fedha

  1. Serikali ichukue hatua hizi haraka ili kuinusuru nchi na tatizo la upungufu wa fedha za kigeni

    1. Serikali isitishe kwa muda matumizi yasiyo ya lazima (anasa) yanayohitaji fedha za kigeni kama vile kununua magari ya kutembelea viongozi na safari za nje ya nchi (zote mpaka za SSH hazina tija). 2. Kampuni za ndani zitakazolipwa kwa shilingi zipewe kipaumbele kwenye miradi ya ujenzi na...
  2. Usithubitu kutoa fedha benk kwenda halopesa Kwa NMB Mobile inakula kwako

    Wakuu this is the second time yananikuta. Nilifanya transaction kweny 🏧 pesa niipokee Kwa wakala ikakwama ilikuwa miez kadhaa myuma. Wakati mwingine nikajitoa ufaham nikaweka fedha ndefu kutoka mwenye ATM kwenda Kwa halopesa kuepuka kutembea na banch of money. Yakanikuta tena jaman huu...
  3. Ni kweli kuwa Serikali haina fedha ya kuwajengea stendi ya mabasi ndugu zetu nshomile?

    Kuna msemo husema mkaidi hafaidi mpaka siku ya Idd, lakini pia nimekuwa nikisikia kuwa ndugu zetu nshomile hujifanya wajuaji wa kila kitu, lakini pia ni wabinafsi kupindukia..je? ujuaji wao ndio umefanya serikali iwaache wapambane na hali yao! lakini pia hawa ndugu zetu huko nyuma walikumbwa na...
  4. R

    Mbatia: Tusiwekeze fedha zetu 125 bilioni kwenye uovu

    Mbatia ametoa rai kwa Rais samia /serikali kuwa isiwekeze shiling 125 billioni kuimarisha uovu, badala yake iziweke kwenye kuendeleza maisha ya watanzania. Ametoa mfano, zikiwekezwa Muhimbili, zitatoa huduma bora kwa watu wake! Serikali imetenga fedha hizo kununua silaha kudhibiti lolote...
  5. B

    Ridhiwani Kikwete: Watakaoshindwa kusimamia fedha za TASAF kuondolewa, Rais Samia atoa Bilioni 51

    Naibu Waziri, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Ridhiwani Kikwete amesema katika mwaka huu wa fedha 2023/24, Rais Samia Suluhu Hassan ameelekeza Jumla ya Bilioni 51 kwa ajili ya kwenda kunufaisha Watanzania waishio katika mazingira magumu kupitia Mpango wa kuokoa...
  6. Walimu washauriwa kuepuka mikopo ya 'Kausha Damu' kwa kuwekeza fedha zao benki

    Ushauri umetolewa kwa Walimu nchini kuondokana na mikopo ya kausha damu na badala yake waitumie Benki ya Biashara ya Mwalimu (MCB) kwa ajili ya kuikuza na kujinufaisha wao wenyewe. Wito huo umetolewa na Wanahisa wa MCB wakati wa mkutano wa saba wa wanahisa mwaka 2023 uliofanyika Jijini Dodoma...
  7. Mbeya: 40 Mbaroni tuhuma za wizi kwa kuingilia Mfumo wa TEHAMA

    Siku moja baada ya Rais Samia Suluhu Hassan kutaja ubadhilifu wa fedha mkoani Mbeya, watu 40 wanashikiliwa na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) kwa tuhuma za kuhusika kwenye wizi huo wa Sh450 milioni wa fedha za umma. Akizungumza leo Jumatatu Agosti 28, 2023 Mkuu wa Wilaya ya...
  8. Tume ya Uchaguzi iwe na mfuko wake na fedha zake

    Katika mkutano wa wadau wa demokrasia nchini ulioandaliwa na TCD. Joseph Selasini amesema Tume ya Uchaguzi iwe na fedha zake, iwe na watu wake na namna yake ya kuajiri badala ya kutegemea fedha kutoka hazina. Aidha amesema suala la uchaguzi wa serikali za mtaa na uchaguzi mkuu ufanyike kwa siku...
  9. Mbinu zinazotumika kutafuna fedha za umma na vigogo serikalini

    Dar/Arusha. Rais Samia Suluhu Hassan amewataka Watanzania kuwa na imani na Serikali katika mageuzi ndani ya mashirika na taasisi za umma, akiwaonya mawaziri wanaoyatumia kujinufaisha. Amesema inasikitisha kuona mashirika ya umma katika mataifa mengine duniani yakiongeza tija na mchango kwenye...
  10. Kuling'ang'ania suala DP World kuchukua Bandari ni dhahiri kuna Viongozi wamelipwa Fedha

    Licha ya makelele yote haya kwa Wananchi, Mashinikizo ya Wanasiasa na sasa Matamko ya Viongozi wa Dini kupinga suala la Dubai kuwekeza kwenye Bandari zetu inaonesha kabisa Kuna watu wamelipwa fedha nyingi wameahidiwa mgawo mkubwa sana endapo jambo hili litaanza utekelezaji nchini including namba...
  11. R

    Rais akiri yapo mashirika yalikuwa yanakopa fedha ili watoe gawio kwa serikali

    Nchi hii in maajabu sana; tunadanganywa sana. Kama wapo wakurugenzi walikuwa wanakopa kudeclare gawio kwa serikali tena wakiwasilisha hizo taarifa kwa Mhe. Rais unajiuliza hadi udanganyifu huu ubarikiwe nani na kufanyika mbele ya camera wahusika walikuwa wananufaikaje? Je, hayo madeni nani...
  12. Kuadimika kwa fedha za kigeni

    Jamani hii ishu ya dollar kutonunulika na wananchi popote kwenye taasisi zenye fedha imekaaje? Wapi tunaweza nunua?
  13. Serikali haina fedha? Wakandarasi wadaiwa kuanza tena kulalamikia malipo!

    Lile tatizo la miaka 5-10 iliyopita limrudi tena. Serikali inadaiwa imeanza tena kutoa Tender za ujenzi bila kuwepo fedha za kuwalipa Makandarasi. TANROADS kama idara ya serikali, pamoja na TARURA ndio watekelezaji wakuu wa miradi ya ujenzi, hasa ya barabara. Lakini invyoelekea Taasisi hizi...
  14. Kukosea Kununua LUKU hadi Uandike barua ndio urejeshewe fedha yako?

    Tusipotezeane muda niingie moja kwa moja kwenye mada tajwa hapo juu, nilikuwa nanunua LUKU nikawa nimekosea namba moja nikawa nimenunua kwa mita namba nyingine. Nimepiga simu nirejeshewe fedha yangu naambiwa hadi niandike barua. Hivi TANESCO hawawezi kuwa na mfumo kama wa mitandao ya simu ya...
  15. Hizi hapa sababu wanawake kukimbilia mikopo ‘kausha damu’

    Serikali imetaja sababu za wanawake kukimbilia mikopo yenye masharti magumu, ikiwamo wengi kuwa na elimu ndogo ya fedha. Tatizo hilo lilielezwa ni chanzo cha wanawake kujiingiza katika mikopo hiyo maarufu kwa majina kama vile ‘ kausha damu’ na ‘mikopo umiza’. Katibu Mtendaji wa Baraza la...
  16. Tuwe makini na manabii/mitume wanaotaka fedha wakuombee

    Shalom, Kumezuka watumishi wa Mungu wanaotumia vibaya redio zetu badala ya kutoa neno la Mungu na kufanya maombi sasa kama utaahitaji maombi wanakulazimisha njoo ofisini aka kanssan asubuhi mapema tukuombee. Style wanayotumia ni hii Wanapokamata redio wanaanza andika msg, kwenda namba. Hizi...
  17. A

    DOKEZO Waturuki wanaojenga Reli ya SGR wapo katika mgomo, inadaiwa hawajalipwa fedha zao

    Wakati Watanzania, Wana-Afrika Mashariki na Afrika nzima wakiendelea kutazama kuhusu ujenzi wa Reli ya Kisasa ya Standard Gauge Railway maarufu kwa jina la SGR kutoka Dar es salaam hadi Mwanza ukiendelea ukiwa na jumla ya kilometa 1,219, kuna mambo kadhaa hayaendi sawa huku nyuma ya pazia. Ipo...
  18. Je, ni kiwango gani sahihi cha fedha kumpatia mzazi mwenzako kwa ajiri ya malezi ya mtoto?

    Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 33, pia ni kijana ninayezidi kupamba kukumbizana na umasikini, Nahitaji ushauri maana mimi mwaka jana nilibahatika kupata mtoto japo haikua malengo yangu kwani mama wa mtoto tulikutana naye kwa mara ya kwanza kwenye tamasha la sabasaba nikiwa na ni rafiki...
  19. Tajiri Yusuf Bakhressa nakushauri acha kupoteza Fedha zako Kuihangaikia Azam FC basi hizo Fedha kasaidie Yatima Ubarikiwe zaidi

    Tatizo lako Kubwa unapenda kusikiliza Ushauri wa Watu wenye Vipesa Uchwara wanaokuzunguka na ambao ndiyo wanakuumiza kila Siku Azam FC yako ikicheza na Yanga SC ila Mawazo yenu Mema na ya Kimaono yetu Sisi Masikini akina GENTAMYCINE unayapuuza. Yusuf Bakhressa tumeshakuambia sana tu kuwaondoa...
  20. Mwigulu Nchemba, hii kodi ya 30% tunayokatwa kwenye gratuity wewe ndiye uliyeipitisha?

    Mheshimiwa Dr. Mwigulu sisi wafanyakazi wa Shule ya sekondari St Margaret Maria Alakok hapa Igunga mkoa wa Tabora kila tumalizapo mikataba yetu tunapaswa kulipwa gratuity ambayo ni asilimia 10% ya mshahara kwa kila mwezi kwa kipindi chote cha mkataba wako, sasa cha ajabu ni kwamba hiyo pesa kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…