TAMBUA KITUO UTAKACHOPIGIA KURA 28 OKTOBA 2020
Kama tujuavyo mwezi huu wa Oktoba, tarehe 28 kuanzia saa 1:00 mpaka saa 10:00 jioni ni siku muhimu sana kwa Watanzania.Kwani watanzania watachagua viongozi wao wanaowataka ambao ni Rais,Mbunge na Diwani kupitia Uchaguzi Mkuu,ambao utafanyika kila...