Vitanda na magodoro katika familia nyingi za Kiafrika vimetumika kuzalishia watoto, wajukuu na hata vitukuu. Vitanda hivi vimeshuhudia mmiliki akiwa kijana au watu wakiwa wachumba, wakaoana, wakapata watoto ,wajukuu na kushuhudia wanavyozeeka hadi kufa. Pia mtu tangu aanze kazi hadi...