dunia

  1. Mary Moraa bingwa wa Dunia, atwaa tena taji la Diamond League

    Mary Moraa ambaye ni bingwa wa dunia na Jumuiya ya Madola mbio za mita 800, ametwaa taji la riadha za Diamond League duru ya Doha nchini Qatar. Bingwa huyo wa Kenya ambaye ni afisa wa polisi, katika mbio za mita 400 na mita 800, aliweza kukamilisha mizunguko miwili kwa dakika moja na sekunde...
  2. Kwa dunia ya sasa mke wa kweli yupo kijijini au mjini ?

    Eti wakuu wanawake wa mjini wa kuunga unga kelele nyingi na njaa ya kutisha. Mjini bwana unapiganiwa hatari mwanamme mmoja inagombaniwa na wanawake wa nne maisha ni magumu sana. Ukiwa mtenda mabaya maisha yatakuwa mabaya.
  3. Mnatuingiza kwenye nishati safi kama nchi ya dunia ya kwanza!

    Kabla ya kuanza kutuingiza wananchi kwenye kutumia nishati safi serikali ingejikita kwanza kwenye maisha ya watumiaji na mapishi yao, pia mpango huo usingefanywa kibiashara zaidi, ungezingatia kuangalia jinsi gani baadhi ya wananchi wangeweza kupata nishati ya gesi bila kutumia fedha mfano...
  4. Kinachoendelea Palestina ni wazi kuwa dunia haiko fair, kapuku hauna wa kukutetea

    Imagine karne moja iliyopita kulikuwa na vita za kidunia Hitler na wenzake walihukumiwa na kuchorwa katika picha ya ugaidi, kiongozi wa kiimla, iddi amini dada alionekana ni the same, Gadadi na wengi neo. Kwa bahati mbaya zaidi hakuna mtu ambaye amepinga vitendo vya jeshi la NATO dhidi ya...
  5. Napendekeza dunia iwe na nchi moja tu ya ‘United states of Earth’ (USE). Raia wa kigeni ni yule wa kutoka sayari nyingine tu

    Kwahiyo Raia wote wa USE wanaweza kwenda popote pale duniani na kufanya biashara na kuoa na kufanya maisha yao bila vikwazo vya Visa nk. Utahitaji Visa labda kama unaenda sayari nyingine tofauti na dunia. Rais awe mmoja tu.., hapatakuwa na serikali mbili wala tatu..
  6. Uzalishaji mkubwa wa hewa ya ukaa (Carbon dioxide) utafanya dunia iwe kijani zaidi?

    Eti wataalamu. Sehemu kubwa ya mmea inaundwa kwa Carbon dioxide na maji. Kwa kawaida kiasi cha carbon dioxide hewani ni asilimia 0.04 tu. Je kuongezeka kwa Carbon Dioxide hewani kutafanya mimea izalishwe kwa wingi zaidi?
  7. T

    Night Clubs kufa sio kwa Tanzania tu, Dunia nzima night club culture inakufa kwa sababu kizazi Z hakipendi Clubs

    Watu wengi wamekua wakijiuliza kwa nini siku hizi night clubs zinakufa sana, mfano Maison na nyinginezo hapa Tanzania. Ukweli ni kwamba night Clubs Dunia nzima zinakufa kwa sababu kizazi Z ambao ndio walipaswa kua wanaruka majoka usiku kucha hakipendi kwenda night Clubs. Sababu nyingine ni...
  8. Single mother wote nchi hii karibuni mkoa wa Mara,Ukuryani, kwa nini uteseke? Kwa nini ujione kama ulikosea hii dunia? Hakika hutojutia

    Slogani yetu sisi wakurya "Tunataka watu,na kitanda hakizai haramu " Nashangaa mdada unateseka huko uliko kisa huna mume na huwezi kuolewa kisa una watoto wako uliozaa na mwanaume mwingine huku ukiwaza watoto wako wataishije mbeleni? Sisi Ukuryani tunataka watu,njoo na wanao utaolewa na majina...
  9. TANZIA Director Khalfani afariki Dunia

    Aliyekuwa Mtayarishaji wa Video za Muziki wa Bongo Flava Nchini, Khalfani Khalimandro amefariki Dunia Director Khalfani alilazwa katika Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) akiwa na tatizo la Damu kuvilia kwenye Ubongo lililomsababishia kupata Kiharusi (Stroke) upande wake wa...
  10. R

    Nyikani tutaiongoza Dunia kulikusanya Kanisa la siku za mwisho

    Salaam,Shalom. Wakati Dunia na mifumo yake ikijitengeneza kuhakikisha Dunia nzima unaungana kupata sarafu Moja, utawala mmoja na siku moja ya Ibada Dunia nzima ( JUMAPILI). Nyikani, Taifa la AGANO, tumekwisha Anza kuifanya KAZI muhimu ya kuikusanya Dunia nzima na Kanisa la mwisho, kabla ya...
  11. TANZIA Mzee Isaac Mowo afariki Dunia

    Mzee wetu, Bilionea Isaac Mowo, ametutoka. Kila aliyeguswa na kifo chake, ninampa pole. R.I.P Mzee wetu Mowo
  12. Dhana ya Adam na Hawa kuwa wa mwanzo kwenye dunia na hadithi ya Nuhu ni mada ambazo zimekuwa na hukakasi nyingi za kifikra na kidini

    Watu wamekuwa wakibishana kuhusu uhalisia wa hadithi hizi na jinsi zinavyolingana au kutofautiana na maarifa ya kisayansi na historia. Kwa mfano, wengine wanachukulia hadithi ya Adam na Hawa kama tafsiri ya kiroho zaidi kuliko kama historia halisi, huku wengine wakiiona kama ukweli wa...
  13. Je, kuna ukweli kuhusu dunia kwenda kasi?

    Kadri miaka inavyozidi kwenda, pia speed ya muda unaongezeka. Siku hizi unashangaa tu kumekucha hujakaa sawa giza hilo. Je, kuna uwezekano dunia iinazunguka kwa kasi with time, I mean kadri decades na centuries zinavyo ongezeka na earth's rotation or revolution pia inaongezeka? Ma astrologists...
  14. Tunaishukuru Bank ya dunia kwa kutusikiliza na kuchukua hatua

    Thank you very much World Bank for listening to us and taking action to block the 138 billion loan to Tanzania. We need loans to improve development through democracy but not loans that are used to hurt the people. God bless Tanzania. Tunaishukuru bank ya dunia kwa kutusikiliza na kuzuia mkopo...
  15. SoC04 Tanzania Tuitakayo: Serikali na wananchi wake tumejipanga vipi kwendana na dunia ya leo na kesho?

    Tanzania, kama nchi nyingine, inakabiliwa na changamoto na fursa za kuendana na mabadiliko ya dunia. Kujipanga kunahitaji juhudi za pamoja kutoka kwa serikali na wananchi ili kuhakikisha maendeleo endelevu na ustawi wa jamii. Tumeona nchi nyingi ambazo zilizopo afrika na zengine zikikabiliwa na...
  16. Wananchi wa Tanzania wataendelea kupigwa na maisha mpaka mwisho wa Dunia

    Viongozi wanatulaumu wananchi wakihisi huwenda sisi ndio sababu ya nchi kutokupiga hatua, huku sisi wananchi kwa 100% tukiutupa mzigo mzima wa lawama kwa viongozi maana wao ndio watunga sera zote za kiuchumi. Kama viongozi wa Kitaifa wanawajumuisha Kizazi og na Wadudu wa Arusha kwenye issue...
  17. Prof. Muhongo ataja utajiri wa madini nchini “Tufanye maamuzi haraka tutailisha dunia”

    https://www.youtube.com/watch?v=k0X8CsnDV24 Ni kazi ngumu kufikisha idara hii ya geology ambayo kwa kwetu imeonekana kama ina mchango mdogo wakati ndio yenye utajiri wa madini. MINING GEOLOGY IT
  18. Hivi ndivyo Jimmy Carter alivyobaki. Ndiyo tujue sasa dunia haina urafiki

    Jimmy Carter ni rais wa Marekani wa 39 ambaye mnamo oktoba 1 mwaka 2023 alikuwa akisherehekea miaka yake 99 tangu kuzaliwa kwake mwaka 1924. Rais huyo mstaafu alitwala Marekani kuanzia mwka 1977 mpaka 1981. Miongoni mwa mafanikio ya utawala wake ilikuwa ni kufanikisha kutiiana saini ya...
  19. Niliposema nawachukia Wamoroko katika Mashindano wa Kombe la Dunia kwakuwa ni Wabaguzi kwa Sisi Weusi hamkunielewa, sasa kwa walichokifanya mtanielewa

    Nendeni katika Ukurasa wa X ( zamani Twitter ) wa Mkenya Mike Sonko muone jinsi Askar Polisi wa Morocco ( Waafrika Wenzetu ) walivyomshambulia na kumpiga vibaya Mwafrika baada ya Kuhoji kwanini Ndege yao imechelewa kwa Siku moja na wako bado Airport lakini kuna Tangazo limetoka likisema kuwa...
  20. Dunia itasemaje huyu jamaa akishika madaraka nchini Haiti

    Serikali ya Haiti imesambaratika baada ya aliyekuwa kiongozi wake kujiuzulu kwa shinikizo la makundi ya mitaani yakiongozwa na Vitel'homme Innocent Kiongozi huyo wa makundi ya kihalifu anashutumiwa kufanya matendo ya kigaidi maeneo mengine ya Carribean mbali na Haiti.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…