Ninatoa pole sanaa Kwa familia ya Ndg. PATRICK NGILOI ULOMI Kwa kuondokewa na Mama Yao mpendwa hakika wamekuwa kati majonzi makubwa ya kuondokewa na muhimili na nguzo imara ya familia nawapa pole sana na kuwatakia subra tele kutokana na msiba huu mkubwa uliowapata kipindi bado mna mna muhitaji...
Wengi mnamfahamu Mzee Yussuf Makamba kwa misemo na nukuu zake za vitabu, ni miongoni mwa wanasiasa mashuhuri nchini na amewahi kuhudumu nyadhifa tofauti ikiwemo kuwa katibu mkuu wa Chama Cha Mapinduzi
Mzee Makamba ambaye kwa sasa amejikita katika uandishi wa vitabu amekuja na kitabu chake kipya...
Watu 11 wamefariki dunia na wengine wawili kujeruhiwa baada ya mfumo wa joto wa kiwanda cha kuzalisha sukari cha Mtibwa Sugar kulipuka wakati wakijiandaa kuanza uzalishaji wa sukari kwenye kiwanda hicho kilichopo Turiani mkoani Morogoro.
Akizungumza na Mwananchi digital leo Alhamisi Mei 23...
Elimu ndio silaha na nguzo kuu ya taifa lolote hapa duniani. Tanzania kama nchi inapaswa kulitazama suala la ubora na aina ya elimu wapewayo wananchi kama inakidhi mahitaji ya sasa ya nchi hasa ukizingatia dunia kuwa karibu zaidi katika nyanja mbalimbali mfano ajira, biashara na mawasiliano. Kwa...
Niaje waungwana
Leo nimeamua nilete kwenu uzi huu ili tumalizie ubishi uliopo mtaani kwetu kwa muda wa week tatu sasa bila kumpata mshindi wa kweli, huku kila kundi likivutia kamba upande wake.
Ubishi wenyewe unahusu miamba miwili yenye roho ngumu, maamuzi mazito na misimamo mikali isiyoyumba...
Huwa nikimsikiliza sianzi Kumhukumu kwa Madhaifu yake na yaliyompata ila nakuwa makini sana kusikia kile ambacho anakitoa kutoka katika Kinywa chake na hakika huwa navutiwa mno na Madini yake ambaye unaweza hata usiyapate kutoka kwa PhD Holders, Maprofesa na Wasomi wengine nchini.
Kama akitokea...
TANZANIA YANG’ARA AJENDA YA MAJI KWA USTAWI WA WOTE,AWESO ATOA KAULI
Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Aweso (Mb), amemuwakilisha Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Kongamano la 10 la Maji Duniani (10th World Water Forum) linalofanyika Bali nchini Indonesia...
Nadhani kwa sasa Dunia imesimama na majasusi wote Dunia wameamia Iran kunakotukio lakutisha.
Baada ya mvumo na bishindo vingi sasa wenye Dunia yao wameamua kufanya yao pasipo kuwepo ushahidi wakile kimetokea.
Wengi hawajuwi kile kiponyuma ya hili tukio ila Kuna vitu vya muhimu vimepotea kuliko...
nimekaa nikawaza kwa jinsi nilivo na wakati mgumu sasahivi huku nikifikiria kuwa shida yangu kwa sasa inaweza tatuliwa tu kwa laki mbili,
lakini kuna mtu ameweka mamilioni benk au wamechimbia chini au mara nasikia jinsi watu wanavokula na kuishi kwa kupata kila kitu kwa kodi zetu huku sisi...
Mimi nitaondoa "UJINGA"
Kwasababu...
Nilikuwa nikifikiria jibu la hili swali, ghafra akili yangu ilikumbana na haya mambo manne.
Umasikini, vita, njaa, na kifo.
Na nilikuwa nikifikiria kuondoa mojawapo ya hayo.
Nilitambua kuwa dunia haitawahi kweli kuwa huru kutokana na matatizo hayo manne...
Picha: Kupatwa kwa mwezi
Picha: Kupatwa kwa jua
=====================
Kwa msiojua, kupatwa kwa jua hutokea kati ya saa 2 asubuhi na saa 12 jioni ambapo mwanga wa jua hufifia na kuwa kusiko kwa kawaida
Hii husababishwa na kitendo cha mwezi kuwa katikati ya jua na dunia hivyo kukinga baadhi ya...
Hii haijawahi kutokea, najua unajua lakini nakujuza ujue zaidi. Rais Samia amekusanya mabilioni ya dola kwa ajili ya nishati salama.
Kwa hakika Samia ndiye Rais mwenye ushawishi mkubwa duniani akitokea Afrika, ni lulu, ni almasi, ni mwamba kutoka Tanzania.
Mitano tena!? ahahaha, na hapa ipoo.
AMESEMA ALIYESEMA NITAWAFELISHA WANAFUNZI KWA HISTORIA ZANGU ZISIZO NA VYANZO VYA KUAMINIKA
Lupweko said:
Mzee utawafelisha watoto kwenye mitihani yao kwa historia zako ambazo hazina vyanzo vya kuaminika
Lupweko,
Mimi sina historia iliyo yangu.
Historia ni kama ilivyotendwa na wahusika hao...
WELCOME TO KENYA WHERE:-
1. Girls handbags carry everything necessary for sleepover except their fare back home
2. When you are served little chips in a restaurant, you drink their Tomato Sauce like Pepsi
3. Youths don't pray before eating but take pictures of the meal first then post it on...
Habari:
Kuna mataifa kadhaa duniani ambayo haya ndiyo ya kutizama sana Israel, Marekani, Vatcani ukiangalia vizuri Israel utagundua kuwa Kuna maandalizi makubwa ya kumkaribisha masihi kumbuka baada ya kifo cha Allen Sharon pm rabi yitzak kaduri alisema masihi atakua karibu kuijilia Israel...
Yeye anapeleka silaha Ukrain- China akisaidia Urusi anamuwekea vikwazo.
Yeye anawapa silaha zote Israe, Wengine wakisaidia anakasirikisha na kutisha
Yeye anawakandamiza raia wanaondamana wake wengine wakifanya anakemea.
Yeye anafanya baishara atakavyo- wengine wakifanya anawaekea vikwazo...
Tanzania ina fursa kubwa ya kusimama kama nguvu ya kilimo na ufugaji wa kisasa ambao unaweza kuhakikisha usalama wa chakula ndani ya nchi na kusaidia katika kutoa mchango wa kipekee katika kuilisha dunia ndani ya miaka 15 ijayo . Kufanikiwa kwa malengo haya kutahitaji mazingira ya kisiasa yenye...
Salaam shalom!!
Maandiko yanasema vita na uasi ulitokea Mbinguni, ndipo Dunia ikaumbwa tukaletwa hapa Kisha shetani pia akatupwa huku tulipo Ili vita iendelee,
Tafsiri hapo ni kuwa, battle ground ya vita ilihamishiwa duniani, sasa twende mbele kujua mambo kadhaa wa kadhaa.
Mifumo yote ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.