elie mpanzu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kama Elie Mpanzu amefeli kupata timu ulaya, Clement Mzize asijidanganye, labda bahati imbebe

    Ni kweli kuna watu oale EPL ukiwaona uwezo wao hauna tofauti na walioko Africa. Natambue kuwa Elie Mpanzu na Clement Mzize wanacheza nafasi tofauti ila Mpanzu anaonekana ana kipaji kuliko Mzize, kuanzia skills dribbleling, mikimbio, control, speed, sense amemzidi pakubwa Samatta alijaribu EPL...
  2. S

    Kama Joshua Mutale amegeuzwa joka la kibisa namna ile basi tujiandae hivyo hivyo kwa Elie Mpanzu

    Joshua Mutale ni moja ya mawinga hatari sana hapa Africa, ni kiungo wa pembeni sio wa kawaida, ana uwezo wa kupiga chenga, anao uwezo wa kufunga mabao katika mazingira yoyote, anaweza kucheza pia kama kiungo wa kati. Joshua Mutale ni kiungo msumbufu sana, anaweza kufanana na Steven Mapunda...
  3. Kuhusu Elie Mpanzu kucheza mechi za Ligi ya Shirikisho

    Kumekuwa na maelezo mengi kuhusu nafasi ya Mpanzu kuanza kukipiga mechi zinazofuata. Wengine wanasema anachosubiri ni mechi za Ligi ya NBC tu lakini mechi za Shirikisho kila tayari. Wengine wanasema hata mechi za shirikisho itabidi asubiri mpaka asajiliwe na TFF kwanza wakati wa dirisha dogo...
  4. Elie Mpanzu aongeza mzuka, acheza mechi ya kirafiki Simba SC dhidi ya KMC, vitu vyake vyawavutia wengi

    Simba SC imetoka sare ya bao 1-1 dhidi ya KMC FC kwenye mchezo wa kirafiki uliopigwa leo KMC Complex, bao la Simba limefungwa na Kelvin Kijili wakati la KMC likifungwa na Pascal. Fadlu kabla ya mechi dhidi ya Pamba Jiji, Novemba 22 aliomba michezo miwili ya kirafiki dhidi ya KMC FC na Azam FC...
  5. Simba SC yazidi kuimarisha kikosi chake na yamtangaza Elie Mpanzu

    Vigogo wa Tanzania, Simba SC wamethibitisha kumsajili Elie Mpanzu Kibisawala kwa mkataba wa miaka miwili akitokea As Vita Club. Mpanzu anatarajiwa kucheza mechi yake ya kwanza ya Premier League mapema mwakani. Hata hivyo, winga huyo huenda akajumuishwa kwenye kikosi cha Simba kinachoshiriki...
  6. Tetesi: Elie Mpanzu amekamilisha usajili wa kujiunga na Simba SC, mkataba wa miaka mitatu

    Simba ilipambana sana kuisaka saini ya winga machachari aliyeitumikia AS Vita kwa mafanikio, Elie Mpanzu lakini jitihada hazikuzaa matunda baada ya mchezaji huyo wa DR Congo kutimkia Ubelgiji kwa ajili ya majaribio lakini hakufanikiwa na kurudi kwao Congo. Taarifa mpya ni kwamba Mpanzu...
  7. Ellie Mpanzu asaini Msimbazi

    Aliyekuwa mchezaji wa As vita ya DR Congo Ellie Mpanzu yupo nchini kusaini mkataba wa awali wa kucheza Simba baada ya Dili lake ubelgiji kushindikana Mpanzu kasaini miaka mitatu na atajiunga na kikosi Cha Simba kuendelea na ratiba za mazoezi kusubiri mpaka dirisha litakapo funguliwa ili...
  8. Confirmed: Benchi la Ufundi la Yanga halimhitaji Elie Mpanzu

    Baada ya Engineer kuvutiwa waya jana na kuelezwa kuwa Elie Mpanzu yuko tayari kujiunga na Yanga endapo atahitajika, leo Master Gamondi amemthibitishia Engineer kuwa hahitaji kuongezewa nguvu kwasasa na kwamba apewe muda kurekebisha mapungufu aliyo yaona ili kikosi kifanye vizuri kitaifa na...
  9. Tetesi: Elie Mpanzu kutua Yanga kabla ya Weekend hii

    Kuna taarifa kuwa boss wa AS Vita Club amemvutia waya Engineer Hersi kumweleza kuwa mchezaji Elie Mpanzu (wabongo wananwita Elia) amerudi Congo na hajafanikiwa kusajiliwa Belgium. Boss huyo ambaye ni askari jeshi amesema kuwa mchezaji huyo yuko tayari kuja Yanga endapo atapata nafasi na...
  10. S

    Dili la Elie Mpanzu kujiunga Simba lipo hivi

    “Tofauti ya Simba na Yanga ni kuwa Yanga wanapotaka Mchezaji unawasiliana na Mtu mmoja tu ila Simba watu ni wengi sana kwa dili moja, mara Salim, mara Mulamu mara Magori na pia walikuja kwa kuchelewa sana kuhusu kumtaka Mchezaji wangu Ellie Mpanzu, hata hivyo hawezi kwenda Simba anaenda Ulaya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…