Huwa na shangaa sana napokutana na watu wakimsifia mtu anayeongea kiingereza na kumheshimu kisha kumdharau asiyejua kuongea hiyo lugha.
Wanashindwa kuelewa kwamba kiingereza ni lugha tu kama lugha nyingine japo ni international language kama kiswahili tu africa mashariki. Kwa utafiti wangu...