mahuru juma
New Member
- May 14, 2025
- 1
- 1
Mtacheza tu baby uyo babu mpanzu atawanyoshaš¤£
Mtacheza tu baby uyo babu mpanzu atawanyoshaš¤£
Muweke na mukwala tuoneš
Halafu inakuuliza " would you like to see the actual evidence with photos and video clips? "Vilevile inaweza kukuambia mtu akitoka kuchepuka ...piga picha ya sura yake iulize vipi huyu amefanya au hajafanya? Itakupa majibu
Na kwa hizi simu za sasa na smart TV zilizoko mahotelini inaweza kukupa ushuhudaHalafu inakuuliza " would you like to see the actual evidence with photos and video clips? "
Mpanzu by the way he looks oldKama kawaida wazungu walisema , Artificial Intelligence aka akili mnemba itakuja kuchukua kazi za watu na kazi za mashine kama MRI , basi leo nikasema niondoe utata wa umri wa mchezaji pendwa wa Simba Elie mpanzu kibisawala. Akili mnemba hiyo imeweza kunionesha umri halisi ama makadirio ya umri wa winga huyu machchari.
Kibisawala alipata timu ulaya , na alikwenda kufanya majaribio ambayo alifeli kutokana na kudanganya umri, kwani umri waliompima nao ambao haukusemwa unatofautiana na umri anao dai anao wa miaka 23, yani umri wake unalingana na Dvoice ni vichekesho.
Sasa mzee Mpanzu umri wake halisi ni huu hapa uliosomwa na programu ya akili mnemba. na hata ukiangalia kidevu chake kimekomaa
View attachment 3333932
Whaoh, Mkwala is too young
au unadhani ni mzee mnene mwenye mvi na ndevu nyingi mkuu? hata wewe ukimuona unaweza sema ana 35+ kumbe yuko 50s huko, ni maumbile tu ya mtu, hajakaa kizee, japo ni mzee kijanahakuna namna utaweka picha ya umri wa mtu wa miaka hamsini ikasema 25, leta picha ya mumeo tuipige VAR
Hakuna kitu kama hicho, labda mumeo kafanya plastic surgeryau unadhani ni mzee mnene mwenye mvi na ndevu nyingi mkuu? hata wewe ukimuona unaweza sema ana 35+ kumbe yuko 50s huko, ni maumbile tu ya mtu, hajakaa kizee, japo ni mzee kijana
Sasa kwanini adanganye umri, Hilo ni kosa aseeSisi tunataka mpira wake sio umri wake. Tumtake umri wake kwani tunataka tukamwanzishe darasa la kwanza au chekechea?
Bongo movie ndiyo Wana hizo tabia...hua inadanganya mala nyingi, niliweka sura ya mume wangu ikasema ana 25 yrs na yuko 50+ huko, nikaweka ya kijana wangu eti ana 29, mtoto kamzidi baba