engine

  1. Msaada voxy engine 1az fse inakula mafuta balaa. 1 litre per 3km

    Naombeni msaada. Nimenunua Voxy first generation engine ya 1az fse wengine wanaiita D4. Inakula mafuta balaa. 1 litre kwa 3km. Na kwenye mlima haina nguvu kabisa hada ukiwa na watu. labda uwashushe ndio uendelee na ni mwinuko mdogo tu. Nimejaribu kuuliza mafundi mbalimbali sijapata jibu...
  2. M

    Fundi wa mashine ya hydrafoam engine ya hatz

    Habari wadau, Natafuta fundi wa mashine ya Hydrafoam yenye engine ya HATZ ya diesel, engine yangu haifanyi kazi na vinu pia vina shida nahitaji kuifufua ili niweze kuitumia tena. Naombeni msaada wenu
  3. Hoist Engine Driver at Bulyanhulu Gold Mine

    Position: Hoist Engine Driver Reporting to: Shaft Operation Supervisor Duration: Permanent RESPONSIBILITIES: Conduct pre-use inspection, dailies, winder break test and trips Facilitate the safe hoisting of persons, materials and ore, up and down the shaft Record conditions of winding engine...
  4. K

    Maduka ya vifaa vya uvuvi kama engine mwanza yanapatikana mitaa ipi?

    Jamani maduka ya vifaa vya uvuvi kama mashine mwanza yanapatikana mitaa gani?
  5. T

    Naomba Ushauri kabla sijanunua Hilux surf ya mwaka 1994 yenye engine ya 1KZ-TE

    Habari wataalamu, Ninatafuta gari kutoka Japan ambayo ni ngumu ya miaka ya 90s, inavumilia shida na inavumilia safari ndefu za mara kwa mara, na inayotumia engine ya diesel. Baada ya kufanya research kwa muda mrefu na kufanya cost benefits analysis kwa muda mrefu niligundua Hilux surf ya mwaka...
  6. Tatizo la gari za engine ya 1NZ kuji lesi ghafla ikiwa idle

    Kuna jamaa yangu ana IST, cc1490, 1NZ engine, akiiacha gari inaunguruma na silence ya kawaida,ghafla unashangaa imejiongeza lesi na kuwa juu, halafu baada ya dakika 4, inashuka kuwa normal, shida nini wakuu? Msaada tafadhali.
  7. M

    Natafuta Turbo na fuel Pump ya Nissan Patrol Y61, engine zd30

    Habari ya leo wakuu, Natafuta Turbo pamoja na fuel pump ya Nissan Patrol Y61, ZD30 engine tafadhali nicheki whatsapp kama unayo, Asante. +255675308774
  8. Engine service ya gari yako kwa gharama nafuu

    Tunaifanyia gari yako Engine Service ya kisasa na kwa gharama nafuu sana. Service hiyo ya engine inajumuisha mambo yafuatayo. 1. Tunakuwekea Oils na filters ambazo ni Genuine. Tunatambua Oil zisizo na viwango zinachangia sana huharibu engine za magari. 2. Kupima na Kusafisha Nozzle na Spark...
  9. TAHADHARI: Oil nyingi za engine za magari mtaani ni majanga

    Hiki kisa kinahusu gari moja aina ya Volkswagen Polo GTI mk5 toleo la mwaka 2012. Gari ina engine ya EA211 1.4TSI twin charge. Hii kazi niliunganishiwa na mtu wa humuhumu ndani japo huyo mtu alidai hanifahamu personally na hatujawahi kufanya kazi ila ameshakutana na post zangu nyingi humu JF...
  10. Engine Size and Fuel Efficiency: Debunking the Myths and Finding the Best Option for Your Vehicle

    When it comes to choosing a vehicle, many people believe that smaller engines are more fuel-efficient and eco-friendlier than larger ones. However, the truth is more complicated than that. While smaller engines may seem appealing due to their lower sticker prices and higher fuel economy ratings...
  11. Naitaji Engine ya Nissani Teana 230J

    Wakuu naitaji engine ya nissani teana 230j Number VQ23EAA6159 Iwe kwenye Hali mzuri na ikiwa na warranty itakuwa jambo Bora Sana Kwa mtu yoyote ambae anajua wapi naweza kupata au anayo hiyo engine anidm
  12. Wauzaji wa engine used

    Msaada wakuu,naomba kujua bei ya used,ya ENGINE YA INZ,Runx 1).full engine 2).mswaki 3).half engine 4).Gear box full.
  13. Free Advanced engine service gari 5 tu. Wati wa

    Mod naomba futa hii thread maana nmeipost bahati mbaya kabla kuna vitu sijakamilisha kuandika.
  14. K

    Car4Sale IST for sale. Imepata ajali engine nzima

    Ist imepata ajali inauzwa Iko Goba , engine nzima inafaa Kwa repair au spare. Mawasiliano Piga 0711295716
  15. M

    Samsung kuachana na Google Kama Search Engine

    Imeripotiwa kuwa Samsung wana mpango wa kuanza kutumia Bing ya Microsoft kama default search engine. Taarifa zinasema kutokana na kuongezeka kwa matumizi ya AI ambapo ChatGPT iliyo chini ya Microsoft kuonekana kuwavutia wengi imefanya Samsung wafikirie kutumia Bing kama default search engine...
  16. M

    Samsung kuachana na Google kama Default Search Engine

    Imeripotiwa kuwa Samsung wana mpango wa kuanza kutumia Bing ya Microsoft kama default search engine. Taarifa zinasema kutokana na kuongezeka kwa matumizi ya AI chatbot ambapo ChatGPT iliyo chini ya Microsoft kuonekana kuwavutia wengi imefanya Samsung wafikirie kutumia Bing kama default search...
  17. Tunauza engine used za Mercury Outboard 2-Stroke zenye 40hp

    Tunauza engine used za boti aina ya Mercury Outboard 2-Stroke zenye 40horse power. Engine hizi zina 697cc ni inline 3 cylinder, zinatumia petrol na 2 stroke oil ,uwashaji wake ni wa kuvuta kick na usukani ni wa mkono. Engine zimekaguliwa na kutestiwa baada ya kufika Zanzibar, Engine...
  18. Naomba maswali ya Interview ya Electrical engineering interview (TRC, Locomotives engine)

    Habari za wakati huu ndugu zangu, Samahanini sana kwa nitakao wakela kwa mimi kuleta uzi huu hapa jukwaani. Nilikuwa naomba kwa ambao wamewahi kufanya interview utumishi ajira za TRC department ya umeme(locomotives engine). Naomba mnisaidie maswali ambayo huwa yanaulizwa wakati wa interview...
  19. B

    Mafundi wengi Bongo wanashindwa kufanya Overhaul ya Engine ya 1ZZ

    Ningependa tu kutoa ushauri, kufanya overhaul ni mara mia ununue mswaki ufunge. Mafundi tulionao wanaweza kukushawishi ufanye overhaul lakini tambua engine haiwez kuwa na the same performance+Life span ya engine is shortned.(Hapa unakua kama upo kwenye limp mode,Gari haina uwakika kwa safari...
  20. Kufahamu engine ya gari kwa Muonekano

    Gari toleo moja inakuja na engines tofauti tofauti.. Kuna baadhi ambazo muonekano wake unakupa code ya engine iliyopo.. Baadhi ni hizi Prado 70.. Imeandikwa neno Turbo kwenye front grill hiyo ni 2LTE..! Imeandikwa 3.0 turbo mlango wa nyuma hiyo ni 1KZ Landcruiser Mkonga Pua mbele.. 1VDFTV...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…