buswagg
JF-Expert Member
- Oct 21, 2023
- 1,027
- 1,870
hapana, zinaleta kila picha na umri tofauti, thats why ni upuuzi mtupuUkichukua picha tatu tofauti za mtu huyo huyo zitaleta jibu moja la umri?
hapana, zinaleta kila picha na umri tofauti, thats why ni upuuzi mtupuUkichukua picha tatu tofauti za mtu huyo huyo zitaleta jibu moja la umri?
Ikipungua sana 35However don't rely on it, algorithmic intelligence haiwezi kuwa sawa asilimia mia
cheki comment za nyuma , imewekwaWeka na wa mzize
Mpeleke Mahakamani!Sasa kwanini adanganye umri, Hilo ni kosa asee
Tufanye Mumewe yeye Basi si anamjua sana!Heeh[emoji3], basi haya kafanya.
Tutampeleka Amani Stadium zanzibar machozi yake yakasafishe uwanja may 25, 2025Mpeleke Mahakamani!
Simba sio Yanga!Tutampeleka Amani Stadium zanzibar machozi yake yakasafishe uwanja may 25, 2025
Si tulikubaliana ni 19 jamani 😃😃😃😃😃😃Kama kawaida wazungu walisema , Artificial Intelligence aka akili mnemba itakuja kuchukua kazi za watu na kazi za mashine kama MRI , basi leo nikasema niondoe utata wa umri wa mchezaji pendwa wa Simba Elie mpanzu kibisawala. Akili mnemba hiyo imeweza kunionesha umri halisi ama makadirio ya umri wa winga huyu machchari.
Kibisawala alipata timu ulaya , na alikwenda kufanya majaribio ambayo alifeli kutokana na kudanganya umri, kwani umri waliompima nao ambao haukusemwa unatofautiana na umri anao dai anao wa miaka 23, yani umri wake unalingana na Dvoice ni vichekesho.
Sasa mzee Mpanzu umri wake halisi ni huu hapa uliosomwa na programu ya akili mnemba. na hata ukiangalia kidevu chake kimekomaa
View attachment 3333932
Ligi ya bongo imejaa vibabu kibao..
ni kweli kabisa! Namjua Mchezaji Mmoja wa hz Tm za Kariakoo... anamaliza la 7 SUA Primary namuona, kwa miaka Ile alosoma Primary, naambiwa sasa hv ana 23!Ligi ya bongo imejaa vibabu kibao...