Kufuatia Hali na mambo yalivyo ni Dhahiri kwamba sasa tutakubaliana kwamba kuna watu wachache mno wanacontrol Dunia nzima kwenye aspects zote ikiwemo za maisha. Na lengo sio kupata pesa ila ni kuwafanya watu wasiwe huru bali wawe watumwa ili wasimfikirie Muumba wao.
So wana vitendea kazi ama...
Historia haisemi kabisa kabisa iwapo kuna taifa la Kiislamu limewahi kuandamana kupinga mauwaji ya Wakirsto na ama Wayahudi na bila shaka ni tangu Uislamu uwahi kuwepo Duniani, hii ni tofauti kabisa na Ukristo, wapo tayati kupigwa risasi na maasikari wa nchi zao kuwaandamania Waisilamu kupinga...
kwa bara la Afrika zimeingia timu nne tu katika michuano ya klabu bingwa dunia, michuano hii ipo chini ya FIFA
Al ahly kutoka nchini Misri
Wydad kutoka nchi ya Morocco
Mamelody sowndowns kutoka nchi ya south Africa
Esperance de tunis kutoka nchi ya Tunisia
NB: Kuna timu kutoka Tanzania...
Dunia iliundwa karibu miaka bilioni 4.5 iliyopita, lakini viumbe hai vya kwanza vilianza kuonekana miaka mingi baadaye. Mchakato wa kuibuka kwa uhai duniani unahusisha hatua kadhaa za mageuko na maendeleo ya viumbe hai.
HISTORIA NA AINA YA VIUMBE VILIVYO KUWEPO DUNIANI
Viumbehai...
Dunia kwenye kutambua umri wake unatambulika kupitia kwenye "Umri wa miamba" ni jinsi tunavyorejelea muda uliochukuliwa kwa miamba kuundwa na kufanyiwa mabadiliko katika mchakato unaoitwa usanisi wa miamba.
Mchakato huu unaweza kuchukua mamilioni au hata mabilioni ya miaka, kutegemea mambo kama...
Salaam ,Shalom!!
Wapo wanaokwambia kuwa yanayotokea duniani ni mabadiliko tu ya TABIA Nchi, wengine wanaokwambia ni nature, nk nk
Rabbon ninakudokeza kuwa, hiki kipigo Dunia inachopokea ni adhabu Toka Kwa Mungu.
Mafuriko katika Nchi zenye jangwa kama Dubai, Saudi Arabia nk nk, Milima...
Naibu Waziri wa Elimu Sayansi na Teknologia Mhe Qs Omar Juma Kipanga akifuatilia kwa UMAKINI Ufunguzi wa Mkutano wa SITA wa Dunia wa Jukwaa la Pertnesship in applied science and engineering technology (PASET) na Reginal Scholarship and innovation fund (RSIF) Katika Mkutano Mkuu wa TVET kuhusu...
Maonyesho ya 135 ya Uagizaji na Uuzaji wa Bidhaa ya China, maarufu kama ‘Canton Fair,’ yameanza tarehe 15 mwezi April mjini Guangzhou, mkoa wa Guandong, hapa China. Katika maonyesho ya mwaka jana, idadi kubwa ya kampuni zilishiriki, na mwaka huu, idadi hiyo imeongezeka tena kwa kiasi kikubwa...
Jaribu kutafakari hapo ulipo, tangu umezaliwa, umepata akili, watu wangapi uliowaona wanapambania maisha ya dunia hii, wako wapo, yale waliyopambania yamewasaidia nini kwa maisha yao huko walikoenda?
Wanaweza kuwa wamekula bata, wamelala na wanawake wawatakao au wanaume wawatakao, wamejenga...
Hasa hapa kwetu Afrika kwenye timu ambazo hazifiki hata asilimia kumi ya hicho kiasi
Unazipa timu bilioni 130 kwa kushiriki kombe la mwezi, inakuwa ngumu sana kwa timu zenye bajeti za bilioni 8 kushindana na hao wanaopewa mizigo mizito.
Vuta Picha leo hii hata Mtibwa kavuta hicho kiasi, Yanga...
Mnamo Aprili 18, 2024, Benki ya Dunia imesitisha mara moja utoaji wa fedha kutekeleza mradi wa REGROW nchini Tanzania kuanzia mara moja. Hatua hii ni baada ya taasisi ya Oakland Institute kufanya advocacy kwa niaba ya niaba ya wakazi wa maeneo ambayo wataathiriwa na mradi huo.
Mradi huo wa dola...
benki
benki ya dunia
binadamu
dunia
fedha
habari
haki
haki za binadamu
mauaji
mdomo
nani
sekta
sekta ya utalii
tanzania
tuhuma
ufadhili
ukiukaji
utalii
vyombo
yasitisha
1. Acacia
Hayati Rais John Magufuli alipiga marufuku usafirishaji mchanga kutoka machimbo ya madini kwenda nje ya nchi, Hayati Rais Magufuli alisema wawekezaji wamekuwa wakikiuka taratibu kwa muda mrefu na kusema Tanzania imeliwa vya kutosha na kumuagiza waziri wa nishati na madini kusimamia...
"Watanzania wenzangu mimi nilipigwa tarehe 8/3/2020, nilipigwa na Elibariki Kingu alinipiga nikaenda Mandewa hospitali ya Mkoa, nikaenda Benjamini Mkapa wakanipeleka Muhimbili, nikatibiwa na kufanyiwa operation mbili kichwani, nikaambiwa nirudi mwezi wa 8 lakini sikuweza kurudi kwasababu...
Siku ya Dunia ni siku inayotengwa kwa ajili ya kuadhimisha masuala yanayohusu mazingira, uhifadhi wa asili, na uelewa wa changamoto za kimazingira zinazokabili ulimwengu wetu leo. Kila mwaka, tarehe 22 Aprili, watu duniani kote hushiriki katika shughuli mbalimbali kama vile kufanya usafi wa...
Wakuu, baada ya kuweka Uzi hapa Jana juu ya project proposal yangu, Jana usiku wakuu wa shule tatu walinitafuta(mmoja ni WA shule ya public , wengine wa wa wili wa private school)na directors mmoja wa shule ya private Kani pm Leo mida ya sanne.
Japo Kwa uchache nimeshare ideas zangu na wao, na...
habari wana JF!!
Leo kati pita pita zangu mtandaoni nikapishana na baadhi ya video za kichafu za transgender, nilisisimka mpaka ndevu sikuwahi kujua maana ya transgender.
Hapo nazidi kuamini kuwa siku za mwisho zipo na masiha atarudi, video zile ni mbaya kuliko hata vita.
GOOBYE JF,NAMRUDIA...
Aliyekuwa Muigizaji wa tamthilia ya Zahanati ya kijiji Bi Ubwa amefariki leo tarehe 20/4/2024.
Hakika sisi ni wa Mungu na kwake tutarejea.
=======
Msanii wa maigizo nchini aliyefanya vizuri katika tamthilia ya "ZAHANATI YA KIJIJI" wengi walimfahamu kwa jina la BI UBWA amefariki dunia leo...
Mzee Emil Lesheya Woiso amefariki leo asubuhi. Msiba upo nyumbani kwake Tegeta karibu na IPTL.
Alikuwa mmiliki wa Tarakea Restaurant pale Mwenge na Cornelius Girls Secondary School pale Tegeta Skanska
Hivi karibuni, kampuni kubwa ya teknolojia ya China, HUAWEI, ilitoa ripoti yake ya mwaka 2023, ambayo inaonyesha kuwa operesheni za kampuni hiyo kwa ujumla zilifikia malengo, na kutimiza mapato yanayotokana na mauzo kote duniani ya dola za Marekani bilioni 99.18, na faida ya jumla ya dola za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.