familia

"Família" is the seventh single by Brazilian rock band Titãs, released in 1987. The song is about the everyday issues of a family.It was once covered by Molejo on their 1998 album Família. The song was featured on the Rede Manchete telenovela Corpo Santo.
In 2013, bass player and vocalist Nando Reis (now an ex-member) recorded a new version of the song with his sons Théo and Sebastião. The new version is being used as the opening theme of the 2013 season of Rede Globo's Malhação. While Sebastião played acoustic guitar, Nando Reis and Théo sang, sharing the same microphone, like The Beatles used to do, "in order to create a more familiar atmosphere", according to Reis.

View More On Wikipedia.org
  1. BARD AI

    Rais Putin atuma salamu za Rambirambi kwa Familia za Waliouawa kwenye ajali ya Ndege akiwemo Prigozhin

    Akizungumza katika Televisheni ya Taifa, Rais Vladimir Putin ameitaja ajali ya Ndege hiyo kuwa mbaya na imeua Watu 10 ambao ni Wafanyakazi wa Jeshi Binafsi la Wagner akiwemo Kiongozi wake, Yevgeny Prigozhin ambaye ametoa mchango mkubwa kwa Taifa hilo. Pia, amesema Kamati ya Uchunguzi imeanza...
  2. GENTAMYCINE

    Kwanini inashauriwa duniani kote Watu wa Usalama ( Intelligence ) lazima watokee katika Familia ambazo zina Historia ya kuweko huko?

    Leo GENTAMYCINE Kazi yangu Kubwa katika huu Uzi ni Kusoma tu Comments zenu ili Nielimike zaidi nikiamini kuwa hapa JamiiForums kuna Wabobezi na Wazoefu wa Fani hii inayoitwa ya Wenye Nchi.
  3. Robert Heriel Mtibeli

    Tafuta hela uheshimishe familia yako

    Anaandika, Robert Heriel Moja ya mambo yaliyonifanya nisome wakati ni mdogo, na sasa nahangaika kutafuta pesa ni suala la matukio ya misiba. Kwa kweli Taikon niliapa na katika hilo Mungu anajua, na atalisimamia yakuwa mke na watoto wangu kamwe hawataosheshwa masufuria na kutumwa tumwa bila...
  4. GENTAMYCINE

    Watanzania watakujaza 'Upepo' kuisema Serikali ila ukikamatwa tu wanakuacha peke yako

    Ndiyo maana GENTAMYCINE ninachokiangalia ni mimi kula ugali, maharage na dagaa wangu, kuwa na kipato cha kawaida kikibahatisha kuwepo, amani yangu ya moyo, kula bata kama zikinitembelea na kumuabudu na kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa hii zawadi yake tukuka ya huu uhai wangu. Kwa nchi za Afrika...
  5. matunduizi

    Kwanini ndugu wa mwanamke mara zote hukaa kwenye familia kuliko ndugu wa mwanaume?

    Uzoefu unaonyesha katika familia nyingi ndugu wa mwanamke ndio anaweza kutoboa na kuishi kwa amani kwenye familia nyingi. Ndugu wa mwanaume ni mara chache sana, tena wanaishi kwa kufosi. Tatizo huwa ni nini?
  6. Ushimen

    Nyakati tatu za tawala tofauti kwenye familia, vijana jiandalieni mazingira bora wakati wa uzee wenu.

    1. Ukiwa kijana jiandalie mazingira na maokoto kwaajili ya uzee wako. 2. Usije ukawa na fikra za kutegemea mke ama watoto mara baada ya kustaafu. 3. Tambua kwamba kuna nyakati tatu za utawala ndani ya nyumba/familia  A- Utawala wa baba:- Ni kipindi ambacho baba anakuwa mwenye nguvu na...
  7. Melancholic

    Familia nyingine ni za ajabu sana

    Kuna familia zingine zinashangaza na zinakatisha tamaa sana. Sisi kwenye familia yetu tumezaliwa watoto 9 wakiume tupo 6 na wakike wa 3 na uzao wetu umekaa hv kuna kaka zangu wakubwa wa 3 waliozaliwa miaka ya 70 then wanafuata dada 3 waliozaliwa miaka ya 80 halafu ndio sisi tena wakiume wa 3 wa...
  8. Josephat Masanja Jerry

    SoC03 Familia: Jiko la mapishi ya Uwajibikaji na Utawala Bora katika jamii

    Picha: Gazeti la Mtanzania UTANGULIZI. Katika jamii, familia ni msingi thabiti wa ujenzi wa maadili na tabia za kijamii na kizazi kijacho. Kama vile jiko linavyokuwa kitovu cha mapishi, familia pia ni kitovu cha kuhamasisha uwajibikaji na utawala bora. Katika mataifa ya Ulaya na Uarabuni...
  9. chiembe

    Familia ya Magufuli isikubali Chadema wakafanye Siasa kwenye kaburi la Magufuli, wawafukuze

    Nawashauri familia ya JPM wasimruhusu Lissu na genge lake lisiende katika kaburi la JPM kufanya Siasa. Japo Mimi sio mnazi wa JPM, lakini inaonekana wamejipanga kisiasa katika kuzuru kaburi Hilo, na wanaweza hata kutoa matusi mazito, hasa Lissu, wakati wakijifanya kumuombea. Pia baadhi wamesema...
  10. R

    Mzee Kinana yeye na familia yake wamewahi kupanda bodaboda?

    Let us be serious hata kidogo na maisha ya hawa watoto wetu; tujaribu kufanya yale tungependa kufanyiwa. Gharama za matibabu nchini ni kubwa sana, tuwaonee huruma hawa wasiojitambua. Kama boda boda ni nzuri lini tumewahi kumwona Mzee Kinana au mtoto akiendesha au kubebwa mishikaki kwenye hizo...
  11. Aliko Musa

    Jiunge Na Familia Ya Zaidi Ya Watu 750 Inayojadili Mambo Ya Ardhi Na Majengo BURE.

    Tumekuwa na masomo mazuri kuhusu uwekezaji kwenye ardhi na majengo. Tumekuwa na mijadala ya motomoto kuhusu uwekezaji kwenye ardhi na majengo. Tupo watu wa makundi tofauti tofauti kutoka mikoa tofauti tofauti. ✓ Wapo mawakili wazoefu humu kundini, ✓ Wapo wachoraji wa ramani nzuri za...
  12. R

    Madaraka matamu ukiwa nayo; Uhuru Kenyatta na Familia yake wana pesa ila hawana amani. Wanapitishwa pagumu

    Siyo kila tajiri ataishi milele kwa furaha na utajiri wake Siyo kila mwenye madaraka ataendelea kuishi kwa furaha baada ya kuacha madaraka. Kikwete alipomwachia nchi Hayati Magufuli matosa waliandamana na wale wote waliokuwa wafuasi yake. Uhuru ameachia madaraka sasa hivi familia yake...
  13. Equation x

    Wewe ndio chanzo cha umasikini katika familia yenu

    Katika familia, gharama hazipo kwenye kuzaa tu; bali gharama zipo kwenye malezi. Na kwa mazingira ya sasa, unaweza kuta kijana ana miaka zaidi ya 30, lakini bado anaishi kwao, huku akiendelea kuwapa mzigo mzito wazazi wake. Kwa nini nasema wewe ndio chanzo cha umasikini wa kwenu; ni kwa...
  14. C

    Je, hii ni nchi au familia?

    Moja kwa moja kwenye mada, Kwa jinsi mambo yanavyoenda, najiuliza kweli hii tuliyomo ni "level" ya nchi kweli? Au ni familia ya mtu kaamua ajinywee pombe zake na kuamua chochote? Hebu tazama mifano michache hapa chini:- Hebu soma mtiririko hapo juu, Je, sisi wananchi ni "majuha"?! Au hii...
  15. Superbug

    Familia ya Aziz Abood inavyoishi kwa amani, waswahili tusingeweza tungeuana mchana kweupe

    Aziz Abood mbunge ni mtoto wa nje wa familia ya mzee Abood marehemu. Watoto halali wa ndoa ni kina Fawz Majid na Tarek. Hata hivyo Abood mbunge ndio anajulikana kama mwenye mali lakini uhalisia yeye wala hausiki kivile na ingekuwa mswahili angeipatapata. Waswahili jifunzeni kuishi kwa upendo...
  16. Equation x

    Familia na vyanzo mbalimbali vya mapato

    Wengi huwa tunapenda kuanzisha familia ikiwa lengo kuu ni kupeana faraja tu, bila kufikiria ili familia iwe na amani na utulivu uchumi unatakiwa uwe umetulia. Si vema kwa mtu mwenye familia kuwa na chanzo kimoja cha mapato, mfano mshahara; mshahara siku zote huwa hautoshi na huwa unapatikana...
  17. Robert Heriel Mtibeli

    Ubinafsi na Utapeli wa Sisi wanaume ndani ya Familia

    UBINAFSI NA UTAPELI WA SISI WANAUME NDANI YA FAMILIA Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Niliwahi kuandika hapa, unaweza kupitia👇Wanaume tuache Ubinafsi ukitaka familia yako ianguke basi moja Kati yenu awe mbinafsi. Aidha Mke au Mume. Chanzo kikubwa cha umaskini wa familia nyingi hapa Tanzania...
  18. BigTall

    Tukio la Familia ya Mzee Ishengoma kuvamiwa usiku Dar, wanaishi kama Digidigi, mmoja anusurika kifo mara 3, waomba msaada kwa Rais Samia

    Hofu imetanda kwa familia ya Mzee Ishengoma ya Goba Jijini Dar es Salaam baada ya hivi karibuni kundi kubwa la watu ambayo idadi yao haikujulikana mara moja kuivamia familia hiyo nyakati za usiku na kufanya uharibifu mkubwa wa mali. Tukio hilo ambalo limeripotiwa tayari katika Kituo cha Polisi...
  19. LIKUD

    Hii ndio sababu kwanini familia ( ndugu walio zaliwa tumbo moja)nyingi sasa hivi zimeparaganyika

    Nimekutana na ujumbe huu instagram na kila mtu Anasema unamgusa. " Ukweli ni kwamba familia nyingi zimeparaganyika SASA hivi kwa sababu walio kuwa wanaziunganisha( wazazi) wamekwisha tangulia mbele za haki" Wazazi wetu waliweza vipi kuunganisha familia hata sisi wa kizazi huko tushindwe...
  20. R-K-O

    Baba anahitajika sana kwenye familia, asipuuzwe! Nilikuwa naogopa kuwachezea mabinti nikisikia wana baba zao, nilijaribu kwa baadhi chamoto kilinikuta

    Nakumbuka hapo nyuma 2010 - 2015 kipindi nipo sekondari form 2 hadi 6 nilikuwa nipo active sana linapokuja suala la sketi, nilikuwa dunga dunga. Ila pamoja na utukutu wangu huu nilianza kuwaogopa mabinti ambao wapo karibu na baba zao. huko nyuma form 3 niliwahi kuwa kwenye penzi zito na binti...
Back
Top Bottom