ubarinolutu
JF-Expert Member
- Oct 22, 2012
- 2,850
- 6,030
Kama kawaida wazungu walisema , Artificial Intelligence aka akili mnemba itakuja kuchukua kazi za watu na kazi za mashine kama MRI , basi leo nikasema niondoe utata wa umri wa mchezaji pendwa wa Simba Elie mpanzu kibisawala. Akili mnemba hiyo imeweza kunionesha umri halisi ama makadirio ya umri wa winga huyu machchari.
Kibisawala alipata timu ulaya , na alikwenda kufanya majaribio ambayo alifeli kutokana na kudanganya umri, kwani umri waliompima nao ambao haukusemwa unatofautiana na umri anao dai anao wa miaka 23, yani umri wake unalingana na Dvoice ni vichekesho.
Sasa mzee Mpanzu umri wake halisi ni huu hapa uliosomwa na programu ya akili mnemba. na hata ukiangalia kidevu chake kimekomaa