kadhaa tangu alipogundulika na maambukizi ya Virusi vya Corona.
Rais Trump aliwasili kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika eneo la wazi huko Sanford; Florida bila ya...
Rais wa Marekani ambae siku ya Alhamisi iliyopita aligundulika kuwa na virusi vya Corona na kukimbizwa hospitali ya hadhi ya nyota 5 ya Walter Reed Medical center mjini Maryland, ametangaza kuwa leo ataondoka hospitalini hapo baada ya kupona ama kupata nafuu.
Trump amewasihi wananchi wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.