Mary Moraa ambaye ni bingwa wa dunia na Jumuiya ya Madola mbio za mita 800, ametwaa taji la riadha za Diamond League duru ya Doha nchini Qatar. Bingwa huyo wa Kenya ambaye ni afisa wa polisi, katika mbio za mita 400 na mita 800, aliweza kukamilisha mizunguko miwili kwa dakika moja na sekunde...
Eti wakuu wanawake wa mjini wa kuunga unga kelele nyingi na njaa ya kutisha. Mjini bwana unapiganiwa hatari mwanamme mmoja inagombaniwa na wanawake wa nne maisha ni magumu sana. Ukiwa mtenda mabaya maisha yatakuwa mabaya.
Kabla ya kuanza kutuingiza wananchi kwenye kutumia nishati safi serikali ingejikita kwanza kwenye maisha ya watumiaji na mapishi yao, pia mpango huo usingefanywa kibiashara zaidi, ungezingatia kuangalia jinsi gani baadhi ya wananchi wangeweza kupata nishati ya gesi bila kutumia fedha mfano...
Imagine karne moja iliyopita kulikuwa na vita za kidunia Hitler na wenzake walihukumiwa na kuchorwa katika picha ya ugaidi, kiongozi wa kiimla, iddi amini dada alionekana ni the same, Gadadi na wengi neo.
Kwa bahati mbaya zaidi hakuna mtu ambaye amepinga vitendo vya jeshi la NATO dhidi ya...
Kwahiyo Raia wote wa USE wanaweza kwenda popote pale duniani na kufanya biashara na kuoa na kufanya maisha yao bila vikwazo vya Visa nk. Utahitaji Visa labda kama unaenda sayari nyingine tofauti na dunia.
Rais awe mmoja tu.., hapatakuwa na serikali mbili wala tatu..
Eti wataalamu. Sehemu kubwa ya mmea inaundwa kwa Carbon dioxide na maji. Kwa kawaida kiasi cha carbon dioxide hewani ni asilimia 0.04 tu. Je kuongezeka kwa Carbon Dioxide hewani kutafanya mimea izalishwe kwa wingi zaidi?
Watu wengi wamekua wakijiuliza kwa nini siku hizi night clubs zinakufa sana, mfano Maison na nyinginezo hapa Tanzania.
Ukweli ni kwamba night Clubs Dunia nzima zinakufa kwa sababu kizazi Z ambao ndio walipaswa kua wanaruka majoka usiku kucha hakipendi kwenda night Clubs.
Sababu nyingine ni...
Slogani yetu sisi wakurya "Tunataka watu,na kitanda hakizai haramu "
Nashangaa mdada unateseka huko uliko kisa huna mume na huwezi kuolewa kisa una watoto wako uliozaa na mwanaume mwingine huku ukiwaza watoto wako wataishije mbeleni?
Sisi Ukuryani tunataka watu,njoo na wanao utaolewa na majina...
Aliyekuwa Mtayarishaji wa Video za Muziki wa Bongo Flava Nchini, Khalfani Khalimandro amefariki Dunia
Director Khalfani alilazwa katika Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) akiwa na tatizo la Damu kuvilia kwenye Ubongo lililomsababishia kupata Kiharusi (Stroke) upande wake wa...
Salaam,Shalom.
Wakati Dunia na mifumo yake ikijitengeneza kuhakikisha Dunia nzima unaungana kupata sarafu Moja, utawala mmoja na siku moja ya Ibada Dunia nzima ( JUMAPILI).
Nyikani, Taifa la AGANO, tumekwisha Anza kuifanya KAZI muhimu ya kuikusanya Dunia nzima na Kanisa la mwisho, kabla ya...
Watu wamekuwa wakibishana kuhusu uhalisia wa hadithi hizi na jinsi zinavyolingana au kutofautiana na maarifa ya kisayansi na historia. Kwa mfano, wengine wanachukulia hadithi ya Adam na Hawa kama tafsiri ya kiroho zaidi kuliko kama historia halisi, huku wengine wakiiona kama ukweli wa...
Kadri miaka inavyozidi kwenda, pia speed ya muda unaongezeka. Siku hizi unashangaa tu kumekucha hujakaa sawa giza hilo.
Je, kuna uwezekano dunia iinazunguka kwa kasi with time, I mean kadri decades na centuries zinavyo ongezeka na earth's rotation or revolution pia inaongezeka?
Ma astrologists...
Thank you very much World Bank for listening to us and taking action to block the 138 billion loan to Tanzania. We need loans to improve development through democracy but not loans that are used to hurt the people. God bless Tanzania.
Tunaishukuru bank ya dunia kwa kutusikiliza na kuzuia mkopo...
Tanzania, kama nchi nyingine, inakabiliwa na changamoto na fursa za kuendana na mabadiliko ya dunia. Kujipanga kunahitaji juhudi za pamoja kutoka kwa serikali na wananchi ili kuhakikisha maendeleo endelevu na ustawi wa jamii.
Tumeona nchi nyingi ambazo zilizopo afrika na zengine zikikabiliwa na...
Viongozi wanatulaumu wananchi wakihisi huwenda sisi ndio sababu ya nchi kutokupiga hatua, huku sisi wananchi kwa 100% tukiutupa mzigo mzima wa lawama kwa viongozi maana wao ndio watunga sera zote za kiuchumi.
Kama viongozi wa Kitaifa wanawajumuisha Kizazi og na Wadudu wa Arusha kwenye issue...
https://www.youtube.com/watch?v=k0X8CsnDV24
Ni kazi ngumu kufikisha idara hii ya geology ambayo kwa kwetu imeonekana kama ina mchango mdogo wakati ndio yenye utajiri wa madini.
MINING GEOLOGY IT
Jimmy Carter ni rais wa Marekani wa 39 ambaye mnamo oktoba 1 mwaka 2023 alikuwa akisherehekea miaka yake 99 tangu kuzaliwa kwake mwaka 1924.
Rais huyo mstaafu alitwala Marekani kuanzia mwka 1977 mpaka 1981.
Miongoni mwa mafanikio ya utawala wake ilikuwa ni kufanikisha kutiiana saini ya...
Nendeni katika Ukurasa wa X ( zamani Twitter ) wa Mkenya Mike Sonko muone jinsi Askar Polisi wa Morocco ( Waafrika Wenzetu ) walivyomshambulia na kumpiga vibaya Mwafrika baada ya Kuhoji kwanini Ndege yao imechelewa kwa Siku moja na wako bado Airport lakini kuna Tangazo limetoka likisema kuwa...
Serikali ya Haiti imesambaratika baada ya aliyekuwa kiongozi wake kujiuzulu kwa shinikizo la makundi ya mitaani yakiongozwa na Vitel'homme Innocent
Kiongozi huyo wa makundi ya kihalifu anashutumiwa kufanya matendo ya kigaidi maeneo mengine ya Carribean mbali na Haiti.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.