Habar za muda huu!
Niende kwenye mada husika. Leo nilikuwa na jamaa yangu kuna sehemu tunaenda tupo na pikipiki, so jamaa akaona tupitie kwenye ATM atoe fedha kwa ajili ya mafuta.
Tunaingia kwenye ATM, hapo kwenye ATM kuna sheli ya mafuta lakini mabasi yanayoenda mikoani wanapita hapo kwa...