Donald Trump has been placed under arrest at a courthouse in Lower Manhattan.
The former US president is not wearing handcuffs but will have his fingerprints taken.
After processing, Trump will attend an arraignment hearing where criminal charges will be read out
We still don’t know the exact...
Rais wa zamani wa Marekani, Donald Trump (76) atasafiri kutoka Florida kwa ndege yake binafsi kuelekea New York kisha kujisalimisha kwa mamlaka za Usalama ambapo anatarajiwa kufikishwa Mahakamani Jumanne Aprili 4, 2023.
Licha ya kuwa mashtaka yake hayajawekwa wazi lakini inadaitwa atashtakiwa...
Donald Trump anakuwa rais mstaafu wa kwanza wa Marekani kushitakiwa, baada wazee wa mahakama ya Manhattan jijini New York kupiga kura ya kumshitaki Trump
Trump anatuhumiwa kumlipa hela, Stormy Daniels mcheza sinema za kikubwa ili akae kimya juu ya tuhuma ya mahusiano yao.
=============...
Kwenye Mtandao wake wa Truth Social, Donald Trump kapost hii habari.
Wakati huoo huko Twitter, Elon Musk katoa neno.
Democrats hawana Tofauti na Msoga Gang kabisa.
PRESIDENT Donald Trump has been proven right about the origins of Covid-19 coming from a Chinese lab.
Writing for DailyMail – Mr Trump, who is running for president in the United States again declared: “Three years ago, I declared that almost certainly [that it] came from the Chinese lab. Now...
UVUMI
Hivi karibuni baada ya Elon Musk kuununua mtandao wa Twitter kuliibuka uvumi kwamba bilionea huyo amepanga kurejesha akaunti zote za Twitter zilizofungiwa, kasoro ile ya aliyekuwa Rais wa Marekani kuanzia mwaka 2017 hadi 2021, Donald Trump.
Kichwa cha habari cha taarifa hiyo kinasomeka...
Ili kunogesha siasa za nchi yetu nashauri wanasiasa wote ndani ya CCM na nje ya CCM wanaoona wanaweza kuwa marais wa nchi watangaze mapema waanze kujijenga na kutoa sera zao mbadala mapema.
Watu wasikubali kufungwa midomo. Trump ameshaanza marekani wakati uchaguzi ni Nov 2024 na hapa kwetu hadi...
Ni baada ya mmliki mpya wa Twitter, Elon Musk kuweka chaguo la Kura kuwataka watumiaji wa mtandao huo kuamua Donald Trump arudi au asirudi.
Ndani ya saa 24 jumla ya Kura zilizopigwa ni 15,085,458. Kura 7,844,438 zimetaka Trump arudishiwe akaunti yake huku Kura 7,241,019 zikimkataa Rais huyo...
Naona Elon amedhamiria kupafanya twitter uwe uwanja fair, sio kama zamani uongozi wa watu wenye woke agenda ukiona mtu flani yupo kinyume na agenda yao wanamfungia
Anaandika Trump
Pongezi ziende kwa Elon Musk kwa maamuzi ya kuinunua Twiter, Watu wengi wanasema mabadiliko yalihitajika kwa...
Trump: Marekani ilimlazimisha Putin kuishambulia Ukraine
Rais wa zamani wa Marekani amesema kuwa, serikali ya sasa ya nchi yake ni mkosa na ndiyo iliyochochea mashambulizi ya Russia dhidi ya Ukraine.
Donald Trump amekuwa mmoja wa wakosoaji wakubwa wa Rais Joe Biden wa Marekani. Aidha Trump na...
Donald Trump na watoto wake watatu wamefunguliwa kesi ya ulaghai baada ya uchunguzi juu ya kampuni moja ya familia hiyo. Inadaiwa kuwa walisema uongo "kwa mabilioni" kuhusu thamani ya mali isiyohamishika ili kupata mikopo na kulipa kodi kidogo.
Waendesha mashtaka wanasema Shirika la Trump...
Kauli tata ilitoka kinywani mwa aliyekuwa Raisi wa Marekani awamu iliyopita Bwana Donald Trump ambayo ilisababisha taharuki na tafrani miongoni mwa wengi wapenda haki na amani duniani hasa kutoka Afrika. Hakika kwa mtazamo na hisia za kawaida kauli hii imesheheni udhalilishaji, dharau, ubaguzi...
Donald Trump amemuita Rais wa Marekani, Joe Biden kuwa ni ‘adui wa taifa’ na akimshutumu kuwa anatumia Idara ya FBI kumdhibidi.
Amezungumza hayo katika mkutano na wafuasi wake uliofanyika Pennsylvania, akidai alichofanyiwa na FBI ni moja ya unyanyasaji wa kushtua katika historia ya Marekani...
Kupitia nyaraka 184 zilizowekwa wazi mbele ya Mahakama inayosikiliza kesi dhidi ya Rais huyo wa zamani, Wziara hiyo imethibitisha kuwa Trump aliondoka Ikulu akiwa na nyaraka za siri ikiwemo za Idara za Usalama wa Taifa.
Katika Hati hiyo ya Kiapo, Afisa wa siri wa FBI amesema walipitia na...
Mara baada ya Rais wa zamani wa Marekani, Donald Trump kupekuliwa na maofisa wa FBI katika nyumba yake ya Florida na kudaiwa kukutwa na nyaraka za siri za Serikali kama akikutwa na hatia anaweza kuhukumiwa kwenda jela.
Kuna sheria tatu kuhusu makosa ya aina hiyo; Sheria ya 793 iliyopo ndani ya...
Rais wa zamani, Donald Trump amelaani uvamizi wa FBI katika nyumba yake ya mapumziko huko Florida, ikiwa ni Sehemu uchunguzi unaomkabili tangu kutoka madarakani 2020 na kukiri kuwa tukio la namna hiyo halijawahi kutokea kwa Rais yeyote yule wa Nchi hiyo
Inaelezwa kuwa Uchunguzi huo...
Vyombo mbalilmbali leo asubuhi vimereport taarifa ya uvamizi wa FBI katika jumba la aliekuwa Rais wa marekani Donald Trump. Kupitia vyanzo mbalimbali vya taarifa vimebainisha kuwa Rais huyo mstaafu huenda akawa na ( white House record ) hivyo kuhatarisha Siri za serikali ya marekani. Kwanini...
Ivana Trump aliyekuwa mke wa Donald Trump amefariki dunia nyumbani kwake huko New York City
Ivana alikuwa ni mke wa kwanza wa Donald Trump, amefariki akiwa na umri wa miaka 73
Marehemu alizaa watoto watatu na Donald Trump, watoto hao ni Donald Jr, Ivanka na Eric
Taarifa za kifo chake...
Kipindi cha miaka 5 cha utawala wa Rais Mstaafu wa Marekani Donald Trump ni Kipindi pekee cha kwa mara ya kwanza kwa Marekani haikuanzisha wala kusababisha vita vyovyote duniani.
1. Aliondoa majeshi yake Somalia
2. Alifanya mazungumzo ya ana kwa ana na Rais wa Korea Kim Jong
3. Alifanya...
Kipindi cha miaka 5 cha utawala wa Rais Mstaafu wa Marekani Donald Trump ni Kipindi pekee cha kwa mara ya kwanza kwa Marekani haikuanzisha wala kusababisha vita vyovyote duniani.
1. Aliondoa majeshi yake Somalia
2. Alifanya mazungumzo ya ana kwa ana na Rais wa Korea Kim Jong
3. Alifanya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.