facebook

  1. Nigeria: WhatsApp na Facebook zapigwa faini ya Tsh. Bilioni 583.8 kwa kukiuka Sheria ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi

    Serikali imeitoza kampuni ya META faini ya Dola za Marekani Milioni 220 (takriban Tsh. Bilioni 583.8) ikiwa ni baada Mitandao ya WhatsApp na Facebook kukutwa na makosa ya ukiukwaji wa Sheria ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi na Haki za Wateja Taarifa ya Tume ya Ushindani na Ulinzi wa Haki za Walaji...
  2. Siku hizi wanaouza dawa za nguvu za kiume Facebook na X ni madaktari. Maisha yanaenda kasi sana

    Habari wakuu, Kama unatumia Twitter (X) au facebook basi lazima utakuwa umewahi kukutana na post za madaktari wakiuza dawa za mitishamba na lishe zinazotibu matatizo ya nguvu za kiume au vidonda vya tumbo. Hii taaluma inakoelekea hawa vijana wataanza kutapeli watu. Kilichonishangaza zaidi...
  3. R

    Ni sahihi kutumia neno Facebook kama jina la biashara?

    Habari. Hivi ni sahihi kutumia neno Facebook kama jina la biashara? Mfano FACEBOOK PUB au FACEBOOK LOUNGE au FACEBOOK BAR. Kisheria imekaaje?
  4. M

    Msaada: Kurudisha akaunti yangu ya Facebook

    Jamani habari za leo, Naombeni msaada. Akaunti yangu ya Facebook imekuwa hacked na vijana wa kenya. Nahitaji kuirudisha ila nashindwa kwani wamekwisha reset password! Natanguliza shukurani!
  5. Vijana wenzangu msipoteze muda wenu kusubiri hela za Google, Facebook na TikTok kwasababu ni hela za chai, mtachelewa kufanikiwa

    Vijana wenzangu, maendeleo makubwa mnayoyaona hapa Tanzania ikiwemo biashara kubwa, majumba makubwa na magari ya kifahari hayajapatikana kwa hela za mitandaoni Bali maendeleo haya yalipatikana kwa kufanya kazi kwa bidii kubwa ndipo mafanikio haya yakapatikana Nyumba mnazoziona Salasala, Mbezi...
  6. Kuna pages huko Facebook zinauza pikipiki hadi 700,000 , 800,000 , 1,000,000 n.k hivi hizi ni nzima????

    Unakuta picha ziko vizuri kabisa kiasi kwamba mtu hadi unajiuliza mbona kama muonekano na Bei haviendani. Unakuta chombo inauzwa 800,000, arafu muuzaji anasema chombo Ina documents zote. Na unakuta ni ofisi kabisa ya kuuza pikipiki used. Binafs mashaka yangu ni Bei zao. Kwa wajuzi naomba kujua...
  7. Natafuta watu au kampuni ya kufanya Partnership ya Social Network mfano sawa na Facebook & Twitter

    Moja kwa moja kama kichwa cha habari kinavyosema ni kweli natafuta watu au kampuni ya kufanya nao Partnership ya Social Network ili tufaidike sote Mtandao tayari umeshaundwa mfano wa Twitter na Facebook kilochobaki natafuta watu au kampuni tutakayoingia Partnership ili tusaidiane kulipa bill za...
  8. Ukweli mchungu: Kibiashara Facebook is more powerful than Instagram

    Ukimuona mtu anaichukulia poa Facebook basi huyo sio mfanyabiashara wala mjasiriamali. Hajui chochote kuhusu business. For your information Facebook is more better in business than instagram. Ina watu wengi sana ambao wapo active na wanafikika kwa kirahisi sana kuliko Instagram. # Facebook...
  9. Umoja wa Ulaya kuchunguza uraibu katika Instagram na Facebook

    Umoja wa Ulaya unachunguza Facebook na Instagram ikiwa zinaweza kuwa na uraibu wa kiwango cha juu kiasi kwamba zinakuwa na "athari mbaya" kwa "afya ya mwili na akili" ya watoto. Pia itachunguza kama wamefanya vya kutosha kuhakikisha kuwa watumiaji ni wa umri unaoruhusiwa kuzitumia, na jinsi...
  10. Facebook ina mpango gani na accounts zetu tulizosahau password tangu 2010's?

    Kama kichwa kinavyojieleza. Anayejua jinsi ya kufanya hizo accounts zikafungwa kwa namna yoyote.
  11. Hivi umewahi add rafiki facebook hasa wa jinsia ya kike na ukakutana na hili?

    Wadau hivi umewahi add rafiki wa kike Facebook kutokana na ile friends suggestions halafu ukaja kushangaa kwenye story pale juu katika profile yako unamuona huyo rafiki kaweka story yenye viashiria vya ngono? Huwa unaendelea naye kama friend au unamtoa fasta? Jana nime mu add dada mmoja, aisee...
  12. Facebook bado wanaona jina "Bin laden" kama (u)gaidi!

    ..
  13. T

    Tanzania Inakabiliwa na Changamoto ya Maudhui Haramu kwenye Facebook

    Tanzania inakabiliana na ongezeko la maudhui haramu kama vile picha za ngono kwenye mtandao wa Facebook. Hii inaleta wasiwasi miongoni mwa watumiaji ambao wanahisi kutoweza kulinda faragha zao na heshima mtandaoni. Nawahasisha watumiaji kushiriki kwenye mjadala huu muhimu. Je, una maoni gani...
  14. SI KWELI Meta yatangaza Mabadiliko ya Sera kwenye Mtandao wa WhatsApp kwa Mawasiliano Binafsi pamoja na Makundi Sogozi kuanzia Machi 22, 2024

  15. W

    Facebook na Instagram kuanza kuwalipa waandaji maudhui mitandaoni Africa kuanzia Juni 2024

    Kulingana na kampuni ya Meta, inayosimamia Facebook na Instagram, iliyotangaza mwezi Februari 2022, itaanza kulipa waandaaji wa maudhui katika nchi 20 za Afrika Kusini mwa Jangwa la Sahara, ikiwemo Afrika Kusini, Shelisheli, Senegal, Rwanda, Nigeria, na Kenya. Kampeni hiyo inatarajiwa...
  16. Reels za Facebook zinakula MB's kuliko hata video za YouTube

    Hivi hii imekaaje yaani video clip vya facebook ukiviangalia dakika kumi tu zinakausha data Balaa hata GB 1 fasta inakata. Wakati unaweza kuangalia YouTube muda mrefu tu.
  17. Facebook Tanzania yakumbwa na picha za ngono, TCRA kazi kwenu

    Katika hali ya kusikitisha kuna wimbi la picha za ngono zinatembea mtandao wa Facebook huku Tanzania na Kenya huku wasambazaji wakiwatagg marafiki kupitia profile zao ambapo inaleta aibu kama upo na mtu wa heshima katika friendlists wako wa Facebook. Baadhi ya wananchi wanaotumia mtandao huo...
  18. Facebook bado ni mtandao muhimu sana duniani

    Miaka ya hivi karibuni kumekuwa na kasumba ya watanzania wengi kuukataa na kuudharau mtandao huu wangine wamefikia hata kutaka kufuta account zao huko facebook Hali ambayo nimeona ni tofauti sana huko duniani kwa mabara ya ulaya na Asia wengi wameendelea kuutumia kwa manufaa makubwa Kuna kitu...
  19. Niulize chochote kuhusu matangazo ya kulipia Facebook na Instagram

    Mimi siyo expert wa kutangaza online kwenye Facebook na Insta lakini nina uzoefu kidogo wa kama miaka miwili hivi kutangaza huko. So niulize swali lolote kuhusiana na sekta hiyo nami nitakujibu. Nikishindwa watakuja wataalamu zaidi na mimi nitazidi kujifunza. Karibuni.
  20. Mtandao wa facebook na Instagram haupatikani

    Mtandao wa facebook umeshindwa kufanya kazi mida hii na kupelekea Watu kushindwa ku-login Mimi binafsi nimetumia Facebook lite imekataa nikatumia Google chrome nayo imekataa
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…