familia

"Família" is the seventh single by Brazilian rock band Titãs, released in 1987. The song is about the everyday issues of a family.It was once covered by Molejo on their 1998 album Família. The song was featured on the Rede Manchete telenovela Corpo Santo.
In 2013, bass player and vocalist Nando Reis (now an ex-member) recorded a new version of the song with his sons Théo and Sebastião. The new version is being used as the opening theme of the 2013 season of Rede Globo's Malhação. While Sebastião played acoustic guitar, Nando Reis and Théo sang, sharing the same microphone, like The Beatles used to do, "in order to create a more familiar atmosphere", according to Reis.

View More On Wikipedia.org
  1. sky soldier

    Tusilaumu mabinti wanaokwepa wanaume maskini, ndoa za kiafrika ni muunganiko wa familia mbili, upo tayar binti yenu aolewe na maskini?

    Walengwa ni mabinti wenye soko kubwa chini ya miaka 28 Kwa ulaya na Marekani mambo ya kuhusisha familia hayana uzito, hata binti aolewe na kapuku hayo ni maamuzi yake na atapewa kila baraka. Shida inakuja kwetu Afrika 1.familia ya binti ipo vizuri kiuchumi, binti, kaka, dada na wadogo zake...
  2. L

    Familia inaendelea kuwa msukumo wa mafanikio kwa wanamichezo wa China

    Wanamichezo wa China wamefanya vizuri katika michezo ya 19 ya Asia iliyomalizika hivi karibuni mjini Hangzhou. Kama ilivyo kwenye michezo mingi ya namna hiyo, wanamichezo wa China wameendelea kuonyesha maajabu kwa kupata mafanikio makubwa huku wakijishindia medali nyingi za dhahabu. Lakini mbali...
  3. R

    Wanasiasa wataanza kulogana rasmi mwakani; familia zao ziniandae kisaikolojia

    Mwakani tutakuwa na chaguzi za mitaa na 2025 uchaguzi mkuu. Asilimia zaidi ya 80%ya viongozi wa kisiasa waliopo sasa madarakani walipita bila kupigiwa kura na wananchi. Lakini pia regime iliyowaweka haipo tena. Natabiri hawa asilimia 80%kwenda kwa waganga kuandaa mikakati ya kubaki wakiwa...
  4. Vincenzo Jr

    Familia ya msichana mweusi wa Ireland aliyebaguliwa yasema msamaha 'hauna maana'

    Mama wa msichana mweusi ambaye hakupewa medali katika sherehe ya michezo ya sarakasi nchini Ireland anasema msamaha aliopokea "hauna maana". Video iliibuka hivi karibuni ikionyesha madai ya ubaguzi wa rangi ya kijana mweusi akipuuzwa na afisa ambaye alikuwa akigawa medali katika hafla...
  5. Equation x

    Kumuelimsha mtoto wa kike ni kumuwekea msingi wa kuwa mkombozi katika familia yake

    Tunajua kumuelimsha mtoto wa kike kwa elimu bora pamoja na malezi mazuri, atakuja kuwa mkombozi bora katika familia yake. Bila kumpatia msingi mzuri wa elimu, pamoja na kumjengea hofu ya Mungu; ndio wanakuja kuwa, hawa wanao tanguliza pesa mbele kabla ya mahusiano. Baba ukiwa mtu wa totoz...
  6. Pascal Ndege

    Hekima: Usitoe sana sadaka bila kujibakiza, tumia akili sana, uliza moyo wako, angalia watoto na familia, angalia nguo na viatu vyako ndio utoe sadaka

    Hapo zamani tulikuwa na wazungu walitufundisha kuwa Mungu huwasaidia watu wanaojisaidia wenyewe. Hawa wazungu walimaanisha ukifanyakazi kwa bidii na kumtumainia Mungu ndio utafanikiwa. Nimekutana na waumini flani wanatoa sadaka hadi wanakosa nauli ya kurudi nyumbani. Niliwahi kuona mke wa mtu...
  7. Hakuna anayejali

    Ingekuwa familia yangu nimeelekeza haibadiliki ningesema jinga kabisa nawawajibisha.

    Serikali isyoijali hali za wananchi wake ktk huduma mbalimbali kama umeme kukatika Kila mara,dawa hospitali tabu,mabilioni yanaibwa na watendaji wa serikali na serikali haichukiwi hatua ya kuwawajibisha wezi hao.pesa zinazoibiwa zingeweza kutumia ktk mambo ya maendeleo lakini tunajirudisha nyuma...
  8. MamaSamia2025

    Mwanaume asiyehudumia familia yake ni mbaya kuliko kafiri

    1 Thimoteo 5:8 "Lakini mtu ye yote asiyewatunza walio wake, yaani, wale wa nyumbani mwake hasa, ameikana Imani, tena ni mbaya kuliko mtu asiyeamini". Wakuu ninaandika huu uzi nikiwa ninakumbuka mambo niliyokuwa ninayaona wakati naishi kwenye mtaa mmoja wa uswahilini hapa mjini Dar. Ni mtaa...
  9. Uwesutanzania

    Kabla ya kuoa au kuanzisha familia jitahidi sana uyafanye haya

    Kwa ambao bado HAWAJAOA au Kuwa na FAMILIA (MAJUKUMU) ------------------------------ Ndugu yangu kabla ya kuoa Jitahidi sana kuyaandaa mambo haya utakuja nikumbuka baadae. Rafiki maisha ya sasa ni magumu sana hivyo unapaswa kujiandaa ipasavyo kabla ya kuyaendea majukumu ya kifamilia...
  10. wake up

    Niokoe niiokoe familia yangu

    Habari za wakati huu? Niende moja kwa moja kwenye jambo langu kwanza nikiri kwamba mm sio mgeni humu Jf ni member kwa miaka zaidi ya 8 na id yangu inafahamika ndio maan nimeona ili niwe huru zaidi nitumie id mpya kabisa. Jamani sababu iliyonileta kwenu ni kuomba ushauri na msaada hasa wa kazi...
  11. F

    RUBY ana Trauma na Depression, wanaomponda Ruby ni wajinga na ndio wamejaa kwenye familia zetu na maofisini

    Habari wadau. Nazani wengi tumeona trending za msanii wa kike Ruby. Binafsi najua ruby amekosea ila kuna kitu nimekigundua na kumuelewa ruby. Historia ya maisha ya ruby tu imempa hasira hasira. Mtoto alielelewa kwa upendo wa baba na mama ana tofauti na mtoto alielelewa kwenye familia isiyo...
  12. Chachu Ombara

    Zimbabwe: Upinzani wamshutumu Rais Mnangagwa kumteua mwanaye na mpwawe Baraza la Mawaziri

    Rais wa Zimbabwe Emmerson Mnangagwa ameshutumiwa kwa upendeleo baada ya kumteua mwanawe katika baraza jipya la mawaziri kufuatia kuchaguliwa tena kwa uchaguzi wenye utata mwezi uliopita. Bw. Mnangagwa Jumatatu alimtaja mwanawe, David Kudakwashe, kama naibu waziri wa fedha kama sehemu ya mgawo...
  13. M

    Familia nyingi hazijawahi kubadili kitanda na godoro hadi UZEENI

    Vitanda na magodoro katika familia nyingi za Kiafrika vimetumika kuzalishia watoto, wajukuu na hata vitukuu. Vitanda hivi vimeshuhudia mmiliki akiwa kijana au watu wakiwa wachumba, wakaoana, wakapata watoto ,wajukuu na kushuhudia wanavyozeeka hadi kufa. Pia mtu tangu aanze kazi hadi...
  14. Robert Heriel Mtibeli

    Umaskini wa familia unatokana na Baba dhaifu, na umaskini wa taifa unatokana na Wanaume Legelege

    UMASKINI WA FAMILIA UNATOKANA NA BABA DHAIFU, NA UMASKINI WA TAIFA UNATOKANA NA WANAUME LEGELEGE. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Nimekosa Lugha itakayoweza kuelezea Jambo hili zaidi ya niliyoitumia. Ikiwa kuna yeyote mwenye moyo mwepesi, ambaye si mhimilivu wa Lugha kali basi nashauri...
  15. sky soldier

    Aende chuoni miaka 5 kisha apewe mtaji au aende kusaidia biashara ya familia miaka mitano kisha afunguliwe biashara?

    Kamaliza form 6, Ni mtoto wa kwanza wa kwanza wa kiume, wa pili yupo form 5 wa kike, wa tatu wa kiume yupo form 1, wa nne wa kiume yupo darasa la saba Wazazi wanajishughulisha na biashara, mambo ya usafirishaji na makazi. option mbili 1. Apprenticeship miaka mitano afunzwe kwa ukaribu...
  16. JanguKamaJangu

    Familia ya Glazer kusitisha kuiuza Manchester United

    Wamiliki hao wa klabu hiyo ya England wanatarajiwa kuchukua uamuzi huo kutokana na Wanunuaji kutofikia kiwango cha bei ambacho wanakitaka, ambapo wao wanataka Pauni Bilioni 10 (Tsh. Trilioni 31.4). Ikiwa uamuzi huo utafanyika unaweza kuibua hasira za baadhi ya mashabiki wa United ambao wamekua...
  17. The Burning Spear

    Kama CCM itaendlea kubaki Madarakani kuna hatari Tanzania kuongozwa na familia zilizoshindwa kuleta mabadiliko

    Huu ndo mtazamo wangu, Wakati sisi tunataka mabadiliko na mawazo mapya ndani ya nchi japo taifa lifike mahali fulani. CCM yenyewe iko na mawazo tofauti kabisa ya kuachiana madaraka kifamilia zaidi. Kila amayestaafu anahakikisha kapanda mbegu ndani ya chama ili mirija ya ulaji isipotee...
  18. BARD AI

    Dar: Apotea siku 41 familia ikidai Polisi walimchukua na kumpeleka kusikojulikana

    Wakati familia ya Fred Ngoti (46) ikidai ndugu yao alitoweka baada ya kuchukuliwa na Jeshi la Polisi, lenyewe limejibu si kila anayepotea huwa limemkamata. Inadaiwa Fred alitoweka tangu Julai 20, mwaka huu baada ya kupigiwa simu na rafiki yake aliyemtaka wakutane Vingunguti, Dar es Salaam kwa...
  19. Moronight walker

    Nomba uzoefu kwa wenye mzazi (wakike au kiume) mwenye watoto kutoka kwa wenzi zaidi ya wawili na wote wakiwa hai

    Habari jf. Naomba uzoefu wenu watu wazima mlio na watoto au watoto ambao umezaliwa kwenye familia hii. Ni zile familia ambazo Baba yako kazaa na wanawake hata 2 au zaidi ya 2 na wanawake aliozaa nao wapo hai pamoja na watoto pia. Hivi swala kama ilo kwako kama mtoto unaonaje kwenye familia hio...
  20. Roving Journalist

    Serikali yawataka Wakulima kuweka akiba ya mazao ya chakula kwa ajili ya kukidhi familia zao na kuuza ili kujipatia kipato

    Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo, Gerald Mweli amesema Serikali itaendelea kujikita zaidi katika kuongeza bajeti ya kilimo, pamoja na kutatua changamoto za masoko, kuhamasisha matumizi ya taknolojia, pamoja na kuwapatia mitaji vijana, ili kuhakikisha nchi inakuwa na uzalishaji mkubwa wa chakula...
Back
Top Bottom