Nimetumia Akili Mnemba (AI Age detection by face) Kujua umri halisi wa Elie Mpanzu

Nimetumia Akili Mnemba (AI Age detection by face) Kujua umri halisi wa Elie Mpanzu

Screenshot_20250514-225909.jpg
 
Kama kawaida wazungu walisema , Artificial Intelligence aka akili mnemba itakuja kuchukua kazi za watu na kazi za mashine kama MRI , basi leo nikasema niondoe utata wa umri wa mchezaji pendwa wa Simba Elie mpanzu kibisawala. Akili mnemba hiyo imeweza kunionesha umri halisi ama makadirio ya umri wa winga huyu machchari.

Kibisawala alipata timu ulaya , na alikwenda kufanya majaribio ambayo alifeli kutokana na kudanganya umri, kwani umri waliompima nao ambao haukusemwa unatofautiana na umri anao dai anao wa miaka 23, yani umri wake unalingana na Dvoice ni vichekesho.

Sasa mzee Mpanzu umri wake halisi ni huu hapa uliosomwa na programu ya akili mnemba. na hata ukiangalia kidevu chake kimekomaa

View attachment 3333932
😂😂😂 Ila kunawatu wajinga humu

Ubaya ubwelaaa💃🏽
 
hua inadanganya mala nyingi, niliweka sura ya mume wangu ikasema ana 25 yrs na yuko 50+ huko, nikaweka ya kijana wangu eti ana 29, mtoto kamzidi baba
Mmeo atakuwa anatumia cream ....yaani 50 iwe 25 achaga uongo basi bidada.
 
Back
Top Bottom