Amini usiamini, aina ya gari unalomiliki linaweza kuelezea tabia yako kwa kiasi kikubwa.
Soma hapa: je, wewe tabia yako ni ipi?
1. IST, Raumu, Ractis, Passo, Nissan Tiida, Note, Mazda Demio, Honda Fit, Vitz new model: Wamiliki ya magari haya huwa waangaliku kwa kiasi kikubwa kwani wengi wao...