dunia

  1. TANZIA Elinaike O. Ulomi amefariki Dunia.

    Ninatoa pole sanaa Kwa familia ya Ndg. PATRICK NGILOI ULOMI Kwa kuondokewa na Mama Yao mpendwa hakika wamekuwa kati majonzi makubwa ya kuondokewa na muhimili na nguzo imara ya familia nawapa pole sana na kuwatakia subra tele kutokana na msiba huu mkubwa uliowapata kipindi bado mna mna muhitaji...
  2. Siku hizi naogopa sana Wanasiasa Wakongwe wanaozindua Vitabu vyao, kwani wengi Wao wakishazindua tu basi Huaga dunia ndani ya muda mfupi

    Wengi mnamfahamu Mzee Yussuf Makamba kwa misemo na nukuu zake za vitabu, ni miongoni mwa wanasiasa mashuhuri nchini na amewahi kuhudumu nyadhifa tofauti ikiwemo kuwa katibu mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Mzee Makamba ambaye kwa sasa amejikita katika uandishi wa vitabu amekuja na kitabu chake kipya...
  3. O

    11 Wafariki dunia baada ya mtambo wa kiwanda cha Mtibwa Sugar kulipuka

    Watu 11 wamefariki dunia na wengine wawili kujeruhiwa baada ya mfumo wa joto wa kiwanda cha kuzalisha sukari cha Mtibwa Sugar kulipuka wakati wakijiandaa kuanza uzalishaji wa sukari kwenye kiwanda hicho kilichopo Turiani mkoani Morogoro. Akizungumza na Mwananchi digital leo Alhamisi Mei 23...
  4. E

    SoC04 Elimu yetu yahitaji mabadiliko makubwa ili kuharakisha maendeleo ya nchi

    Elimu ndio silaha na nguzo kuu ya taifa lolote hapa duniani. Tanzania kama nchi inapaswa kulitazama suala la ubora na aina ya elimu wapewayo wananchi kama inakidhi mahitaji ya sasa ya nchi hasa ukizingatia dunia kuwa karibu zaidi katika nyanja mbalimbali mfano ajira, biashara na mawasiliano. Kwa...
  5. PUTIN vs NETANYAHU: Njooni tumalize ubishi wa miamba hii miwili ya dunia

    Niaje waungwana Leo nimeamua nilete kwenu uzi huu ili tumalizie ubishi uliopo mtaani kwetu kwa muda wa week tatu sasa bila kumpata mshindi wa kweli, huku kila kundi likivutia kamba upande wake. Ubishi wenyewe unahusu miamba miwili yenye roho ngumu, maamuzi mazito na misimamo mikali isiyoyumba...
  6. Namfuatilia sana Chid Benz na hasa Interviews zake mbalimbali na nilichoguandua Jamaa ni Genius sema dunia ya Walimwengu imemuwahi tu

    Huwa nikimsikiliza sianzi Kumhukumu kwa Madhaifu yake na yaliyompata ila nakuwa makini sana kusikia kile ambacho anakitoa kutoka katika Kinywa chake na hakika huwa navutiwa mno na Madini yake ambaye unaweza hata usiyapate kutoka kwa PhD Holders, Maprofesa na Wasomi wengine nchini. Kama akitokea...
  7. Dunia yaipongeza Tanzania kwa mikakati iliyojiwekea ili kufikisha huduma ya Maji Vijijini

    TANZANIA YANG’ARA AJENDA YA MAJI KWA USTAWI WA WOTE,AWESO ATOA KAULI Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Aweso (Mb), amemuwakilisha Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Kongamano la 10 la Maji Duniani (10th World Water Forum) linalofanyika Bali nchini Indonesia...
  8. T

    Majasusi wa dunia wametuma Meseji ngumu kwa Putin na washirika wake

    Nadhani kwa sasa Dunia imesimama na majasusi wote Dunia wameamia Iran kunakotukio lakutisha. Baada ya mvumo na bishindo vingi sasa wenye Dunia yao wameamua kufanya yao pasipo kuwepo ushahidi wakile kimetokea. Wengi hawajuwi kile kiponyuma ya hili tukio ila Kuna vitu vya muhimu vimepotea kuliko...
  9. J

    Tunajua Mungu alimuumba Adam; je ulipata kujua ilitokeaje Dunia ikawa na watu wengi? Ni hatima ya watu weusi?

    Tupate majibu yako na huku ukitipatia chanzo chako. Mm chanzo habari yangu ni sunnah.com ambapo utasoma ktk Hadith ya 119 ya Mishkat Al-Masabih
  10. Ni kiasi gani cha hasara ulisababishiwa na ukaamua tu kumsamehe muhusika

    nimekaa nikawaza kwa jinsi nilivo na wakati mgumu sasahivi huku nikifikiria kuwa shida yangu kwa sasa inaweza tatuliwa tu kwa laki mbili, lakini kuna mtu ameweka mamilioni benk au wamechimbia chini au mara nasikia jinsi watu wanavokula na kuishi kwa kupata kila kitu kwa kodi zetu huku sisi...
  11. Chagua jambo moja tu la kuliondoa katika hii dunia

    Mimi nitaondoa "UJINGA" Kwasababu... Nilikuwa nikifikiria jibu la hili swali, ghafra akili yangu ilikumbana na haya mambo manne. Umasikini, vita, njaa, na kifo. Na nilikuwa nikifikiria kuondoa mojawapo ya hayo. Nilitambua kuwa dunia haitawahi kweli kuwa huru kutokana na matatizo hayo manne...
  12. Hivi umewahi jiuliza ni kwanini hatupati kupatwa kwa Jua / mwezi kila mwezi /mwaka licha ya kuwa na mzunguko wa dunia / mwezi unaojirudia rudia?

    Picha: Kupatwa kwa mwezi Picha: Kupatwa kwa jua ===================== Kwa msiojua, kupatwa kwa jua hutokea kati ya saa 2 asubuhi na saa 12 jioni ambapo mwanga wa jua hufifia na kuwa kusiko kwa kawaida Hii husababishwa na kitendo cha mwezi kuwa katikati ya jua na dunia hivyo kukinga baadhi ya...
  13. Hapa nawaachia wanaoijua vizuri dini mtoe maoni yenu. Rasta Yuko sahihi ?

    Tunaosoma kundalini tunaweza kumuelewa kuwa trik za dunia zipo nyingi kuhusu dini.
  14. Samia atikisa dunia akiwa Paris, akusanya zaidi ya dola bilioni mbili kwa ajili ya nishati salama

    Hii haijawahi kutokea, najua unajua lakini nakujuza ujue zaidi. Rais Samia amekusanya mabilioni ya dola kwa ajili ya nishati salama. Kwa hakika Samia ndiye Rais mwenye ushawishi mkubwa duniani akitokea Afrika, ni lulu, ni almasi, ni mwamba kutoka Tanzania. Mitano tena!? ahahaha, na hapa ipoo.
  15. Historia ya Tanganyika: Kubali Ukweli Hata Kama Ukweli Unapingwa na Dunia Nzima

    AMESEMA ALIYESEMA NITAWAFELISHA WANAFUNZI KWA HISTORIA ZANGU ZISIZO NA VYANZO VYA KUAMINIKA Lupweko said: Mzee utawafelisha watoto kwenye mitihani yao kwa historia zako ambazo hazina vyanzo vya kuaminika Lupweko, Mimi sina historia iliyo yangu. Historia ni kama ilivyotendwa na wahusika hao...
  16. Wakenya mnaitia aibu Africa. Hivi ndivyo Dunia inavyofahamu kuhusu Kenya 🇰🇪

    WELCOME TO KENYA WHERE:- 1. Girls handbags carry everything necessary for sleepover except their fare back home 2. When you are served little chips in a restaurant, you drink their Tomato Sauce like Pepsi 3. Youths don't pray before eating but take pictures of the meal first then post it on...
  17. D

    Mwenendo wa Dunia & the Prophecy

    Habari: Kuna mataifa kadhaa duniani ambayo haya ndiyo ya kutizama sana Israel, Marekani, Vatcani ukiangalia vizuri Israel utagundua kuwa Kuna maandalizi makubwa ya kumkaribisha masihi kumbuka baada ya kifo cha Allen Sharon pm rabi yitzak kaduri alisema masihi atakua karibu kuijilia Israel...
  18. M

    Marekani Dunia anaionaje?

    Yeye anapeleka silaha Ukrain- China akisaidia Urusi anamuwekea vikwazo. Yeye anawapa silaha zote Israe, Wengine wakisaidia anakasirikisha na kutisha Yeye anawakandamiza raia wanaondamana wake wengine wakifanya anakemea. Yeye anafanya baishara atakavyo- wengine wakifanya anawaekea vikwazo...
  19. SoC04 Kilimo na Ufugaji wa Kisasa: Kuifanya Tanzania Mpya kwenye Kilimo kwa Kuilisha Dunia

    Tanzania ina fursa kubwa ya kusimama kama nguvu ya kilimo na ufugaji wa kisasa ambao unaweza kuhakikisha usalama wa chakula ndani ya nchi na kusaidia katika kutoa mchango wa kipekee katika kuilisha dunia ndani ya miaka 15 ijayo . Kufanikiwa kwa malengo haya kutahitaji mazingira ya kisiasa yenye...
  20. R

    Je, Dunia ni battle field ya UJASUSI kati ya ufalme wa Nuru vs ufalme wa Giza?

    Salaam shalom!! Maandiko yanasema vita na uasi ulitokea Mbinguni, ndipo Dunia ikaumbwa tukaletwa hapa Kisha shetani pia akatupwa huku tulipo Ili vita iendelee, Tafsiri hapo ni kuwa, battle ground ya vita ilihamishiwa duniani, sasa twende mbele kujua mambo kadhaa wa kadhaa. Mifumo yote ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…