facebook

  1. I m a computer Engineer but I can't even hack a facebook account

    Nimeanza kwa umombo kwa title hapo juu. Nina degree ya uhandisi katika hii fani pendwa.... Nilikuwa mtu wa Mungu Sana wakati napiga security. Sasa katika eneo la ku compromise Akaunti za watu niliona natenda Dhambi. Nawaza sana watu wanaodukuana. Mimi sinauwezo wa kuhack hata Akaunti ya...
  2. India kutafuta njia mbadala ya kufuatilia mawasiliano ya watumiaji wa WhatsApp

    Moja ya sababu zilizofanya mitandao ya kijamii kuaminiwa zaidi na watumiaji ni kutokana na hakikisho la usalama wa mawasiliano kwa kutumia mfumo wa msimbo fiche wa mwisho hadi mwisho (end-to-end encryption). Huu ni mfumo unaoficha ujumbe uliotumwa kutoka kwa mtumiaji mmoja ili usiweze kusomwa na...
  3. Facebook yafungia akaunti ya Rais wa Venezuela kwa kupotosha kuhusu covid19

    Mtandao wa kijamii wa Facebook umeifunga akaunti ya Rais wa Venezuela, Nicolas Maduro kwa kutoa taarifa za kupotosha kuhusu Virusi vya Corona Rais Madura alichapisha kwenye ukurasa wake video ambayo ilionesha aina fulani ya dawa ya asili inaweza kutibu Virusi vya Corona Imedaiwa kuaw hii si...
  4. Mitandao ya kijamii WhatsApp, Facebook na Instagram ilitoweka hewani, yarejea tena (19/03/2021)

    Tupeane updates... Ni makampuni ya Facebook pekee au! Au wamefanya yao 'wazee' ===== Mitandao ya kijamii WhatsApp, Facebook na Instagram yatoweka hewani muda huu. Mtandao wa Facebook ambao ndio mmiliki wa mitandao hiyo hawajatoa taarifa yoyote kwa wateja wao mpaka sasa. ===== Baada ya...
  5. S

    Nawezaje badili Facebook account yangu kuwa page?

    Naomba msaada nawezaje badili Facebook account ya kawaida iwe page bila kufungua page mpya. Nimejaribu sipati hiyo option, napata only option ya ku-create new page siwezi kubadili. Msaada wakuu
  6. Facebook kuanzisha mradi wa kufundisha mfumo wake wa ufahamu bandia kwa kutumia video

    Kampuni ya Facebook imesema inaanzisha mradi wa kuifundisha mifumo yake kujifunza picha, video na sauti kutoka katika maudhui yaliyopo katika jukwaa lake. Mradi huo unaoitwa "Kujifunza Kutokana na Video" una lengo la kuufundisha mfumo wa Facebook wa ufahamu bandia (artificial intelligence...
  7. Instagram Lite rasmi Afrika Mashariki

    Baada ya majaribio kadhaa sasa Facebook imeanzisha Instagram Lite rasmi Afrika Mashariki na takribani mataifa 170. Instagram Lite inakuja kama mtoto anayefuata baada ya Facebook Lite. Instagram Lite itachukua MB2 tu ya nafasi katika simu yako. Kupitia aplikesheni hii mpya utaweza kukomboa DATA...
  8. A

    Msaada kuset facebook (Instagram Ads)

    Msaada kuset facebook (Instagram Ads). Kama Una Uzoefu Katika kuset target facebooks ads & Instragram njoo Inbox Tuyajenge.
  9. Uganda Rais ashauriwa kuteua Digital Ambassador wa kushughulika na Facebook na mitandao mingine

    Facebook closure will not affect important things in Uganda- Museveni. President Museveni has said the limitation of access to Facebook will not affect the most important things from happening in Uganda. Kenneth Kazibwe by KENNETH KAZIBWE March 1, 2021 at 10:51 am. Facebook closure will not...
  10. Unaishiwa bando haraka? Fahamu namna ya kudhibiti matumizi yako ya data mtandaoni

    Umeshawahi kuwa mhanga wa kifurushi chako kuisha kabla haujakusudia kiishe? Pengine umekuwa ukilalamika kuwa baadhi ya mitandao inakumalizia data zako, na hii inaweza kusababishwa na kutofahamu kiwango cha data kinachotumika kwa matumizi ya kawaida mtandaoni. Si rahisi kuweka makadirio ya moja...
  11. Appodeal kumaliza usumbufu wa Admob ads na facebook ads

    Wadau. Kama wewe ni developer au unamiliki application nafikiri utakuwa unasumbuka sana na tatizo la ama kupata matangazo ya facebook au admob. hata kama yakipatikan ni nadra sana kudumu kwa muda mrefu. mengi yanakuwa blocked . sasa hapa Appodeal wamekuja na suruhu ambapo wao ukijiunga nao...
  12. Nawezaje kupunguza matumizi ya MB kwenye facebook

    Habari wanajamii nimetumia kwa muda mrefu hii application ya facebook lite sasa nimeona nijaribu kutumia hii nyingine facebook ingawa inachukua space kubwa. Sasa nimeshtushwa na ulaji wake wa bando maana linakwenda haraka mno ninaomba kama kuna anaefahamu namna ya kuseti ili isile bando sana...
  13. Do you need Social Media manager?

    It is no doubt that SOCIAL MEDIA is fast becoming a part of our everyday day lives. Currently, over 50% of the world's population use social media. With the rapid increase of active social media users, you should figure out that social media is for your brand/business. The big question is...
  14. Facebook yawafungia watumiaji wa Australia

    Mtandao wa Facebook umewafungia watumiaji wa Australia ikiwa ni njia ya kupinga suala la Australia kutaka Facebook wawalipe watumiaji wake wanaochapisha habari mbalimbali nchini humo Australia ilizitaka kampuni mbili kubwa za mtandao, Facebook na Google kuwalipa wanaochapisha habari katika...
  15. Facebook ya sasa imejaa matapeli, madanga na waganga wa kienyeji tu

    Facebook ya miaka ya 2015 rudi nyuma ilikua tofauti sana na ya sasa. Kwa sasa watumiaji wengi wa facebook ni 1. Matapeli wa mtandao (crypto & investments) 2. Waganga wa kienyeji wapo wengi lakini (west Afrika sana) 3. Wadangaji fake (Wabongo sana) 4. Watu wenye uelewa mdogo (hasa Wabongo) Sioni...
  16. Google yatishia kusitisha huduma zake Australia ikiwa Serikali haitabadili sheria mpya ya malipo ya maudhui, Facebook yafuata mkumbo

    Kampuni ya Google imetishia kufunga huduma zake nchini Australia ikiwa Serikali ya nchi hiyo haitabadili muswada unaoitaka kampuni hiyo kulipia maudhui yanayotoka nchini humo. Mkurugenzi Mtendaji wa huduma za Google Australia, Mel Silva aliiambia kamati ya Senate kuwa hatua hiyo ya serikali...
  17. India: Wafanyabiashara waomba WhatsApp na Facebook vizuiwe kutokana na sera mpya

    Shirikisho la Wafanyabiashara wa India (CAIT) limeiomba serikali izuie mtandao wa WhatsApp, Facebook na Facebook Messenger kutokana na sera mpya ya Faragha. Wafanyabiashara wamemuandikia Waziri wa Habari na Teknolojia kuwa India inawatumiaji zaidi ya milioni 200 hivyo kuchukua taarifa zao kwa...
  18. Facebook yafungia akaunti za viongozi wa serikali ya Uganda

    Zikiwa zimebaki siku chache kuelekea uchaguzi mkuu nchini Uganda, mtandao wa Facebook umefungia akaunti za viongozi wa serikali kwa tuhuma za kushawishi maamuzi ya umma, mtandao wa AFP umeripoti. Mkuu wa Mawasiliano wa Facebook wa Ukanda wa Nchi za Kusini mwa Sahara, Kezia Anim-Addo amesema...
  19. msaada: jinsi ya kupakua picha kutoka facebook

    Habari. Kwa kipindi cha karibuni nimeanza biashara ya udalali wa magari pikipiki simu vitanda na vitu vingine used hapa Dar. Nimekutana na changamoto ya kupakua picha zilipostiwa FB ili niweze kupost kwingine Naomba msaada ni njia gani nitumie Shukran, Dalali Solo. 0744033555__ TABATA BIMA DAR
  20. Facebook yakabiliwa na mashtaka ya kuwanunua wapinzani wake kwa lengo la kuwaondoa sokoni

    Kampuni ya #Facebook Inc inaweza kulazimishwa kuuza mali zake ikiwemo #WhatsApp na #Instagram baada ya Tume ya Biashara ya #Marekani kufungua mashtaka dhidi ya kampuni hiyo ikisema ilitumia mkakati wa "kununua au kuzika" kuwarubuni washindani wake Facebook inakuwa kampuni ya pili kubwa kwenye...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…